kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Ajali ya Kariakoo nilitegemea kusikia speech ya namna hii toka kwa viongozi wakuu wa nchi ila imekuwa kinyume chake

    "Naagiza jeshi la polisi mhandisi ujenzi wa manispaa awekwe ndani kwa ajili ya uchunguzi zaidi ili kubaini kama ujenzi ulikuwa ukifanyika kwa kufuata taratibu sahihi. Mmiliki wa jengo tiyari yupo chini ya vyombo vya usalama kwa ajili ya mahojiano zaidi ili kubaini chanzo cha tatizo ni nini. Cha...
  2. Nimechoka kukaa kimya Kariakoo unakuta frame kubwa imejaa Kufuli tupu

    Nimewaza sana hili jambo Kariakoo sijui wanaingizaje faida ama kuna mengineyo Unakuta frame kubwa kalii hatareee Ndani imejaa nguoxa ndani ii tupuuuu Nje kuna BMW...CX5 KAMA ZOTEE V8 JE HAWA WOTE Wanaenda kununua nguoo za ndani ama kuna mengineyoo Kama wanapata faida kila la kheri
  3. LGE2024 RC Chalamila azindua Bata la Disemba, kujipoza na majanga ya Kariakoo "Usije kwenye Bata kama hujapiga Kura Novemba 27"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo...
  4. Majengo yenye nyufa Kariakoo yanayokaribia kudondoka

    1. Congo Tower 2...... 3......... Tuendelee kuyataja hapa chini
  5. Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
  6. K

    Kuunda Tume ya Kariakoo ni uongo mwingine!

    Kuna njia rahisi sana za kujua kimetokea nini Kariakoo na majengo yamejengwa vipi na yapo kwenye hali gani. Serikali ingetakiwa kutangaza tender kwa kampuni zenye utaalamu wa uchunguzi wa aina hii na waje na ripoti. Badala yake tunaweka Tume hizi fake ambazo zitaleta ripoti za kisiasa ambazo...
  7. Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

    Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake , Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato, Hizi ni...
  8. LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu hawajiulizi maswali haya muhimu; Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
  9. Kamati ya Uchunguzi kuporomoka kwa jengo Kariakoo yazinduliwa

    Wakuu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Kamati ya Wataalamu ya Uchunguzi wa Jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia ya kuchunguza chanzo cha tukio hilo pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Pia, Soma...
  10. Ujumbe wa kijana anayetafutwa baada ya ajali ya jengo la Kariakoo

    Kaka habari za leo? Huyu ndugu yetu anaitwa Issa Issa, ni bodaboda hapa Kariakoo opposite na Msimbazi police. Siku ya jumamosi aliacha pilipiki yake kijiweni akaaga kuwa anaenda kuchukua nguo kwenye maduka yaliyopo kwenye jengo lililodondoka. Hata hivyo hakurudi. Tumemtafuta kupitia simu zake...
  11. Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

    Hawa jamaa nadhani walitakiwa pale ghorofani ili wafanye jambo la muhimu sana, sijawaona, au ratiba zimewabana?
  12. Kuna watu wamekaa eneo la ajali Kariakoo wakiamini kwamba wanaweza "kuokota" Mauzo ya wafanyabiashara waliokuwa jengoni

    Haya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti. Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha inabaki hewani tu
  13. Angalizo kwa serikali kuhusu ukaguzi wa majengo Kariakoo, nimenusa harufu kubwa ya Rushwa

    Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu itatuhakikishia kupungua kwa majanga ya aina hii - majengo kuporomoka. Kwahiyo kama hili zoezi...
  14. Baba Levo: Majengo ya Kariakoo hayavutii kuwepo mjini, panatakiwa pabaki peupe pyee

    Wakuu Baba Levo anaiota Times Square huku! Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo katikati ya jiji. "Majengo ya Kariakoo, asilimia kubwa, kama kweli tunataka haki, eneo hilo...
  15. Nabii Mtalemwa alitabiri kuhusu ajali ya Kariakoo. Kuna haja ya kuanza kufatilia tabiri hizi au alibahatisha?

    Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is matter of prayer na kumuuliza Mungu turehemu. Niliona ramani ya Nchi imezungukwa na waganga wa...
  16. M

    Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

    Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma? Taarifa ya Ikulu...
  17. Utani waanza katika zoezi la uokoaji Kariakoo

    Eti hawa nao ni waokoaji, huu ni utani kama utani mwingine.
  18. Niliyoshuhudia Kariakoo

    Ilikua siku ya kawaida kama siku nyingine kwa wafanyabiashara. Baada ya kushinda mpaka saa saba usiku napokea mzigo na kupanga mipango kazi ya wiki nzima...niliondoka kariakoo mtaa wa Narungombe nikapita mtaa wa mchikichini nitokee barabarani MSIMBAZI road. Lakini wakati nipo mtaa wa...
  19. Machimbo yote ya biashara Karikakoo na namba 600 za suppliers wa bidhaa zenye bei nafuu Kariakoo Jumla na Rejareja

    Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya jumla ili uweze kuuza kwa jumla na rejareja. Najua, ndugu msomaji wa kitabu hiki, pengine hata wewe...
  20. Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

    Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa. Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away ambapo mara hufanya Vizuri kuliko ikicheza Nyumbani. Walichofanya Wakawa Wana organize support toka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…