Hodii humu ndani !
Kama kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, ikiwa upo humu na huenda unawaza Kama Mimi unahitaji upate mme Basi karibu Sana.
Umri wangu 35 Elimu degree moja, nimejiajiri
Hela ya matumizi ya kawaida ipo uwezo was kupanga nyumba nzima upo kusomesha watoto na kumtunza mama yao...