kanda ya ziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hili la kufuta leseni 2,600 za matajiri na kuwapa Vitalu Wanyonge kunaweza kumpa kura zaidi kanda ya ziwa

    RAIS SAMIA AWABEBA WACHIMBAJI WADOGO KWA KUFUTA LESENI KUBWA 2,600, MAPATO YAO YAONGEZEKA MARA5! Wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo walichangia 20% sawa na TZS 124bn kwenye Mapato yote ya Serikali yatokanayo na madini. Mwaka 2024/25 wamechangia 40% sawa na TZS640bn. Wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Kanda ya Ziwa, Mwanza Juni 21, 2025

    Rais Samia kushiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Kanda ya Ziwa, Mwanza Juni 21, 2025 https://www.youtube.com/live/JttLArFY5bo?si=5JhZHxwYL98w30IE
  3. JamiiForums Tanzania Daraja la Magufuli ni moja ya White Elephant Project kubwa sana katika nchi hii. Daraja litakuwa la kupigia picha na kurekodi Movie

    Hakuna Volume ya magari ya mizigo kwenye Barabara ya Geita Mwanza, na nature ya uchumi wa Tanzania Volume zinatoka Bandarini Dar kuelekea Mikoani na kutoka Mikoani kuelelekea Dar, Sasa mkoa wa Geita una Volume ya mizigo? ya kupitiapale kwenda Dar? hakuna zaidi ya dhahabu labda tusafirishe...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kanda ya ziwa ametuthibitishia kuwa hakuna uchaguzi huru tena

    Kajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu kwenye uchaguzi fake?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

    Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari. Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti. Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na...
  6. JamiiForums Tanzania Faatilieni ziara ya Raisi Samia huko kanda ya ziwa kashaanza kunena kwa lugha.

    GT Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kujenga Shule maalumu ya wavulana Kanda ya Ziwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali iko mbioni kujenga shule maalumu ya wavulana kwa ajili ya Kanda ya Ziwa, ambapo ujenzi huo utafanyika mkoani Simiyu. Samia ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Juni 16, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa mkoa huo mara baada ya kuzindua rasmi shule ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

    Katika nchi yetu, ukiona umepoteza ushwishi kanda ya ziwa ujue una hali ngumu sana ya kisiasa. Kwa sasa dalili zote za kisiasa zinaonyesha kuwa Samia amepoteza uungwaji mkono wa kanda ya ziwa. 1. Press conference ya Gwajima imeizimua kanda ya ziwa. Katika mitandao ya kijamii nimefuatilia watu...
  9. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa wanaotoka watu wenye akili nyingi kama Gwajima na katu mtu wa kanda ya ziwa katu hawezi kuwa chawa

    Kanda ya ziwa wanaotoka watu wenye akili nyingi kama Gwajima na katu mtu wa kanda ya ziwa katu hawezi kuwa chawa na kuendesha kijinga Lissu alikwambia mkiuwa upinzani au CHADEMA, mtaanza kupingana nyie wenyewe Leo tumeisikiliza press ya maana ya mwana CCM Askofu Gwajima Press zinazofuata za...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Chadema yazidi kung'ara kanda ya ziwa, yahitimisha mikutano yake kwa kishindo kikubwa mjini Kahama

    Chadema kwa sasa ndio habari ya nchi.
  11. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

    Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi (KE) awe kanda ya ziwa

    ..
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CHADEMA kanda ya ziwa awataka viongozi wa dini kutoyumbishwa na wanasiasa

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obadi amekosoa kitendo cha baadhi ya wanasiasa kukosoa viongozi wa dini kujihusisha na siasa kuwa huo ni uoga. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake amewataka viongozi wa dini kutokuyumbishwa na maneno...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza juu ya watu wa kanda ya Ziwa,wako tofauti kidogo

    Kwenye mazuri tusifie na mabaya husemwa ili kujifunza kwa hili ni Ukweli kabisa kwa hapa Tanzania tuna watu wa maeneo tofauti tofauti na huwa na tabia zao mbalimbali hii hutokana na malezi ya jamii husika nataka niseme wazi juu ya jamii ya watu wa kanda ya ziwa na mazuri yao na maua wanastahili...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa badilikeni bwana hasa hilo kabisa linalojifanya lina watu wengi Tanzania mzima waache roho mbaya

    Sijawahi kuona watu wenye roho mbaya, husda, wivu, chuki, kukosa ustaarabu na wakatili kama fulani hapo kanda ya ziwa kuna kabila moja maarufu sana Tanzania linasema lina watu wengi sana Tanzania hili kabila bwana wanazingua ndiyo kabila linaloongoza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kisa mali na mali...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali Yataja Saratani Tano Zinazosumbua Wananchi Kanda ya Ziwa, Mbunge Kabula Shitobela Ahoji Bungeni

    SERIKALI YATAJA SARATANI TANO ZINAZOSUMBUA WANANCHI KANDA YA ZIWA, MBUNGE KABULA SHITOBELA AHOJI BUNGENI Serikali imetaja aina tano za saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ambazo ni ya kibofu cha mkojo, mji wa uzazi wa uzazi, damu, macho na figo. Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa tatizo la Saratani ni kubwa, Wizara ya Afya itoke hadharani iweke takwimu halisi na chanzo

    .
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo. Ameeleza kuwa visababishi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtumishi wa Mungu afichua Mpango wa CCM kuwaengua Wabunge wa Kanda ya Ziwa

    Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua mpango mzima. https://youtu.be/jXrtCkOsKBQ?si=-IbKOvkyyzaCB09s
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kujua Viwanda vya nyama ya mbuzi vinavyopatikana kanda ya ziwa

    Wenye uelewa na hili swala Nina mbuzi wangu 80
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…