Polisi nchini Uganda wanachunguza tukio la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 59, Rosette Najuma ambaye ameaga dunia siku ya Jumatano Februari 8 wakati akifanyiwa maombiKanisa la Christian Life lililopo Makerere.
Kwa mujibu wa Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Kampala, Luke Owoyesigyire amesema...