Moasseseh-ye Kamili (Persian: موسسه كميلي, also Romanized as Moasseseh-ye Kamīlī) is a village in Veys Rural District, Veys District, Bavi County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 24, in 4 families.
Hi Everyone
Tunasikia mara kwa mara wataalamu wa afya wakituelekeza kula mlo kamili:
Mboga za majani, matunda, protini, nafaka zisizokobolewa na maji ya kutosha.
Lakini kuna eneo moja ambalo halizungumzwi sana - namna chakula hicho kinavyoandaliwa.
Unaweza kula mlo kamili, lakini kama...
Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT.
Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
biashara mtandaoni
chatgpt
kamili
kazi mtandaoni
kuhusu
kujifunza
kupata pesa online
maisha
maisha na kazi
mtandaoni
mwongozo
teknolojia
teknolojia ya ai
CapCut ni nini?
CapCut ni programu ya kuhariri video (video editor) inayotumiwa sana duniani kutengeneza video za:
TikTok
YouTube
Instagram Reels
Matangazo ya biashara
Video za elimu
Ni maarufu kwa sababu:
Ni rahisi kutumia hata bila uzoefu
Ina effects nyingi tayari (ready-made)
Unaweza...
Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige au ana huruma? Au anazingatia sana sheria hataki kufanya violence?!
Naona ni kitu cha kushangaza sana.
Bila shaka hii aya sio ngeni.
Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."
"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada...
Habari wanaJF,
Hebu nikuulize swali moja la msingi kama mmiliki wa biashara👇
Ukiwa nyumbani, safarini au hata nje ya nchi—
👉 Unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi?
Kama jibu ni hapana, basi kuna tatizo kubwa kuliko unavyodhani.
👉 Ukweli mchungu ni huu:
Biashara inaweza kuwa...
Kama habari inavyojieleza, Makonda hakustahili kuwa Waziri kamili, kwanza hana uzoefu wa kutosha bungeni, pili amehudumu unaibu Waziri kwa miezi michache tu. Tatu wizara yenyewe haiendani na itikadi za Makonda
Makonda ni mtu wa shurti na nguvu hasa napotoa matamko yake, wizara ambayo ingemfaa...
Uhuru mliopewa na Uhuru wa makaratasi tu, mkubwa akitaka jambo lake analifanya tu.
Sheria za umoja wa mataifa ni kama zipo tu kuzidhibiti Nchi za hali ya chini.
Nchi kama Marekani ina Sera zake kuwa Nchi nyingine kubwa hazitakiwi kutengeza urafiki wa karibu na nchi zilizoko katika ukanda...
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI!
Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
Wanaukombozi Aluta.....
Kumekaribia kukucha. Tayari tumeseti mitambo sawa. Hii ni rasharasha kuelekea kulikomboa taifa. Tunauungwaji mkono kutoka watu wote muhimu wa kimkakati. Tutawashangaza! Tumewazidi maeneo muhimu ya kiintelijensia. Hawajui hatua zetu muhimu zaidi ya zile foolsstep...
Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.
Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga ukaliaji mpya kamili wa eneo la Palestina. Waziri Mkuu wa Israel anakabiliwa na upinzani mkali kutoka...
Biashara ya dhahabu ni fursa kubwa, lakini ili kufanikiwa ni l azima ujue taratibu za kisheria, wapi pa kupata dhahabu, na mbinu za kuhakikisha unanunua dhahabu halisi. Katika sehemu hii, utajifunza hatua zote muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya dhahabu kwa ufanisi.
3. MAHITAJI YA...
Pamoja na hali mbaya tunayopitia kisiasa, Ntaendelea kusema kwamba heri nusu shari kuliko shari kamili.
Imagine Remote ingeshikwa na Msukuma, Mnyakyusa, Mchaga au Mhaya, Pangetosha ?
Imagine Rimoti ingeshikwa na mdini, aiseee ?
Na bado ninaendelea kuwakumbusha, Kumuondoa mwenye remote kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.