kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Gerson Msigwa: Watanzania wangekuwa hawataki kushiriki Uchaguzi 2025 wasingejitokeza kwenye kampeni

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025; Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi? Siamini kama Wananchi...
  2. GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

    Yani suala la kusema tu hapo mbele msisukumane, anaona suluhisho ni police. Yaani Samia ana kiburi kikali sana kilichochanganyika na unafiki, akiongea utadhani mwema, yaani anahisi kuwa yeye ni mtu special sana, and nothing come close to her. Si ajabu aliechoma picha yake haonekani. Mungu nipe...
  3. L

    GE2025 Sitisheni kampeni zenu, itisheni mchakato wa Katiba, maandamano ni kweli msipuuze

    Mimi ni miongoni mwa watu wa maono. Nimekwisha ona mbele kua maandamano yapo kweli,tofauti na watu wengi wanavyodhani. Watu wengi wanaishi kwa mazoea kudhani Watanzania ni waoga,la ha sha. Kila kitu kina wakati wake. Watanzania wamechoka na huu sasa ni wakati wake. Wala ishu sio Samaia,Bali...
  4. Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  5. W

    GE2025 Godbless Lema atoa orodha ya waliotekwa/kupotezwa kwenye kanda za kichama tangu kuanza kwa kampeni Agosti 28, 2025

    Anaandika mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X 1. Kanda ya Nyasa aliyetekwa ni mmoja Jina: Abedinego Sanga Cheo: Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Lupembe, Mkoa wa Njombe Umri: Kati ya miaka 28-30. Mahali alipotekwa Kijiji cha Matembwe akiwa kwenye duka lake la...
  6. Mnampigiaje kampeni humu mgombea ilhali mmefungia JF?

    JamiiForums ipo kwa ajili ya mambo mbalimbali, nje ya yote inawaunua vijana kufanya biashara zao humu na kupunguza ugumu wa maisha. Lakini wote mashahidi september 06 mwaka huu JF ilifungwa rasmi na kuacha usumbufu mkubwa kwa watumiaji hasa wafanyabiashara, Hoja yangu kwanini zile...
  7. W

    GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  8. Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  9. S

    Kama kuna jambo linakwenda kutokea, dalili ya kwanza itakuwa ni kutoendelea kwa kampeni za Mama bila maelezo

    Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima. Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma. Nahisi kuna vikao vya mashauriano...
  10. T

    Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni (Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  11. GE2025 Kwenye kampeni za sasa naona sura siyo sera

    Ukiwasikiliza wagombea wetu hasa wa urais ambao ni wa chama kimoja japo wanajionyesha kama wanapingana wakati lao moja, huoni sera zaidi ya sura. Wakiahidi, unashindwa kuelewa kama ni nani kati ya mataahira kati yao na wapiga kura. Mgombea wa urais anakwambia nitafanya hili au lile bila...
  12. T

    GE2025 Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni(Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  13. W

    Nilidhani Watanzania tuna shida ila una huko Uganda kampeni za Museveni

    Huku Tanzania kijani kunameremeta kule Uganda ni full njano. Uganda wamekuwa wakimlalamikia Museveni wakidai hawamtaki sasa hao waliokusanyika hapo wametoka wapi au wamesafirishwa?
  14. GE2025 JK ni CCM na CCM ni JK mnakata aseme nini na yuko Kwenye kampeni za CCM?

    JK anaeleweka ccm ni JK na yupo kwenye kampeni za CCM mlitegemea atasemaje?
  15. W

    SI KWELI Rais Samia kwenye kampeni zake amesema ataigawa TANESCO kwa waarabu kuongeza ufanisi

    Wakuu nimekutana na hizi taarifa je kuna ukweli wowote huko?
  16. Siasa na Imani: Hatari ya Kutumia Dini Kama Kigezo cha Kampeni

    Ukishindwa kutumia busara katika kunadi sera zako wakati kampeni basi tumia utimamu kuangalia maneno unayozungumza. Ni hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakiingia katika kiwango cha ujinga na upumbavu kwa kutumia maneno ya dhihaka dhidi ya imani za kidini, hasa Ukristo, ili...
  17. Zisingekuwa kampeni za uraisi Samia hasingeomba kura ya Hayati mkapa, je mkapa atapiga kura?

    Wewe uko kwenye kampeni unaambatana kwenda kwenye makabari ya MAREHEMU kufanyaje?. Je, Mkapa atapiga kura Mwaka 2025? Tangu amefariki hujawai kwenda, leo kisa wataka Urais ndo wajitia kwenda kumwomba kura MAREHEMU kwani anapiga kura?
  18. S

    GE2025 KIGAMBONI: Yericko azindua kampeni kwa agenda nzito

    Jana Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni amezindua kampeni zake, Hapa chini ni sehemu ya Hotuba yake ya uzinduzi :::::::::::::::::::: HOTUBA YA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI AGENDA KUU 1. MIUNDOMBINU BARABARA: Suala la Miundombinu ya Barabara nimelipa kipaumbele cha kwanza kabisa na...
  19. GE2025 Kampeni za kishoa zatikisa 'hakuna kitakachonishinda'

    Shamra shamra za kampeni za Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida zimeendelea kupamba moto, ambapo maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi kusikiliza sera na ahadi za Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca David Kishoa. Mkutano huo wa kampeni...
  20. GE2025 Je convoy ya Rais katika kampeni zake ina sanifu maisha ya mpiga kura?

    Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…