kamili

Moasseseh-ye Kamili (Persian: موسسه كميلي‎, also Romanized as Moasseseh-ye Kamīlī) is a village in Veys Rural District, Veys District, Bavi County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 24, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Ndugu wapendwa Wasabato naomba leteni ushahidi kamili kupinga hoja kuwa Roho ya mwanadamu ina yo hali ya kutokufa au inayo hali ya kuishi milele

    Njooni na Ushahidi kamili Maandiko yaani Biblia na siyo maelezo kuthibitisha kuwa ROHO ya mwanadamu Haina hali ya kuishi Milele au Haina hali Kutokufa
  2. A

    Kumbe mwanamke hafai kupewa uhuru kamili ndani ya nyumba?

    leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐 nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi. Namuuliza umetokawapi haeleweki nimempiga vibaya sana nakesho namtimua nyumbani kwangunilitaka nimuone nimeahirisha hilozoezi sijui...
  3. S

    Tofauti na Tanzania, nchi zinazowafikiria wananchi wake hazikati kodi kamili kwenye gawio (dividends) na marupurupu ya mshahara (benefits)

    Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu. Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
  4. Auckland City kukipiga na Bayern Munich bila Kikosi kamili, baadhi ya Wachezaji wamekataa kujiunga na timu kutokana na kazi zao

    Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
  5. Vitus Nkuna aikimbia CHAUMMA. Mkutano wao uliokuwa uanze saa saba kamili Mugumu Mara washindwa baada ya kukosa mahudhurio

    Kada mpya wa CHAUMMA ndugu Vitus Nkuna ameamua kutelekeza chama chake huko Mara leo baada ya kuona hali halisi. Hali kadhalika huko Mugumu Mara mkutano umeshindwa kuanza saa saba mchana baada ya kuwa hapakuwa na watu kwenye uwanja. Hii inajiri leo baada ya jana kada wao mwingine Aisha Madoga...
  6. Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka

    Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka Yafuatayo ni maandishi ya mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati Steve Witkoff pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka mkataba kati ya Israel na Hamas...
  7. Mafusho, vito na vitakasa vingine: Ni zana ya kusaidia, si tiba ya kamili

    Katika ulimwengu wa kiroho, watu wengi hujikuta wakivutiwa na matumizi ya mafusho (udi, ubani karafuu mdalasini na aina mbali mbali za mafusho kulingana na nyota yako), vito , na vitakasa mbalimbali vya kiroho kama maji ya kutakasa, chumvi, n.k. Hivi vyote vina nafasi yake. Ni kama mafuta...
  8. Jinsi ya Kuwa Copywriter: Mwongozo Kamili kwa Anayeanza

    Katika dunia ya kidijitali, biashara zinahitaji maandishi mazuri ili kuvutia wateja. Copywriter ni mtu anayebobea katika kuandika maandishi ya kushawishi watu kuchukua hatua fulani — kama kununua bidhaa, kujiandikisha kwa huduma, au kujifunza zaidi kuhusu chapa fulani. Ikiwa unataka kujifunza...
  9. N

    Hatimae nimekuwa mwanaume kamili nimeachana na ushoga

    Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi. Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa. Kwa ambao wanapitia...
  10. Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  11. Afrika na mapokeo ya imani bado haijazoea nuru kamili ndani ya damu yake kuna kivuli cha kale

    Usiku mwingine, kimtazamo wa kiroho huwa haifai kuangaliwa moja kwa moja. Ukishika udongo unahisi joto la wafu wa kale. Ukikalia jiwe la porini, linaloonekana zuri jioni, usiku linakuwa ni mgongo wa kiumbe kisicho na jina, kinacholia kama mtoto aliyezaliwa tumboni mwa ndoto. ardhi ya udongo...
  12. ITV Tanzania na kidokezo bila habari kamili

    Taarifa ya HABARI ITV SAA 2 usiku wa tarehe 14/04/2025 imenishangaza na kuniachia swali mbona kimepitishwa kidokezo pekee bila kusomwa habari ya serikali kupiga marufuku masomo kuendelea likizo?
  13. E

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
  14. J

    Je Ulipata kujiuliza tarehe kamili ya Pasaka(Passover) ni LINI?

    Maadhimisho haya ktk miaka yetu hufanywa na wayahudi na hata wakiristo, ambapo wakiristo mbali na Pasaka huadhimisha pia UFUFUO wa YESU Kiristo Chimbuko lake ni Ukombozi wa Wana wa Israel kutoka Utumwani nchini Misri. Mungu wa KWELI alimtumia MOSES ambaye kupitia kwake Mungu aliwapiga Wamisri...
  15. R

    Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

  16. Anayejua idadi kamili ya nywele zake aniambie nimpe zawadi !!

    Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu. Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average: Blondes: ~150,000 hairs Brunettes: ~110,000 hairs Black hair: ~100,000 hairs Redheads...
  17. China vs USA: Infrastructure, Technology and Development

    Hakuna marefu yasiyo na ncha. Huu ni msemo wetu waswahili ukiwa na maana ya kwamba hakuna kitu kikubwa kisichokuwa na mwisho wake. Dunia yetu hii imekuwa na wababe wengi sana, waliweza kuleta mabadiliko makubwa sana hapa duniani. Walikuwepo akina Gilgamesh watawala ambao waliweza kujiita kuwa...
  18. PreGE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

    Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii. Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa! Pia soma: Lissu: Habari ya...
  19. Maelezo kamili ya makubaliano yajayo ya kusitisha mapigano huko Gaza

    Salaam wadau. haya ndio makubaliano yanayotegemewa kufikiwa kati ya Israel na Hamas hivi punde ⚠️ AWAMU YA 1 (SIKU 42): 1. Kusimamishwa kwa Muda kwa Uhasama: - Kusitishwa kwa muda kwa shughuli za kijeshi na pande zote mbili. - Vikosi vya Israel vitaondoka katika maeneo yenye watu wengi...
  20. Majina yangu matatu kamili yametoka katika walioitwa kazini na sikuomba, hii imekaaje?

    Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu? Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…