karma

Karma (; Sanskrit: कर्म, romanized: karma, IPA: [ˈkɐɽmɐ] (listen); Pali: kamma) means action, work or deed; it also refers to the spiritual principle of cause and effect where intent and actions of an individual (cause) influence the future of that individual (effect). Good intent and good deeds contribute to good karma and happier rebirths, while bad intent and bad deeds contribute to bad karma and bad rebirths.The philosophy of karma is closely associated with the idea of rebirth in many schools of Indian religions (particularly Hinduism, Buddhism, Jainism and Sikhism) as well as Taoism. In these schools, karma in the present affects one's future in the current life, as well as the nature and quality of future lives - one's saṃsāra.

View More On Wikipedia.org
  1. KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS) Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi

    KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS) Ameandika Dr. dogoli kinyamkela 💀☠️ Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi. Wakristo huiita "kanuni ya kupanda na kuvuna". Wanasema "apandacho mtu ndicho atakachovuna". Kanuni hii inasema kwamba kile unachokitenda kwa watu...
  2. Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  3. Maisha ni maisha ndugu zangu, yani utachapika na maisha ukishakuwa mnyonge wa mtu, hakuna cha karma wala malipo, malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa

    Life is a bxxch and then you die.
  4. PostGE2025 Oktoba 29 yaliyotokea, ni kipi kinawapa wasiwasi?

    Hii funika kombe mwana haramu ili azidi kupita naona anapita na watu wengi. Ni nini kinawapa kufunika mpaka kuanza kufunikana wenyewe. Hapa JF tunaweza kuleta mafumbo ili kufikisha ujumbe. Ni kwamba kuficha ukweli dunia isijue kuwa ile nchi ambayo kila kiongozi anatanguliza amani ila...
  5. Ushauri Kuhusu Karma: Kilio cha Huyu Mama Niffer Kimenitoa Machozi!, Ni Kama cha Mama Kabendera, Kisikilizwe!, Mama Wasamehe Tuu, ni Wanao Kama Dully!

    Wanabodi https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!. Kwa jinsi anavyomzungumzia mwanae Niffer jinsi alivyo ni nguzo na tegemeo la familia yao, yeye ni mgonjwa, tegemeo lake ni...
  6. GE2025 Karma is a bitch; Kilichomkuta Jerry Silaa jimbo la Ukonga ni ushahidi

    Ni msemo wa Kiingereza unaotumika kwa njia isiyo rasmi (slang). Maana yake ni kwamba matendo mabaya ya mtu yatamrudia mwenyewe kwa namna mbaya yaani mtu akifanya ubaya kwa wengine, siku moja ataonja matokeo yake. Msemo huu umefanya kazi nzuri sana kwa Jerry Silaa Pamoja na kuiba kote kura...
  7. Hivi hawa matapeli wanaotapeli watu huwa hawaogopi karma ?

    Huwa najiuliza matapeli wanaoiba na kutapeli WATU huwa hawaogopi karma ?
  8. Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani. Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto...
  9. Karma : Jinsi matendo maovu na mema yanavyolipwa

    Mtu akifanya makosa anapelekwa motoni Jehanam zipo nane; Reviving,Black Line, Crushing, Howling, Great Howling,Heat, Intense Heat,na Ultimate Torment Wauawaji wanapelekwa Reviving Hell. Hawa ndio wauaji waliomuua mtu mstaarabu. Kuzunguka hii Reving Heli zipo hell nyingine. Kwamba Ile...
  10. S

    GE2025 Kufarijiana kunaendelea kule Bumbuli karma ipo kazini siku zote

    Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao. Mzee Makamba akasema wema huwa hawafi huku akichombezwa na vicheko vilivyokuwemo mle ukumbini. Lakini miongoni...
  11. Gambo umeona Karma ilivyo au haujaona ?.

    Gambo bila Shaka umeona the power of Karma. Kila ubaya huwa unalipwa , Mwenzako familia yake ipo ulaya imekaa na kutulia.
  12. GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

    Gambo umejionea mwenyewe . Lema yupo na Access ya Canada Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya . Ulimfanyia Figisu Akakosa ubunge Ukaharibu reputation yake But now it is ur time to reap ur karmic debt . Pole Sana , What you sow you shall reap. Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya...
  13. Karma imelipa tayari.

    Ilianza hivi Ikaja hapa End . Lesson kila ubaya utalipwa
  14. Hizi spana za CHADEMA; ni karma au ni hujuma?

    Katika maisha yangu yote ya kusoma sayansi ya biologia, hakuna topic ambayao mpaka sasa nimeshindwa kuielewa kama EVOLUTION. Hii ndio topic inayojaribu kuaminisha watu kuwa ulimwengu na viumbe vyote vilitokea tu spontaneously na vimekuwa vikibadilikabadilika kuwa vilivyosasa. Huu upuuzi...
  15. Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

    Wanabodi leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma-...
  16. M

    Karma ni Karma huwa inawatafuna sana wanafiki, refa aliyeinyima Yanga goli halali kule Afrika Kusini Simba wakakenua leo hii ndio analaumiwa

    Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje? Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
  17. Hakuna familia yenye laana acheni kudanganya watu nyie waganga,na wachungaji!

    Eti kanisa lina Andaa wiki ya kuikomboa familia kutoka katika vifungo. Wiz I mtupu
  18. S

    Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

    swala la karma ni kwamba Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau. Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia. aise Maisha ni duara, na unachoweka...
  19. Dhambi alioifanya mzee 2002 karma naitumikia mimi leo

    Hi? Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na mkewe jama alipofika eneo la tukio alipigwa sana na mzee ngumi za kutosha ikabidi jamaa akimbie baada...
  20. T

    Je Nchi haina wazee wakushauri na neno lao likaogopwa na watawala? Tumechoka na Karma

    Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu. Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka? Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti kweli? Ina maana Mzee wangu Kikwete na weŵe ukatoa ushauri ambao umetuacha na giza nene kuliko mwanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…