kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge ambana Waziri Dabi ya Kariakoo Bungeni

    "...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
  2. JamiiForums Tanzania DDC & Big Bon Kariakoo

    Habari wana JF. Wafanya biashara wote na wale mnaotarajia kuanza biashara majengo haya ya DDC na BIG BON Kariakoo yamekamilika. Hapo unaweza kufanya biashara ya viatu, biashara ya miamala wakala wa mitandao ya simu na Bank, ukauza nguo za watoto za wakubwa, ukauza vinywaji, ukauza jezi...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, mambo yenye tija wananchi wengi wapo kimya ila kwenye Simba na Yanga kila mtu anaongea tena kwa uchungu

    Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    “Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ikianza kukwepa majukumu yake ndiyo huzaa changamoto kama za hii ya dabi ya kariakoo

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais soko la Kariakoo litaboreshwa maradufu

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;- Frem zitakuwa na standard ambayo ni uniform sio sahivi kila mtu anajiamulia tu kutengeneza fremu anayojisikia Usafi utakuwa wa hali ya jùu...
  9. JamiiForums Tanzania Maskini Wakichagua "viatu kuu-kuu" Mtaa wa Kongo - Kariakoo

    Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!! They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara! Mamlaka zina...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo asisitiza dabi ya Kariakoo iko palepale

    Wakuuu Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi? == Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika kipindi cha...
  11. JamiiForums Tanzania Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  12. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wadai fidia TSh. bilioni 40 jengo kuporomoka

    Wakili Peter Madeleka leo amezungumza na vyombo vya habari katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam – Divisheni ya Ardhi, kuhusu kesi ya wafanyabiashara waliopata hasara kubwa kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa lililokuwa katika eneo la Kariakoo. Kesi hiyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wachina wamezagaa Kariakoo ila mtu yupo kimya, watetea haki za kibinadamu wamekuja Tz mtu kafoka nusu kulia

    Hiii kitu binafsi siielewi yani WACHINA wamekuja kuchota shilingi zetu na kupeleka kwao ila mtu hajatoka hadharani kuongea chochote ila WATETEA HAKI za binadamu wamekuja mara moja tu mtu katoka hadharani chapu na kuanza kufoka nusu atoe machozi. Kweli Tanzania Mungu atusaidie sana tuna safari...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyabiashara/Walanguzi Kariakoo watishia kuhama CCM ikiwa Wachina hawatafukuzwa!

    Wafanyabiashara Walanguzi Kariakoo wametishia kuhama Chama ikiwa Wachina hawatolewa Kariakoo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Timu za Kariakoo Jengeni viwanja vyenu ili kuongeza furaha za mashabiki wenu

    Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja...
  16. JamiiForums Tanzania Taa Za Makutano ya Uhuru-Msimbazi (Kariakoo) zipo likizo? Basi awekwe Traffic ili kuepusha kero

    Ni zaidi ya miezi miwili kwa nyakati tofauti kila nikipita kwenye makutano ya mataa ya Uhuru na Msimbazi nakutana na kero ya msongamano wa magari eneo hilo, mtaa yaliyofungwa kuongoza magari eneo hilo yanakuwa yamezimika na hazifanyi kazi, waliopo maeneo hayo wanadai kuwa kero hiyo imekuwa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Suluhu ya usafirishaji wa mizigo midogo (vifurushi) na mikubwa kutoka Dar kwenda popote kwa mteja

    JE, UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA KUTUMA AU KUPOKEA MIZIGO NDANI NA NJE YA DAR ES SALAAM? Hii inakuhusu sana, iwe unafanya biashara au unahitaji huduma binafsi za usafirishaji! TUAGIZE SISI – WATAALAMU WA MIZIGO NA USAFIRISHAJI WA KUAMINIKA Sisi ni kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo hao waliokudanganya issue ya Wachina Kariakoo nani, na wamechukuliwa hatua gani?

    Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo anataka kuwafukuza Wachina Kariakoo kwa kuuza bidhaa bei poa

    Waziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali atalivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali. Kuanzia kesho,yaani kuanzia leo,anataka kuona njagu wanawachangamkia Wachina Kariakoo. Waziri Jaffo anasema yeye kama Waziri wa Viwanda na Biashara hatakubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…