Ni wazi Yanga imekiuka kanuni za FIFA kwa kushiriki kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu wa kisiasa kupata viongozi wa serikali. Kwa hiyo ili kuepuka rungu la FIFA na kulinda heshima ya nchi kimichezo lazima TFF ichukue hatua za kuiadhibu Yanga ikiwa na pamoja na kuifungia kushiriki mashindano yo...
https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na...
Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO. Ameeleza kuwa Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu yaani TAHILISO imehodhiwa na CCM na badala yake imesahau majukumu yake ya msingi ya kuwasemea wanafunzi na hivyo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara
Karibu kufuatilia ziara hiyo kupitia vyombo vya Habari na Mitandao yetu ya Kijamii
Kazi na Utu , Tunasonga Mbele
Wakuu,
Hivi tukisema kwamba CCM wameanza kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu nitakuwa nimekosea.
Naanza kuamini kuna watu ambao wanajifanyia tu vitu wakidhani wanamsaidia Rais lakini kumbe wanamharibia tu.
Sidhani kama Rais kutokana na majukumu mengi aliyokuwa nayo atakuwa na muda kupendekezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.