Wakuu ukiiskiliza hii video kwa makini ni kama wameanza kuogopa kuhusu kutoka oktoba
Walidhani wananchi tunatania, sasa hivi kila anapoenda kusoma risala lazima agusie kuhusu oktoba tunatoka. Wakuu tukazie hapohapo hadi kufika 29 oktoba tutakua tumeelewana tu
Soma pia: Haji Manara: Hii nchi...
Wakuu, nimekuwa na safari ya wiki zima nikikatiza mikoa kadhaa na kwa namna upepo wa sasa ulivyo nilitegemea mambo yamechangamka huko lakini ajabu ni kwamba kila mkoa nilioingia nimekuta mabango ya CCM yamechafua kila mahali na kampeni zao ndizo zinaoendelea.
Kuanzia Njombe, Iringa hadi...
Kwa umri wangu sijawahi kushuhudia kampeni za namna hii. Hivi mnajua kama kampeni za uchaguzi huu zimeanza tangu 2021? Hiyo mibango ipo tangu 2021.
Yaani umepiga kampeni kwa miaka minne lakini bado unaogopa kushindana, hii sio kawaida kabisa katika historia yetu.
Unaweza kusema zimedolola. Au watu hawana mpango na siasa za uchwara?
Ukiacha zile za Mgombea urais na makamu wake sababu ya watu kusombwa na malori ta mizigo. Kampeni za ubunge na udiwani zimedolola na watu hawazifuatilii kabisa.
Hata zile nazo kama ni ziara za kunadi ahadi.
Mgombea wa ubunge jimbo la Kinondoni Jijini Dar es asalaam kupitia chama cha mapinduzi CCM Abbas Tarimba amezindua rasmi kampeni za siasa kuelekea uchaguzi mkuu akijinadi kusimamia uwajibikaji endapo atapewa ridhaa ya kuongoza jimbo kwa muhula mwingine.
Katika mkutano wake wa hadhara ulifanyika...
Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili.
Tukio hilo lililotokea katika harakati za maandalizi za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye pia ni Mlezi wa Kata ya Kandawe Wilaya ya Magu, tarehe 17 Septemba 2025, amezindua Kampeni za Uchaguzi katika Kata hiyo ambapo amemnadi na kumkabidhi Ilani ya Chama cha Mapinduzi Mgombea Udiwani wa Kata ya Kandawe ndugu Lucas Bomoa na viongozi wa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni, Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme ameahidi kuwa endapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo hilo, atakuwa sauti ya wananchi katika kuibua, kufuatilia na kutatua changamoto zinazowakabili kwa muda mrefu...
Mbunge Mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Salome Makamba apiga magoti mbele ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kumuombea kura mgombea nafasi ya Urais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea na kampeni zake za kumwaga sera katika mikoa mbalimbali.
Soma pia: Salome...
Wakati ambao mchakato wa kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu ukiendelea, Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kivule, lilipo Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, Ndugu Massaburi Dougras Didas ameungwa mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakulima wa Tumbaku nchini kuwa Serikali iko kwenye hatua za mwisho kuhakikisha madai yao ya muda mrefu yanalipwa.
Soma pia: Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais...
Akiwa Igunga Mkoani Tabora kwenye muendelezo wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Kituo kikuu cha Mabasi Igunga pamoja na soko kuu la Igunga ikiwa atachaguliwa kuongoza tena Tanzania kwa kipindi kingine cha...
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, unaopita Singida, utakuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa vijana wa eneo hilo na Watanzania kwa ujumla.
Mradi huu wa kimkakati, ujulikanao kama East African Crude...
Kwa utashi tu wa kawaida, hizo ahadi mnazozitoa sasa hivi kipi kimewazuia kuzitimiza kipindi cha uongozi wenu kilichopita? Mnaanza kuahidi siku 100 za mwanzo baada ya kupita uchaguzi mtatoa ajira 7,000, sasa hizo ajira kipi kimewazuia kuzitoa kipindi kilichopita au kwanini msizitoa hata sasa...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuimarisha sekta za maji na nishati endapo atapewa ridhaa kuendelea kuongoza nchi.
Chanzo: ITV
"Kwa upande wa maji tumefanya lakini bado tunajua kuna maeneo ambayo...
Ni huzuni🙄
Kuelekea uchaguzi mkuu October 2025 na kampeni zinazoendelea,unaona Samia na CCM wanaenda kushindana na nani kwenye sanduku la kura?... .
Binafsi ni swali linalotia huzuni hasa ukiwa mdau wa demokrasia ya kweli! Lakni kupitia swali hili napata maswali madogo madogo ambayo nimekosa...
Akiwa wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Jumanne Septemba 09, 2025 kwenye muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa wanafikiria kujenga mabweni kwa shule za Sekondari...
Mwanamuziki wa Gospel kutoka Ambwene Mwasongwe ametokea hadharani na kuwaomba radhi watu wote walio chukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika jukwaa la siasa.
Ambwene ameomba radhi na amefafanua kwa mgombea aliyekwenda kumuunga mkono ni jamaa yake wa siku nyingi na alimualika katika ufunguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.