kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

    Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV . Na hawa ndo watumishi wa kweli . Nitatoa ushuhuda ufuatao . Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless ...
  2. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed Ashiriki Harambee Kanisa la KKKT na Kuchangia Milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwako Pr David Mmbaga wa Kanisa la Wasabato

    Natumai mu wazima wa Afya Huku tukizidi kupiga hatua mbele katika Bwana Mimi ni Msikilizaji mzuri sana wa Mahubiri TV, Na sio Msabato pia siwezi kuwa Msabato Ila neno la Mungu halina dini, Nitakufa na Kuzikwa KKKT. Hapa majuzi mchungaji Mmbaga umefundisha somo zuri sana (Maombi ya Yehoshafati)...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa linahitaji uwepo wa praise and worship team?

    Praise and worship teams, imekuwa sehemu muhimu ya ibada katika makanisa mengi. Hata hivyo, kwa baadhi ya waumini, makundi haya yamekuwa chanzo cha kero na mzozo ndani ya kanisa. Wengine wanadai kuwa Praise and Worship ni sehemu mbaya zaidi ndani ya kanisa. Utandawazi umefanya baadhi ya nyimbo...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

    Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa Daaah familia mzima tumepigwa na...
  8. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Ukristo umejengwa juu ya msingi wa Roman Catholic. Ipo Dominant kwa zaidi ya miaka 2000

    Historia ya ukristo kwa ufupi Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic. - Baada ya Yesu kufa na Kufukuka (according to matendo ya mitume) ★ Early Community (leader- Peter) Early Christianity (catholic) etc etc.... after several years from Marrin Luther -...
  9. nzalendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za Kikristo chali (Zimekufa) Je, Kanisa limekosa msaada?

    Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao.... chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,, Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtibeli Leo nitasali Kanisa la Wasabato Manzese. Karibuni

    Habari za Sabato! Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana. Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani. Tujumuike sote tukabarikiwe.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je Kanisa la Sasa ni Moto au ni Vuguvugu kama Kanisa la Laodikia ?

    Je Kanisa la Sasa ni Moto au ni Vuguvugu kama Kanisa la Laodikia ? Kanisa la Laodikia ni nini Kwanza hebu tujikumbushe historia ya yale makanisa saba, tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo, Aya ya 2 na ya 3. Makanisa saba tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo ni makanisa ambayo yalikuwa katika...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Padri au Kasisi wa dini yoyote nisingepokea sadaka za wanasiasa ni kulinajisi kanisa la Mungu

    Haya ni maoni yangu kwamba siasa ni ajira iliyotawaliwa na roho mbaya ushirikina na mauaji!! Kama isingekuwa siasa mawazo asingekufa ,Wala mwandishi wa chanel ten daudi mwangosi asingekufa! Isingekuwa siasa Leo Ben saa nane angekuwa anawasindikiza watoto wake shule asubuhi na kwenda kuwachukua...
  13. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglican Church of Tanzania(ACT) nina ushauri kuhusu Shule yenu ya Wasichana Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda

    Binafsi Mimi ni kati ya wadau wa elimu katika Taifa langu la Tanzania.Napenda kutumia wasaa huu kuushauri uongozi wa juu wa kanisa la Anglikana ngazi ya Taifa kuhusu Shule ya wasichana ya Bunda girls ambayo wao ni wamiliki wakuu. 1. Eneo la Taaluma Katika eneo hili Taaluma ya Shule bado...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwili wa binti Brigette Mbembela (Pude) aliyefariki ajali ya ghorofa Kariakoo waagwa katika Kanisa la KKKT Songwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude), iliyofanyika katika Kanisa la KKKT dayosisi ya Konde, Usharika wa Tunduma Mkoani Songwe. Soma Pia...
  15. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Msalaba wa hili kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) unamaanisha nini?

    Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani? Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti! Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtibeli leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Magomeni. Ninawakaribisha wôte.

    Sabato Njema! Kwa Neema ya Yule Mwenye Ñguvu, Mola Mlezi, Mungu mwenye Ñguvu, na utukufu. Mtakatifu atupaye utukufu na kutufanya tuheshimike. Atupaye Akili Zenye Akili, huyo tunayemtumainia na kwake tunajivunia yeye pekee. Huyo àmbaye amewashikilia Adui zetu. Tenà amewapa Hofu ya kututendea...
  18. W

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Maaskofu wa Kanisa Katoliki "Kiongozi anayepatikana kwa mbavu na Uongo, hutumia Ulaghai kuongoza"

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisistiza una umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa ujumla Tamko hili limewasilishwa na Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, amesema "Tunasisitiza TAMISEMI...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista Wasabato anena mambo mazito kwenye msiba wa Mafuru

    Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
  20. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki wamwambia Ruto kuwa Utamaduni wa Uongo lazima Ukomeshwe

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali kunyamazisha wapinzani Aidha, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Askofu Maurice Muhatia amewashutumu viongozi...
Back
Top Bottom