kampeni za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Samia: Msiwape Kura wapinzani watawapoteza, Ukimpa Jimbo asiye CCM anaenda kuongea na nani? anaenda kumwomba barabara nani?

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Wilaya ya Bunda kutafakari kwa makini kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa, akisisitiza kwamba uongozi wa nchi unahitaji uzoefu na uwezo wa kusimamia masilahi ya...
  2. Mafyangula

    GE2025 Babu Tale: Nitawajengea Kisima cha Maj wakazi wa Bwawani, ili kuondoa adha ya kuchangia maji na mifugo

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamisi Taletale, amesema kuwa endapo wakazi wa Bwawani, Kata ya Mkambarani, watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anatekeleza mradi wa kuchimba kisima cha maji ili kuondoa adha...
  3. Mafyangula

    GE2025 Sophia Simwa apiga magoti Kageye kuomba Kura za Rais Samia, Kija Limbu na Roza Mussa

    Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Mkoa Geita, Sophia Simwa amelazimika kupiga magoti mbele ya Wananchi wa Kijiji Cha Kageye Katika kata ya Nyachiluluma kuwaombea kura Dkt Samia Suluhu Hassan, Mhandisi Kija Limbu Ntemi na Roza Mussa ili wawe viongozi watakaopeleka maendeleo kijijini hapo...
  4. Mafyangula

    GE2025 Hawa Mwaifunga: CCM ndio chama chenye hela na ndicho chenye ilani na bajeti, kichagueni mpate maendeleo

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Hawa Subira Mwaifunga amekutana na kuzungumza na kikundi cha wanawake na Samia mkoa wa Tabora; Ambapo amewashauri kuendelea kukiamini na kukichagua tena Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kwamba ndio...
  5. Damaso

    GE2025 Kampeni za siasa zimewageuza watoto wetu vinyago vya mpapule?

    Kuna jambo la kusikitisha linalojitokeza tena na tena kila msimu wa kampeni nchini Tanzania—watoto wa shule za msingi na sekondari kulazimishwa kutokwenda shule na kuhudhuria mikutano ya kisiasa ya chama tawala, CCM, ili “kujaza umati”. Watoto hawa wakiwa bado wadogo, wasio na uelewa wa siasa...
  6. Mafyangula

    GE2025 Mhandisi Kija Limbu aahidi kukamilisha Zahanati ya Kageye Baada ya Mkandarasi Kufukuzwa

    Mgombea Ubunge Jimbo la Katoro kupitia chama Cha Mapinduzi CCM Mhandisi Kija Limbu Ntemi, amewahakikishia wananchi wa kijiji Cha Kageye, Kata ya Nyachiluluma kuwajengea zahanati ambayo Mkandarasi wake alifukuzwa kwa kushindwa kutekeleza mradi huo. Mhandisi Ntemi ametoa kauli hiyo kwenye...
  7. Mafyangula

    GE2025 Samia: Serikali imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kudhibiti mamba

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kwa lengo la kudhibiti mamba ili kuwalinda wananchi wanaotumia ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali. Akizungumza leo, Jumanne...
  8. Mafyangula

    GE2025 Mavunde: Kura ya ndiyo kwa Samia ndiyo mwendelezo wa mambo mazuri tuliyoanza kuyaona Mtumba

    Mgombea Ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuhakikisha wanampigia kura, mgombea urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan ili kumwezesha kuendelea kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisema ndiye...
  9. Mafyangula

    GE2025 Kada wa CCM ajichanganya! Atoa salamu ya "people's power” badala ya “CCM hoyeeee”

    Kada wa CCM Iringa ambaye hapo nyuma alikuwa ni kiongozi wa juu wa chadema ngazi ya mkoa na kanda ajikuta akiishiwa pawa na kuipiga salamu ya “Peopleeeees power” badala ya ile ya “CCM hoyeeee”
  10. Mafyangula

    GE2025 Paresso: Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele

    "Dkt. Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele" Paresso Ameongeza akisema "miaka minne iliyopita Dkt. Samia Suluhu Hassan si kwamba tumemsikia kwa maneno lakini pia tumemshuhidia kwa vitendo vya kimaendeleo" Amesema Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum...
  11. Mwachiluwi

    Kwanini mama kizmkazi anatumia sana ndege kwenye kampeni, wakati Magufuli alitumia magari tu?

