Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.
Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia.
Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana uwanjani;
~ Yanga SC ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia uwanjani majira ya saa 3:05, baada tu ya kuingia...
Mchezo huu ambao huteka hisia za mashabiki wengi wa mpira wa miguu, utakuwa na msisimko mkubwa sana.
Sababu ikiwa ni kila timu kuwa wakati wa kipekee, Yanga akiwa kabeba ubingwa bila kupoteza mechi lakini kashindwa kwenda hatua ya makundi, anasubiri kucheza na Africain ili afanikishe kwenda...
Takwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa;
~ Wamefunga magoli 11
~ Wameruhusu magoli 2
Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4;
~ Wanefunga magoli 8
~ Wameruhusu goli 1
Wametinga hatua ya makundi CAF Champions League, vinara Ligi Kuu Tanzania bara.
Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
NYUMBA ALIYOJENGA NA ALIYOISHI MWALIMU MTAA WA IFUNDA MAGOMENI 1958
Tulipomaliza mahojinao yetu nje ya nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma nyumba ambayo iko nyuma ya Ofisi Ndogo ya CCM tukaelekea Magomeni Mtaa wa Ifunda kwenye nyumba aliyojenga Mwalimu mwaka wa 1958 na akaishi pale kwa kipindi...
Kuna bodaboda mbili zilipita speed kwenda uelekeo wa mtaa wa Lindi na Livingstone, kumbe bwana walikuwa wanamkimbiza mhindi aliyekuwa kwenye bodaboda nyingine ya mbele akiwa na begi mgongoni, inasemekena ni mauzo ya dukani.
Basi nikasikia puuu, kugeuka nikaona ile bodaboda ya Mhindi ipo chini...
SOKO LA KARIAKOO KUANZIA UPYA WAKE MWANZONI MWA MIAKA YA 1900
Sisi tuliozaliwa miaka ya 1950 tumelikuta Soko la Kariakoo kama linavyoonekana katika picha ya tatu na ya nne.
Nikiangalia picha ya mwanzo ya Kariakoo akili yangu inanipeleka katika nyumba ambazo nyingine mimi zinanihusu na nyingine...
Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani?
Kwasasa...
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli?
Ni Kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya Serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
Pale Kariakoo Stendi za Daladala ziendazo Tegeta, Makumbusho, Kawe na Mabibo ziko barabarani na zinaziba biashara za watu
Ni vema RC Makalla ukarekebisha hizo kwanza kabla ya kuwahamisha akina Shabiby na ABC kule Manzese
Ni ushauri tu
Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that written here are not truly.
N. B: TUJITAYARISHE KWA SENSA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU WA...
Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari.
Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
Habari za kushinda wana JF
Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo.
Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli.
Anaefahamu Nisaidieeen🙏🙏
MELABON MUUZA EMBE NA VITU VINGINE KIKAPUNI KWA WATOTO DAR ES SALAAM YA 1960
Alikuwa akiitwa Melabon na hadi leo sasa mimi ni mtu mzima sijaweza kulifahamu jina lake khasa.
Melabon ilikuwa dawa ya kichwa mfano wa Aspro na ikitangazwa radioni.
Vipi alikuwa na jina hili sijaweza kujua...
1.Haji Manara, huyu alikuja simba amepauka kama katoka ukraine vitani, aliokotwa mitaa ya Lumumba akiwa dalali wa magari na kesi za utapeli Hans Pope akazizima
2. Senzo Mazingiza, huyu alikuja Bongo na suti moja mashavu yamesinyaa leo shavu dodo.
3.Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Azizi Ki...
Nahitaji wafanyakazi 2 wa kuuza duka la nguo Kariakoo, jinsia yoyote.
Umri kuanzia miaka 18<>30
Elimu form four na kuendelea.
Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu.
Awe na kitambulisho cha taifa . Kwa anayekidhi vigezo nitafute inbox.
Asanteni sana.