Ambapo ngono ni bure, lakini upendo ni wa gharama.
Ambapo kupoteza simu kunauma zaidi kuliko kupoteza ubikira.
Ambapo maendeleo yanamaanisha uchi.
Ambapo kama hunywi pombe au huvuti sigara, basi wewe ni wa kizamani.
Ambapo wavulana wanacheza na hisia za wasichana na kutoa maoni mabaya juu...