kampeni za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Tulia: Yamkini simu ni zao na bando zimeshuka bei watu wanatumia mitandao wanaongea wanayojiskia wao

    Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) jimbo la Uyole mkoani Mbeya Dkt. Tulia Ackson akiwa katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2025 ameeleza namna ambavyo watu wanatumia mitandao kutukana na kuwasema Rais Samia kuwa hajafanya maendeleo ilhali reforms zimefanyika bungeni kwa kutumia...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Aanguka akiliwahi lori la kampeni za CCM Mbeya

    Tumesema sana kuhusu watu kubebwa katika malori kama mifugo kupelekwa katika mikutano ya hadhara ya CCM. Hii yote wanataka kujaza watu na kuonekana mikutano imejaza watu. Kwanini kampeni mnahamasisha na kusomba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine? Kwani lengo la mikutano ya hadhara ni Nini...
  3. Subira the princess

    Sababu kwanini mikutano ya CCM imejaa watu nyomi

    Wasalaam. CCM wakiamua jambo lao hufanya kila linalowezekana ili kulifanikisha Siri ya nyomi la CCM kila mkoa ni kwamba wanasafiri na watu wao kwenye jumla ya mabasi 20 na kisha wakifika mkoa husika huwapata watu wenye dhiki kali na njaa na muwapa buku 5 kila mmoja na kuwasafirisha kwa maroli...
  4. Idugunde

    Pamoja na kukosa upinzani madhubuti toka kwa CHADEMA ya Lissu, mbona CCM wanangaika sana?

    Kampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro. Kwa ujumla hakuna upinzani. Swali la msingi ni kwa nini wanatapatapa?
  5. Trainee

    Nimemuona muuza miwa kwenye kampeni za CCM Mbeya nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu!🤣

    Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
  6. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea Ubunge Mbeya auza Samaki

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Mhe. Patrick Mwalunenge katika kuhamasisha makundi mbalimbali wajitokeze kwenye mkutano wa mgombea nafasi ya U-Rais kwa tiketi ya chama chao, ameonekana akiuza samaki katika soko...
  7. S

    Polepole: Harakati za kampeni za rais Samia zinaratibiwa na Abdul badala ya CCM

    Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!! Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na...
  8. Tlaatlaah

    GE2025 Hotuba za rais Samia kwenye kampeni za CCM zinasisimua na kuamsha matumaini, ari na shaku za wananchi wengi zaidi kupiga kura Oct.29.2025

    Sote ni mashuhuda kwamba, Kila kona ya nchi anapopita mgombea uraisi wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake Dr.Emmanuel John Nchimbi, hakuna mTanzania anaethubutu kubaki nyumbani, bali wananchi wote wakubwa kwa wadogo maeneo husika hujitokeza kwa maelfu kumpokea, kumuona na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Rais Samia aahidi Kukamilisha Ujenzi wa Bandari Kavu Tunduma

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kukamilisha ujenzi wa bandari kavu yenye ukubwa wa ekari 1800 katika eneo la Katenjele lililopo Tunduma mkoani Songwe. Dkt. Samia amesema bandari hiyo itaondoa changamoto ya...
  10. tonicimmobility

    CCM Mnakataa kuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe?

    CCM mnkuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe? Mnawalazimisha watu kuja kwenye kampeni zenu na kuwatisha kuwa lazima wakaskilize kampeni zenu alafu mkija kwenye vyombo vya habari mnasema mmewapa lift, kilichowafanya...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCM Dodoma: Hatuwasafirisha wananchi kwenye mabasi kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni, wanajitokeza kwa hiari yao

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohames amepinga madai ya baadhi ya wanasiasa na wanaharakati kwamba chama hicho kimekuwa kikiwabeba wananchi kwa mabasi na kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni ili kuonyesha idadi kubwa ya wafuasi. Jawadu amesema wananchi...
  12. tonicimmobility

    Wasira: Hata wapinzani wanakiri sisi ni wakubwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk. Samia Suluhu Hassan, Watanzania ni mashahidi wa kazi kubwa aliyoifanya katika miaka minne na nusu ya uongozi wake. Akizungumza Septemba 1,2025 katika...
  13. USSR

    Biharamulo kuwa kituo kikuu cha kampeni za CCM mkoa wa Kagera

    BIHARAMULO KITOVU CHA KAMPENI ZA CCM KAGERA Hapa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi anasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo ndio kitakuwa kituo kikuu cha kampeni cha Chama Cha Mapinduzi katika kampeni za mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi...
  14. tonicimmobility

    Dugange: Wananchi endeleeni kuiamini CCM

    Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Wanging’ombe, mkoani Njombe, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Festo Dugange, amezindua rasmi kampeni za chama hicho na kuwataka wananchi kushiriki kwa wingi kupiga kura. Akizungumza katika uzinduzi huo, Dk. Dugange aliwahimiza wananchi kuendelea kuiamini CCM...
  15. Lord Denning

    Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi. Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised. Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi...
  16. S

    Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  17. B

    Chui aliyejeruhi watu wanne Mwanza auwawa kwa risasi. Hili ni tukio la kutengeneza?

    Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Nchimbi: Watu wenye akili walio upinzani tutawaleta CCM

    Katika Muendelezo wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kitaendelea kuwachukua wapinzani wenye akili ili kushirikiana nao katika kuleta maendeleo nchini. Nchimbi ameyasema hayo leo Agosti 31...
  19. Crocodiletooth

    Kukosekana kwa bunifu za miradi mikubwa katika kampeni za CCM kunapunguza mvuto!

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu, SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji...
  20. toto2000

    Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
Back
Top Bottom