kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tuiendeleze Tanzania yenye asili yetu, kwa kuendana na kasi ya Teknolojia

    Tanzania ni nchi tajiri na yenye amani kubwa inayopaswa kutunzwa na kuendelezwa. Utajiri huu unatokana na rasilimali tulizonazo Kama vile Madini, watu, Wanyama na vinginevyo. Uendeshwaji na matumizi ya rasilimali hizi unapaswa kushirikisha wananchi ambao ni wadau muhimu wa maendeleo. Malumbano...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Israel kuchanja 70% ya watu wake dhidi ya Covid 19, maambukizi yarudi kwa kasi kubwa

    Nchi ya Israel hadi kufikia mwezi April 2021 ilikua imechanja zaidi ya 70% ya raia wote kuanzia miaka 12 na kuendelea. Lakini ghafla kuanzia mwezi June hadi August 2021 maambukizi ya covid 19 yamerudi upya na kwa kasi kubwa. Wataalamu wa Israel wanasema hii inatokana na kupungua kwa ufanisi...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yaongeza kasi ya kuondoa raia Afghanistan

    Marekani imeomba msaada wa mashirika 6 ya ndege ya kibiashara kusaidia kusafirisha watu kutoka Afghanistan, ikiwa ni jitihada ya kuongeza kasi kuwaondoa Wamarekani na Waafghani walio hatarini Kabul. Rais Joe Biden amesema Marekani imesafirisha watu wapatao 28,000 wiki iliyopita. Maelfu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

    Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  5. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinazorotesha kasi ya maendeleo yako?

    Habari za asubuhi watu wa Mungu nyie siyo watu wangu :cool: :cool: Leo nimewaza sana kwamba kuna vitu fulani au tabia fulan tunazo maishani zinatufanya tutumie hela rafu na kujikuta mwaka unaisha maisha yako yapo kama ya mwaka uliopita. Kuna baadhi ya mambo yanapelekea tunatumia fedha kidogo...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Dunia inakwenda kasi, tusibaki nyuma

    Maisha yetu huwa na thamani pale tunapoona uwezo wetu wa kutatua changamoto ni mkubwa. Maisha yetu hukosa thamani pale tunapojihisi hatuna kile kinachoweza kuongeza thamani katika maisha yetu. Uwezo wa kutatua changamoto katika maisha hujengwa ili kutoa matokeo kusudiwa. Leo katika Story of...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanakwenda kasi sana. Juzi tu Polepole alikuwa kidume hapo Lumumba

    Nikifikiria jinsi Mzee wa mavieite alivyokuwa na madharau na jinsi alivyokuwa anawapiga mkwara viongozi waandamizi wa CCM lakini leo hii naye anapigwa mkwara na Chongolo nabaki kujisemea tu dunia inazunguka. Vijana ishini na watu wote kwa heshima na adabu, hakuna aijuae kesho yake. Polepole...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Raha za ndani ya mwendo kasi

  10. JamiiForums Tanzania Tozo Mpya za Miamala: Pigo kwa Sekta ya Mawasiliano nchini

    A new government levy on mobile money introduced last month in Tanzania has sparked outrage from citizens due to the significant increase in costs. With 26 million people, almost half the country’s population, using mobile money the surge in prices has been felt widely. The tax, which has...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

    Salamu zimfikie ndugu Samia Huku mtaani ndugu rais kuna malalamiko, wananchi wanasema hawakusomi, hawakuelewi, na nitakueleza nilichosikia huku mtaani! 1. Suala la tozo za miamala Wananchi wanakusikilizia tu waone utafanya nini, lakini wameanza kuona dalili za wewe kupiga konakona. Kuna kila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hili neno Mbususu linakuja kwa kasi sana jamvini

    Inakuwaje Wanajamvi! Neno Mbususu tayari limeshaanza kuifunika papuchi humu jamvini.
  13. JamiiForums Tanzania Laura Pettie: Hivi karibuni, matukio ya kikatili dhidi ya wanaume yanaibuka kwa kasi

    PETROLI TENA... Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya anayedaiwa kuwa mpenzi wake aitwaye kwa jina moja la Kelvin mkazi wa Mbezi Bondeni. ------------------------- Hili ni tukio lingine...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara. #KaziIendelee Source: Wizara ya Afya
  15. JamiiForums Tanzania Dunia inaenda Kasi Sana!

  16. JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya kuzaliana kwa watu, Umasikini utazidi kukita mizizi Kanda ya Ziwa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara. Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa. Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

    Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"! Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza. Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini ukipanda Basi la Mikoani linaloendeshwa Kasi (Spidi) sana utayaona yafuatayo kutoka kwa abiria waliolipanda?

    1. Jina la Baba Mungu hutajwa mno? 2. Sura (Nyuso) za Huruma hutawala mno? 3. Waliochwa Majumbani hukumbukwa mno? 4. Kuombana Magazeti kunapungua mno? 5. Maombi ya Kuomba Kukojoa (Kuchimba Dawa) hupungua mno? 6. Abiria wengi hujifanya wamelala (tena kwa Kufumba Macho) ila Breki ya Basi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Utambue 95-95-95: mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…