kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Watoto watatu wafariki Kanisani Simiyu baada ya kulala kwenye hema lenye jiko la mkaa

    Watoto watatu wa kike wakazi wa kijiji na kata ya Mkula, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, wamefariki dunia wakiwa kwenye makambi ya Kanisa la Waadventisa Wasabato wilayani hapo Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni kukosa hewa baada ya kulala kwenye hema ambalo lina jiko la mkaa. Mkuu wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Leo kanisani kwako kumeshuhudiwa miujiza gani?

    karibuni ndugu wakiristo tuambiane Leo kanisani kumetokea miujiza gani kutoka kwa waumini nawachungaji hasa kwamadhehebu ya walokole wakatoliki sidhani kama wanahaya mambo ya miujiza waumini wakilokole tililikeni aposto nawasikiliza naanza Mimi kanisani kwangu kunamuumini alitumia chumvi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

    Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo? Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu...
  4. JamiiForums Tanzania Tupo Kanisani usiku wa maombi, mhudumu wa guest ameomba atoe ushuhuda wazee wa Kanisa wamekataa

    Imenishangaza mno! Dada wa watu ambaye ni mhudumu wa Guest jirani na Kanisa amemwomba Mchungaji atoe ushuhuda ajabu wazee wa Kanisa wamekataa kata-kata!
  5. JamiiForums Tanzania DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

    persecution of Christians is real … Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo. Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
  6. JamiiForums Tanzania DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam. Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana kanisani kwa mchungaji Kimaro Kijitonyama

    Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ukiona Shehe anaingia Kanisani jua hiyo ni Siasa kimaandiko kabisa lakini ukimuona Askofu msikitini ujue anawatafuta Kondoo waliopotea

    Kama unabisha kasome vitabu vitakatifu vyote viwili Shehe wa Mwamposa alikuwa sahihi Kwenu Malaria 2 na THE BIG SHOW 😁
  9. JamiiForums Tanzania Kusinzia Kanisani ni Dalili ya Kuingiliwa na Mapepo

    Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo, yanayolenga kuzima roho yako usipokee Neno la uzima. Ukweli huo unathibitiswa na Marko 1:23...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ni sawa tunapata mshiko wa Mama kanisani kwetu, lakini washirika wetu wanasemaje

    Baada ya Harambee ya Dr, Mwigulu Nchemba kanisani kwa WaLutheri Singida Jumapili ya juzi tarehe 29 Juni, 2025, mama akichangia TZS 50,000,000/- kati ya zaidi ya TZS one billion iliyopatikana, waumini wengi waliloloma wakionesha Kanisa la KKKT ni kibaraka wa Serikali hii. Wengi wanajisikia...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  12. JamiiForums Tanzania Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia. Huwezi kuhubiri na kueneza duniani...
  13. JamiiForums Tanzania Simulizi za waumini kanisani: video

    Hili ni jambo Wachina wanapinga sana . Wanamwambia padre wa Kichina asikusanye sadaka.
  14. JamiiForums Tanzania Bomu la kujitoa mhanga kanisani huko Syria lafanya maafa

    Hii ni kazi ya vijana wa itikadi ya msimamo mkali maana yuko radhi ajinyonge ila sio kuona ukristo ukiwa karibu yake.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Ukienda kanisani kwenye ibada ya leo usisahau kumuombea-;

    Ukienda kanisani kwenye ibada ya leo usisahau kumuombea-; 1. Mhe Lissu 2. Mdude Nyagali 3. Juma Kaswahili 4. Chaula 5. Jacob Mlay 6. Frank Mbise 7. Amani Manengelo 8. Deusdedith Soka 9. Dinioz Kipanya 10. Daniel Chonchorio 11. Musa Mziba Na wengine wote ambao wametekwa na kupotezwa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Watekaji Na Wauaji Wanaofahamika Wasiruhusiwe Kuingia Kanisani, Labda Kama Wanaenda Kutubu.

    Ni jambo lililodhahiri kwa wengi, juu ya nani ni watekaji na wauaji wa watu wanaowakosoa watawala. Bahati mbaya sana hawa wafuasi wa shetani, wanafanya kila jitihada kuubariki uovu wao kwa kwenda kwenye nyumba za ibada ili kuuficha au kuuhalalisha uovu wao. Na hawa ndiyo mara nyingi wakienda...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi tuambieni kuna nini hapo Kanisani kwa Gwajima mbona mnapiga watu ovyo na mko kimya?

    GT Tumezoea police kutoa tahadhari kuhusiana na mikusanyiko yoyote isiyokuwa halali huku wakitoa sababu. Nashangaa hapo kwa Gwajima.kuna shida gani wanapiga watu hovyo sababu zipi? Wanatakiwa watoke hadharani wautaarifu umma kinachoendelea tofauti na hapo sisi tutaendelea kuamini kwamba ni...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Kwa Nini Masuala ya Uchumi na Fedha Yasifundishwe Kanisani na Misikitini?

    Katika jamii nyingi, nyumba za ibada zimekuwa zikizingatia mafundisho ya Kiroho pekee. Maisha ya Kiroho ni muhimu sana, lakini hayawezi kutenganishwa na maisha ya kila siku, hasa yale yanayohusu uchumi na fedha. Mtu anaweza kuwa mcha Mungu wa kweli, lakini bado akahangaika na madeni au kukosa...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Machumu wa Gwajima asema Kanisa lao halijafungwa, waapa kurejea kanisani Jumapili

    Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa "Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Msomi huyu ameduwaa kusikia kwamba huoni haja ya kwenda Kanisani kesho Jumapili

    I’m really perplexed—how can any rational soul, endowed with both reason and revelation, deliberately choose domestic repose over the divine encounter that tomorrow’s sacred Sunday demands? What curious apathy, what spiritual amnesia, compels one to ignore the sacred rhythm of worship appointed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…