kanye west

  1. Waufukweni

    Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
  2. Fbn

    Kanye West product mpya ya Viatu Vyake Vyauzwa Zaidi ya Dola Milioni 2 Ndani ya Saa 24

    Kanye West, msanii maarufu na mbunifu wa mitindo kutoka Marekani, amedai kuwa viatu vyake vya slippers vimeuza zaidi ya dola milioni 2 (takriban shilingi bilioni 5 za Kitanzania) kwa muda wa chini ya saa 24 tu. Kupitia taarifa aliyotoa hivi karibuni, Kanye alisema mafanikio hayo yamethibitisha...
  3. E

    Kanye West na Bianca Censori wanakaribia kuachana

    Kanye West na Bianca Censori Wakaribia Talaka Siku Chache Baada ya Grammys Kanye West na Bianca Censori wanakaribia kuachana, zikiwa ni siku kumi na moja tu tangu Censori aonekane karibu uchi kwenye tuzo za Grammys. Vyanzo vya habari vinasema kwamba tayari wanandoa hao wameshatengana na...
  4. Mi mi

    Unakubaliana na Kanye West ?

    Unakubaliana na Kanye West ? You know who hates black people the most black people you know who kills the most black people black people
  5. Fbn

    Kanye West na mkewe kwenye red carpet za Grammy

  6. Mindyou

    Rasmi, Adidas na Kanye West (Ye) wakubaliana kumaliza mgogoro wa takriban miaka miwili

    Rasmi kampuni ya Adidas imetangaza kufikia makubaliano ya nje ya mahakama na rapper Ye kwa lengo la kumaliza mizozo yote ya kisheria iliyokuwepo baina yao. Kiongozi wa Adidas, Bjorn Gulden, alisema kuwa hakuna pesa iliyotumika kusuluhisha mgogoro huo. Soma pia: Adidas yavunja mkataba na...
  7. M

    Mwizi wa gari adai Kanye West alimtuma kuliiba

    Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa North main street. Smith sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu utekaji na wizi wa gari...
  8. ndege JOHN

    Kanye West kuanza biashara ya video za ngono hivi karibuni

    Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera. Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga. Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu...
  9. LIKUD

    Kanye West: Prayers are not working

    Alitoa wimbo unaitwa " Jesus Walks" baadae akaanzisha kundi la muziki wa injili na akawa anafanya kitu kama huduma hivi kiasi cha kupelekea mashabiki wake kuanza kumuita " Bishop Kanye" Leo kaamua kufunguka ukweli wa moyoni. Anasema maombi kwa Mungu hayafanyi kazi ama kwa lugha nyingine ana...
  10. 2 of Amerikaz most wanted

    Kanye West calls out Kai Cenat and tells him not to joke about his clothes

    RAP
  11. 2 of Amerikaz most wanted

    Seun Snikulapo Kuti: Kanye West is a dangerous person to all Africans

    Seun anikulapo kuti made the claim in reaction to a viral Ye's video where Ye says "We (Africans ) are not black, we're Indian". Seun went further 'all the rich blacks hate Africa, not just this buffoon referring to Ye. Just go and run a DNA test let's see how Punjabi (indian) you are. In...
  12. PAGAN

    Kanye West na mwanae wakiliamsha dude...

    Kula human hiyo
  13. 2 of Amerikaz most wanted

    Vultures final out" kanye west x tydolla sign

  14. Teslarati

    Sitosahau usiku ule Paris nilipotoroka camp kwenda kumuangalia Jay Z na Kanye West, bila kutegemea waliperform Niggas in Paris mara 11 mfululizo

    Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
  15. BARD AI

    Kanye West afuta mipango ya Kugombea Urais mwaka 2024

    Mwanasheria wa Rapa na Mfanyabiashara huyo ameliambia Jarida la #RollingStone kuwa nyota huyo ameanza kufungasha vifaa vyote vilivyoandaliwa kwaajili ya kampeni kwasababu hana tena mpango wa kuwania Urais tofauti na alivyotangaza awali. Kwa mujibu wa Mweka Hazina wa Kampeni za #YE24 Mfuko wa...
  16. BARD AI

    Kanye West akwama kuachia Albamu mpya baada ya kukosa Msambazaji

    Kwa mujibu wa Jarida la #Billboard, Mastaa hao walipanga kuachia albamu yao Oktoba 13, 2023, albamu ambayo inaripotiwa kuwa na ngoma za Raa huyo za takriban miaka 5 lakini Wasambazaji wengi wamekuwa wakiikwepa kutokana na kuali tata za YE. Albamu ya mwisho kutoka kwa Kanye West ni DONDA 2...
  17. M

    Kwanini Jumuiya ya kimataifa isimtumie Kanye West kama msuluhishi vita ya Urusi na Ukraine

    Mzuka Wanajamvi! Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa. Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani. Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
  18. LIKUD

    Kanye West

    My spirit is telling something about Kanye West. God forbid!!! Please pray for Kanye West. In the pic the young Kanye West wearing an ANC t shirt with Nelson Mandela on it
  19. BARD AI

    Kanye West akosa michango ya Kampeni za Urais, huenda akajiondoa kabisa

    Kwa mujibu wa taarifa za Tume ya Uchaguzi ya Marekani (FEC), Rapa huyo aliyetangaza nia ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024, hadi sasa akaunti yake ya Kampeni ina salio Tsh. 55,985,680 tu. Pia, imeelezwa kuwa Kanye ametumia zaidi ya Tsh. 4,868,320,000 katika shughuli mbalimbali...
Back
Top Bottom