kampeni za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PreGE2025 POTOSHI Picha hii ni nyomi iliyosombwa na Malori kwenye kampeni za CCM Morogoro

  2. Allen Kilewella

    Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA fuatilia Kampeni za CCM

    Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA. Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye...
  3. K

    Hivi CCM hawaoni aibu jinsi kampeni zilivyopooza halafu hakuna anayefuatilia?

    Kweli binadamu akilitaka lake jambo huwa haoni aibu. Hivi CCM mmekosa kweli washauli, heri mngebaki na uzoefu wenu wa kuiba kura lakini siyo kwa kampeni mnayoifanya isiyokuwa na mvuto, yaani mmechokwa mnajaribu kujilazimisha kucheka nafsi inawasuta, hamna furaha, uchaguzi umepoa, hakuna...
  4. Waufukweni

    GE2025 Samia: Tunataka Tanzania ijitegemee Kiuchumi bila kutegemea mikopo mikubwa kutoka nje

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu katika eneo la Dakawa, Mvomelo, Mkoa wa Morogoro leo, tarehe 30 Agosti 2025, amesema lengo la Serikali ni kuona Tanzania ikijitegemea kiuchumi kufikia mwaka 2050, bila kutegemea mikopo mikubwa kutoka nje...
  5. K

    Tetesi: GE2025 Kwanini shule za sekondari za Halmashauri ya Mji wa Bunda zinawaambia Wanafunzi na Walimu kwenda kesho standi ya zamani kwenye kampeni za CCM?

    Hii ni hatari sana kama CCM wanalazimisha watumishi wa kada ya ualimu na wanafunzi kwenda kwenye kampeni za mgombea wao hapo kesho.
  6. Mtu wa Majira na Nyakati

    Wafanyabiashara wote wakubwa wanaisapoti CCM, hii haitokei kwa bahati Mbaya ila ni mikakati ya wao kukua zaidi kibiashara

    Hawa wafanyabiashara wanaousapoti Ccm sio kwa Bahati Mbaya. Kuna mambo mawili. -Kuweka mazingira sawa ya biashara zao. - kuendelea kushikililia Uchumi zaidi na kukua kibiashara. Na mwisho Kupata tenda, kwakuwa inajulikana wazi kuwa tenda za Serikali zinalipa vizuri. Kwahiyo hata wewe...
  7. Fbn

    GE2025 Tutarajie Kampeni za CCM kusema awamu iliyopita ilikuwa sio za Samia na CCM

    Kama mjamshtua hadija kopa anaweza kusema muhula alioshika kijiti alikuwa sio yeye kwa sasa kila haadi zitakuwa zake. Maneno makande wakina lucas mwashamba mumetumia nguvu sana
  8. Waufukweni

    GE2025 Samia: Kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi...
  9. tonicimmobility

    GE2025 Unadhani ahadi hii ya kuundwa kwa Tume ya Maridhiano itatekelezwa?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi ndani ya siku 100 baada ya kushinda kiti hicho ataunda Tume ya Maridhiano ambayo itasaidia kuweka mazingira ya kuandaliwa kwa katiba mpya. Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake uliofanyika Agosti 28...
  10. Carlos The Jackal

    GE2025 Nimezichambua Picha za Mkutano wa Leo wa Samia, ITOSHE kusema Sasa Watanzania wameamua Kuikataa CCM waziwazi

    Licha ya wapiga picha kujitahidi kutafuta Picha Kwa engo inayoweza kuonyesha Umati ni mkubwa Licha ya Wasaniii wote kuwepo. Licha ya matangazo kufanyika Kwa miezi na miezi. Licha ya kutumia Mwamposa Licha ya Kwamba Siku alipochukua Fomu na kurudisha Fomu bado hakua na Nyomi. Licha ya...
  11. L

    GE2025 Hotuba ya Rais Samia Yaitetemesha Dunia Nzima. Wazungu Wakoshwa Na Uwezo Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa . Rais wetu Mpendwa ni chaguo la Mungu. Mama yetu kipenzi ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Jemedari wetu hodari amepewa...
  12. S

    Ikulu Tanzania katika mtandao wa X, washambuliwa kwa ku-post picha za uzinduzi wa kampeni za CCM

    Ni baada ya account hiyo ya serikali ku-post picha za uzinduzi wa kampeni za CCM ambapo asilimia 99 za comments ni mashambuli kwa kuhusisha ofisi hiyo na kazi cha chama cha siasa. Watanzania wanajitambua sana na mitandao ni moja ya tool muhimu sana katika kuleta ukombozi wa pili wa Taifa hili...
  13. P

    Dkt.samia suluh hassan akichangia mchango mkubwa kwenye mageuzi ya nchi kiujumla aeleza , Rais Mstaafu wa awamu ya nne

    Rais Mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema utaratibu uliotumika kumuidhinisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM haujakosewa na kwamba ndio utaratibu uliotumika kuwapitisha na kuwaidhinisha Wagombea wote wa Urais...
  14. Waufukweni

    GE2025 Kikwete: Rais Samia ni kiongozi mwenye maono ya mbali, 4R zake zimeimarisha Amani, Umoja na Muungano

  15. P

    GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kupitia tiketi ya CCM leo, Agosti 28, 2025, katika Viwanja vya Tanganyika Peckers, Kawe, Dar es Salaam. https://www.youtube.com/watch?v=vGoVYh_ObHU Mwenyekiti Mstaafu wa...
  16. J

    GE2025 PICHA:Uchambuzi, Historia na Uelekeo wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2025

    https://www.youtube.com/live/75BCyq8wmtw?si=_JM6YbzjI4WT5SjH Habari Watanzania, naomba nifanye uchambuzi wa kina kuhusu Siasa za Tanzania. Historia ya Vyama Vingi Nchini Tanzania Kipindi cha Uhuru (1961 – 1964) Baada ya Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961, kulikuwepo na vyama vingi vya siasa...
  17. henry_manywili

    GE2025 Ufunguzi wa kampeni za CCM 2025

    Siku ya ufunguzi wa kampeni si siku ya kukosa kwani CCM ya mama Samia mgombea urais atakiwasha
  18. Mwanadiplomasia Mahiri

    Balozi wa nyumba 10 anazunguka kutafuta watu wa kwenda kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM

    Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba. Wakazi wa dar es salaam mmekumbana na hali hii kama huku kwetu?
  19. K

    GE2025 Natabiri kuongezeka kwa malori na mabasi ya kusomba watu na wasanii wa mziki wakati wa kampeni za CCM

    Kama kuna mtu alifikiri uchaguzi wa Rais utakuwa mteremko kwa CCM sababu tu Chadema wamezuiwa kushiriki basi amekosea, Chama cha Mapinduzi kinaenda kupata wakati mgumu kuliko kilivyofikiria,Watu watasusia mikutano yao na itakuwa mitupu tofauti na kipindi cha Magufuli watakachokifanya watatumia...
Back
Top Bottom