kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tufungue Ukurasa Mpya: Tujifunze siasa za Kenya. Leo Uhuru anampigia kampeni Odinga

    Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania. Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu. Tukubali katika eneo la Afrika Mashariki na Kati kisiasa Kenya...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ nayo unabuma wanachama hewa

    Wanaukumbi. Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7? Chadema...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga atoa wimbo wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi

    Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kusafisha jiji la Dar es Salaam

    Poleni wahanga wa kampeni hii ya kuliweka "JIJI" katika hali ya "usafi". Tumeshuhudia masoko yaliyopo katikati ya jiji letu pendwa yakiondoka moja baada ya moja ..Tulianza na Soko la kariakoo🔥 Soko la mitumba karume 🔥 Wats next? Ilala kwa wauza mitumba ? Poleni wahanga hususani wale...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

    Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani? Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ina maana hawa wanaovaa makanga na matisheti ya CCM wakati wa kampeni CCM sio mali yao? Ni mali ya wajanja wa mjini

    Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?
  8. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya "Twende na Majaliwa 2025" imezimwa kama mshumaa

    Hii kampeni #TwendeNaMajaliwa2025# ilikuwa chini ya Ayubu na wenzake. Ilikuwa imeshaanza kuota mizizi nchini kwani viongozi wengi wa chama na jumuiya pamoja na wabunge wengi wa CCM walikuwa wameshaingia mkenge kwenye kampeni hii. Ila maaaa weeee ghafla Hangaya amepindua meza mambo yamekuwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ianzishwe kampeni ya "CCM Haina Wenyewe Bali ni ya Wote"

    Hali ya wanaCCM kuogopa kujiita wanaCCM kujiita wanaCCM imerudi tena baada ya baadhi ya wanaCCM kwa makusudi kabisa kuamua kunajisi taswira na jina la CCM mbele ya jamii. Jamii imeanza kupata uelewa na mwelekeo tofauti kwa CCM baada ya aliyekuwa katibu wake was itikadi na uenezi Nape Nnauye...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    "...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi." "...sasa huu utamaduni wa eti kila wakati wanasiasa wafanye siasa hata huko Duniani haupo na...
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Mazingira: jiji la DSM haliitaji kampeni za usafi bali sheria ndogo ndogo zisimamiwe

    USAFI ktk Jiji la DSM limekuwa Donda Sugu, Kila RC akiteuliwa ana kuja na KAMPENI yake ya usaf lkn impact ya izo kampeni ni kitu ambacho hakidumu hata miezi 3. Kwa haraka haraka zilikuwepo kampeni kama shika fagio, izi zilijikita ktk usafi was maeneo ya katikati ya Jiji maeneo ya fukwe...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Chato ni Wilaya pekee nje ya Dar iliyotembelewa na Marais na Viongozi mashuhuri wa dunia, ni halali kuifanya mkoa sasa

    Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar. Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya. Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea...
  13. ndenga

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Usafi wa Dar iendane na hili

    Niendelee kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kusimamia maamuzi mbalimbali ya kuhakikisha Dar inasimama katika usafi na mpangilio wa biashara katika maeneo mengi. Katika hili kuna haja ya kuhakikisha Dar inakuwa katika hali ya usafi na mpangilio wa biashara katika hili kuna haja ya kusimamia...
  14. Memento

    JamiiForums Tanzania TANESCO sitisheni kampeni ya TUNAJIPANGA, watu wanachotaka ni kupata umeme

    Wiki ijayo jumatatu terehe 29/11, Tanesco watakua na kampeni ya TUNAJIPANGA. Lengo ikiwa ni kutambua changamoto ambazo wananchi wanazipata kwenye umeme. Hili naliona ni suala la ajabu, sasa hivi kuna shida kubwa sana ya umeme Tanesco yapaswa wajikite kutatua changamoto hizi za umeme kuliko...
  15. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi tangazeni kuanza kwa kampeni ili mwaka 2025 iwe ni kuchukua fomu tu

    Naona kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza kwa kasi chama tawala CCM kimeshateua mgombea wake na safari hii "wanaume no kugombea" ni zamu ya wanawake tu Ni vema Tume ya Uchaguzi ikatangaza rasmi kuanza kwa kampeni kwani CCM tayari wameanza mapema kabisa. Suala la uchukuaji fomu ndio lifanyike...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama! Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya Ebola yaanza

    Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa. Watumishi wa Afya wanawafuatilia watu zaidi ya 170 na Dozi 200 za Chanjo tayari zimetumwa katika Mji wa Beni ambapo Mtoto...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mwanamuziki Slapdee ajitoa tuzo za AFRIMMA baada ya kushambuliwa kwa kupigia kampeni chama tawala

    Picha: Mwila Musonda (Slapdee) Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala cha Nchi hiyo, Patriotic Front. Slapdee ambaye awali alijitetea kuwa alitumbuiza kama sehemu ya...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kuwepo upendeleo au rushwa kwenye kampeni ya kuhamasisha chanjo

    Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021 Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa dharura kutokana na umuhimu wa haraka ya Elimu ya chanjo ili kuepusha uwezekano wa chanjo kuchina
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Naona kampeni zimeanza,lakini zimeruhusiwa kwa upande mmoja

    "Mh. Rais Samia kama ambavyo nawasikia Viongozi wa CCM kwamba toka umeingia madarakani wana kauli yao wanasema umeupiga mwingi, kazi nzuri unayofanya Watanzania wanaiona tuna matumaini makubwa na tutaendelea kuhakikisha kwamba malengo yako yanafika hadi vijijini" "Umeanza vizuri unaendelea...
Back
Top Bottom