kansa

Valittu kansa is the twelfth studio album by Finnish pop singer Antti Tuisku, released on 7 February 2020 through Warner Music Finland. The album received positive reviews from critics; Oskari Onninen from Helsingin Sanomat called it "an exceptional Finnish pop effort and a five-star album", while Jukka Hätinen, writing for Rumba, described it as "a provocative pop diamond".In its first week of release, the album entered the Finnish Albums Chart at number one, becoming Tuisku's sixth number-one album.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

    Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki...
  2. Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Ndugu zangu tunaenda kufunga mwaka wapo wenye ndoto mbalimbali hapo mwakani katika kununua magari. Kwa wale ndugu zangu wenye ndoto za kumiliki Subaru forester nawaomba waaachane na Subaru forester SJ5 yenye code engine ya FB20 non turbo ( forester ya 2013 - 2016) Nimekutana na ushahuda wa...
  3. GE2025 Urais wa zamu wakristo na waislamu ni kansa ya Chuki kwa Taifa na mfumo uliopitwa na wakati

    GT Hiki ndo kirusi kikuu kinacholitafuna taifa na pengine kuzidi kurudi nyuma tena nyuma zaidi. Hatutaendelea kamwe na tutazidi kuchukiana milele ajenda kuu ya wanasiasa wetu ni wizi ila wanatuchonganisha kwa makusudi. Akili za hawa waumini wetu wanazijua wao wenyewe bahati mbaya hata watawala...
  4. Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

    Kumeibuka habari kwamba Russia wamekuja na kinga ya cancer watu wanashangalia ukweli ni kwamba sidhani kama hiyo dawa itafanikiwa kirahisi na ntakupa na sababu Sifa za cell za Cancer Kila cell ndani ya mwili wa binadamu zina-mda wake wa kuishi na baada ya hapo zinakufa na kuja nyingine, cell za...
  5. Mbona wachina wanavuta Sana sigara ila hawapati Sana madhara kama kansa kama watu wengine

    Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam...
  6. Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

    Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili Predict all cycles of abnormal protein mutation Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be easily target by novel therapeutics compound Hata sisi waafrika tuna-uhuru wa kufikiria njia ya...
  7. DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

    Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa ! Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
  8. M

    Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    Habari wadau Kwa nini Mungu mwenye upendo, muumba wa kila kitu, ameumba vimelea vya magonjwa hayo yanayotesa na kuua sana watu, imagine mtoto mdogo anateseka na kansa ya ubongo ama ukimwi
  9. U

    Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  10. Kansa stage 4 kufika

    Wadau Habari zenu Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
  11. Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  12. JE, NI KWELI PUNYETO NA USAGAJI NI MIONGONi MWA VYANZO VYA KANSA YA VIA UZAZI, MADAKTARI NA WATAALAMU WA AFYA YA UZAZI?

    Naomba ufafanuzi tafadhali wangwana matabibu wa afya na mapenzi?🐒
  13. STAFELI (soursoup) Tunda linalopambana na KANSA

    STAFELI (SOURSOP) ni tunda lenye kupambana na kansa https://x.com/BarbaraOneillAU/status/1841569942144995516
  14. Matumizi yaliyozidi ya Antibiotics, husababisha kansa!

    Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari. Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na kusababisha Fangasi sehemu za Mwili, kama Ulimi, Koo, utumbo, Ini, lakini pia Huchosha Ini na kuweza...
  15. X

    Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

    Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, ni moja ya hospitali kubwa Ulaya maalumu kwa ajili ya watoto wanaougua kansa. Waliolengwa ni magaidi ya Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye hospitali hiyo. Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu. Before After
  16. A

    SoC04 Upanuzi wa Mfumo wa Kutunza Taarifa za Wagonjwa ni Hatua Muhimu katika Mapambano Dhidi ya Kansa

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za wagonjwa. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabiliwa na jamii ni kutopata matibabu sahihi kwa magonjwa...
  17. S

    Kua makini kama familia yenu Ina historia ya Kansa na magojwa ya moyo

    .
  18. Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA KWA WAFANYAKAZI. Kwa kuangalia haya machache ni dhahiri kuwa msaada wake kwa wafanyakazi ni sawa...
  19. Urusi yasema Chanjo za Saratani ziko tayari kutolewa ndani ya miaka mitatu

    Vizuizi vingi vilivyosalia vinaonekana kuwa vya kisheria, kulingana na Vasily Lazarev wa Wakala wa Tiba na Biolojia ya Kimedikali ya Urusi. Watafiti wa matibabu wa Urusi wanaweza kuwa na uwezo wa kutumia chanjo za kansa ndani ya miaka michache ijayo, ikizingatiwa ufadhili wa kutosha na msaada...
  20. Sio kila uvimbe wa titi ni kansa

    Mwaka wa 2018, karibu mwezi wa Januari, binti mmoja alijifanyia uchunguzi wa mwili na kugundua uvimbe mkubwa kwenye titi lake, ambao uliendelea kuongezeka hadi mwezi wa Oktoba alipofanyiwa uchunguzi wa matibabu. Licha ya wasiwasi wa uwezekano wa kansa, mdada huyo alikawia matibabu kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…