    Kwanini mama kizmkazi anatumia sana ndege kwenye kampeni wakati Magufuli alitumia magari njia kwa njia ila yeye ndege tu ubadhirifu huu
  12. Just Pray

    GE2025 ITV Kipindi cha 'Aibu yako hata wewe' hamuyaoni malori yakibeba wananchi kama mizigo kwenye kampeni za CCM?

    ITV mna hiki kipindi kinaitwa "AIBU YAKO HATA WEWE" ambacho mmekuwa mkikitumia kukemea ukiukwaji wa taratibu na sheria za barabarani unaofanywa na madereva wa vyombo mbalimbali vya usafari kutoka na hatari ya usalama wa watu na vyombo hivyo. Kwenye kampeni za CCM tumeona malori yakitumika...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Samia: Serikali Kurejesha Mashamba ya Kiliflora na Arusha Blooms Serikalini

    Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi amesema serikali ya awamu ya sita imeunda timu ya Makatibu Wakuu wa Wizara ili kufanya tathmini na kuanza mchakato aa kuyarejesha serikalini mashamba matatu ya Kiliflora Usa River, Kiliflora Nduruma...
  14. W

    GE2025 Samia: Hakuna mgonjwa Kilimanjaro atakayeteseka kwa kukosa huduma

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ijayo itaendeleza jitihada za kuboresha huduma za afya mkoani Kilimanjaro, ikiwemo kuimarisha hospitali, kuongeza watumishi na kuhakikisha dawa muhimu zinapatikana kwa wakati...
  15. Mafyangula

    GE2025 Prof Mkumbo: CCM inaogopa rushwa, CCM pia inapambana na rushwa

    CCM wanatuletea maigizo matupu kwenye hili suala! Rushwa imeshamiri kila kona ya nchi, halafu bado wanathubutu kudai kwamba wanapambana nayo. Swali la msingi ni: wanapambana kivipi, au wanatuzuga tu? ============= Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo...
  16. comrade_kipepe

    Hakikisheni wanafunzi wanarudi nyumbani wanavaa nguo za kiraia halafu wanaenda uwanjani, muwape bendera na kofia

    Hivi kama sio hivi, nadhani hata zambarau ina watu weng sana kuliko nzi wa kijani, hii nimeishuhudia baada ya hili tukio kufika wilayani kwangu nilijua labda watu wanazusha. Hivi kumbe taasisi za serikali na za kielimu ilimradi ni za serikali zinaruhusiwa kumpigia kampen mgombea? Tena hata kwa...
  17. tonicimmobility

    GE2025 Samia: Tumeongeza makusanyo ya mapato ndani ya nchi kuepuka manyanyaso ya mikopo na misaada kutoka nje

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea mkoani Kilimanjaro, mgombea Urais kupitia chama hicho Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali ya Chama hicho imeongeza mapato ya ndani ili kuepuka manyanyaso ya mikopo na misaada ya nje. Ameyasema hayo leo Septemba 30, 2025 katika...
  18. tonicimmobility

    GE2025 CHAUMMA kufufua viwanda vya chai Njombe

    Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano, kupitia chama cha Ukombozi wa UUMA (CHAUMMA) Bw. Salum Mwalim ameahidi kufufua viwanda vya chai vilivyofungwa nchini, kwa kipindi cha miaka mitano ijayo ili kuchechemua shughuli za uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa baada ya zao la chai kudorora. Soma pia...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Vituko vinaendelea! Haya maandalizi yanayofanyika Arusha Mjini ya kumpokea Samia, pesa inayotumika ni zile B 100 au kodi za watanzania?

    Yani Kila siku unasikia kuna hili mara lile huko alipo Paul Makonda! Hadi sasa bila shaka kuna pesa nyingi zimetumika katika kuyafanya hayo maandalizi ya kumpokea Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu. Yani kila nikiangali uupuzi unaoendelea kufanyika hasira za kinyaru zinazidi kupanda kwa hawa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Samia: Bandari ya Tanga kuwa bohari ya mafuta na gesi, hatua ambayo inatarajiwa kuzalisha ajira mpya 2,100

    Wakuu! Namuonea sana huruma Samia na hizi ahaadi zake! Naona anavyoendelea kujichimbia shimo refu sana kwa wananchi. Na sioni kama atafanikiwa kutekeleza hata kwa asilimia 20. Mimi nipo siti ya mbele nasubiri kuona :cool: ================== Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Back
Top Bottom