karume

Abeid Amani Karume (4 August 1905 – 7 April 1972) was the first President of Zanzibar. He obtained this title as a result of a revolution which led to the deposing of His Majesty Sir Jamshid bin Abdullah, the last reigning Sultan of Zanzibar, in January 1964. Three months later, the United Republic of Tanzania was founded, and Karume became the first Vice President of the United Republic with Julius Nyerere of Tanganyika as president of the new country. He was the father of Zanzibar's former president, Amani Abeid Karume.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa ninavyokujua GB 64 hapo Karume kabla ya hii Press yako yenye Ukweli mahala fulani ulianza kwanza kupiga kile Kitu chako cha hapo Shaurimoyo

    GB 64 Sisi Masela Wenzako tumeshabadilika na Kukua sasa mbona Wewe bado tu Usela uko damuni? Nimecheka sana japo umesema Ukweli!!!
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Uwanja wa ndege wa Sheikh Abeid Aman Karume ni aibu tupu

    Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu uwanja leo wanauponda kuta za terminal 3 tayari zimekwanguka hasa upande wanaowasiri wageni wa nje...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura Uwanja wa Abeid Amani Karume baada ya hitilafu katika mfumo wa gia

    Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) baada ya hitilafu ya gia ya kutua Ndege ndogo inayomilikiwa na Fly Zanzibar ilifanya kutua kwa dharura kwa hali ya kushtua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

    Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.” Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Treni ya Dar maeneo ya Karume, mabehewa yameacha njia

    Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa kipande cha Mwendokasi Karume (Dar) upo 'slow', unasababisha kero ya foleni

    Kwa zaidi ya miezi miwili eneo la Karume ambalo ni maarufu kwa wafanyabiashara wa mitumba kumekuwepo na changamoto ya foleni ambayo inatokana na ujenzi wa njia ya Mwendokasi. Mkandarasi ameziba njia upande mmoja kwa muda mrefu huku shughuli za ujenzi zikiwa zinafanyika taratibu (slow) jambo...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

    Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali. Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke na Mohamed Said Karume Day

    https://youtu.be/EYP1e2tToZc?si=ANvPuvwWhSjtQO_h
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Historia ya Karume

    https://youtu.be/XIa2ltkf0u4?si=HWHNYLJcPJFEI439
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania KARUME Day: Historia ya Karume na Mapinduzi

    https://www.youtube.com/live/tgpm1rOJpeM?si=voIwGe_Sw_H7wvmh
  11. F

    JamiiForums Tanzania AIRTEL: Hatuadhimishi Karume Day bali Twakumbukia " Kumbukizi".

    Mtandao wa simu wa Airtel wamenitakia maadhimisho mema ya siku ya Karume. Sio kuadhimisha bali ni kukumbukia. Tunaadhimisha jambo Zuri lililotokea bali jambo baya kama kifo ni kumbukizi maana alitutoka huku tukimuhitaji. Wazungu husema Commomerate na sio celebrate. Asanteni.
  12. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu je halmashauri wanatoa huduma siku ya Karume day?

    Wana JAMII FORUMS naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY? KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya juma3 nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania 98% ya Wazanzibar wanafahamu kuwa Karume ndio aliongoza mapinduzi

    Nashangazwa na Wazanzibar kushindwa kuifahamu historia ya juzijuzi tu hapa ,yaani miaka 61 iliyopita. Hawa watu wataweza kweli kuwa na historia miaka 100 ijayo. Siku ya mapinduzi bwana Karume alikuwa upande wa bara hasahasa mitaa ya Magomeni. Huku katika kipindi hiki cha sherehe za mapinduzi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume na wenzake waangukia pua

    WAANGUKIA PUA - ni Fatuma karume, Mwabukusi, Kambole, Tito Magoti na wenzao - walikimbilia CANADA kuishtaki Tanzania kupitia kampuni ya Twiga-Barrick wakitaka walipwe Mabilioni ya pesa - Jaji wa Mahakama hiyo awatoa nishai, awaambia Mahakama Tanzania ziko huru na zinaweza kusikiliza kesi hiyo...
  15. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania KERO Vipaza Sauti vya Karume vimekuwa kero kwa kelele, Serikali ichukue hatua

    Vipaza sauti vinavyotumiwa kwaajili ya kutangaza biashara katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam vimekuwa kero na kelele za hali ya juu sana. Yaani hakuna kinachosisikika bali ni makelele kwa sababu vimekuwa vingi sana katika eneo moja. Ni heri waandike bei elekezi kwenye mabango madogo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Siitaki siasa tena Part 2: Ali Karume wa kufukuzwa CCM?

    Ali Karume wakati wa uchaguzi uliosusiwa na CUF 2015 alimcheka marehemu Seif, na alimsema sana marehemu na hatimaye akawa waziri baada ya uchaguzi. Hivi sasa Ali Karume kafukuzwa CCM wakati Peter Msigwa aliekuwa anawashambulia anakula kiyoyozi kizuri na neema nyingi. Siasa siitaki tena.
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume akiri familia yake kuchukiwa wazi wazi na Rais Mwinyi

  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Fatuma Karume

    Eleweni, SSH kaendelea na kesi dhidi yangu. Kapeleka application ya kuomba muda wa kupeleka rufaa ili kuchukuwa leseni yangu MILELE. Anataka nisiingia Mahakamani Milele! Sijamtetea kwa sababu nataka LESENI. Hatonipa MILELE! Niliamini ni mtu mwema. That’s all. I was wrong...
  19. R

    JamiiForums Tanzania law technicalities: Kesi ya Boniface Jacob- Kutoka Fatma Karume on - Framing a charge, if this is to be the way You will never WIN!

    Fatma Karume anasema: Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye BURDEN of proof. Can you prove a NEGATIVE beyond reasonable doubt? To make it easy for you DPP: Unaweza...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Balozi Ali Karume: Siwezi kuvuliwa uanachama CCM na mdandia reli

    Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na “mdandia reli”. Mwanasiasa huyo amekuwa kimya katika kipindi chote hicho tangu alipovuliwa uanachama wa...
Back
Top Bottom