Habari zenu?
Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli...