Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya:
1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.
Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi...