kahawa

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Asema Wakulima wa Kahawa Wataendelea Kunufaika

    MBUNGE WA JIMBO LA NGARA MH. NDAISABA RUHORO AKONGA MIOYO YA WAKULMA WA KAHAWA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mheshimiwa Ndaisaba George Ruhoro amehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Ushirika Ngara Farmers Cooperative Society 2024-2025. Akizungumza na Wakulima pamoja na Wanachama wa Ngara Farmers...
  2. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

    Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa. Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli wakulima wa kahawa Uganda wananeemeka kuliko wenzao wa Tanzania?

    Tanzania ina ardhi kubwa kuliko Uganda, lakini kuna watu wa Bukoba wanaotamani wangekuwa wanaenda kuiuza kahawa yao nchini Uganda. Tanzania inayo bandari, lakini Mganda akitaka kusafirisha kahawa yake, kama siyo kwa ndege, basi atalazimika kuitumia bandari ya Tanzania au ya Kenya. Pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania 2025 pombe basi - ni kahawa majani ya chai na maziwa

    Kuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa. Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.
  5. JamiiForums Tanzania Wauza kahawa wa Dar na maeneo mengine

    Kwa muda wa miaka zaidi ya 1000 kinywaji cha kahawa kimendelea kushika chat kwa kunywewa duniani Wauza kahawa wa vijiweni sasa wameanza kukimbia gharama ya unga wa buni. Kwa sasa kuna mambegu fulani yanaitwa maharo au maharage nayo yana uchungu ila harufu yake mbaya. Wanachokifanya hawa wauza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania exporter wa kahawa anahitajika

    anahitajika exporter coffee
  7. JamiiForums Tanzania Mzee katoa hoja "Mzungu kaitoa Afrika Porini" akamwagiwa kahawa yake

    Kuna ukweli kwenye hili? Anasema kuwa: 1. Anasema mpaka sasa mbona tukisema tunaenda kuangalia majengo ya kale tunachokiona ni kazi ya mwarabu na mzungu, sisi ngome zetu zenye ubora kama ya hao watu ziko wapi? (Wazee wengi ne walifoka sana hapa) 2. Alisema wenzetu walikuja huku...
  8. JamiiForums Tanzania Ipi bora; Kahawa au Energy drink?

    - KAHAWA au ENERGY DRINKS (za viwandani) ipi bora?. * KAHAWA: kinywaji cha asili chenye sifa ya kuongeza nguvu ya ziada kinachotokana na mimea. * ENERGY DRINKS: Vinywaji hivi vya kuongeza nguvu ya ziada kutoka viwandani. ~Vinywaji hivi vimeibuka kuwa maarufu sana hasa kwa vijana ambapo...
  9. JamiiForums Tanzania Mbolea gani inafaa kuweka kwenye kahawa inayoanza kuzaa matunda?

    Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban. Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu wa kujua mbolea sahihi.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kile kijiwe cha kahawa cha wanawake alichokunywa Rais Samia kilienda wapi?

    Nimefika hapa Soko la Wamachinga parking Nzega nikataka kujionea kijiwe cha Kahawa cha wanawake ambacho Rais Samia alionekana akinywa kahawa maana nimezunguka mikoa mingi sijawahi kuona kijiwe cha wanawake, nikataka angalau nikawaunge mkono Wanawake hao ila sijafanikiwa kukiona. Nimeuliza...
  11. P

    JamiiForums Tanzania KWELI Black Ivory Coffee, kahawa ambayo mchakato wa utengenezaji hupitia kumezwa na kutolewa kwenye kinyesi cha tembo

    Wakuu, Nimekutana na video huko duniani, kahawa hii wanapewa tembo wale na tembo hao wakijisaidia inaenda kusafishwa kisha kuuzwa, wanadai eti ikipita kwenye mwili wa tembo inapunguza ladha ya uchungu, yaani isiwe kali sana. Hii ni kweli wataalamu?🥲 Video hii hapa👇 ---
  12. JamiiForums Tanzania Mwendo wa kahawa na vitabu tu. Kweli pesa ni sabuni ya roho aisee!

    Nakaribisha makasirko aisee
  13. JamiiForums Tanzania Ukulima wa kahawa kwa maendeleo ya wakulima na pato la taifa (dhahabu shambani)

    Kahawa imekuwa zao muhimu la biashara nchini Tanzania kwa zaidi ya karne moja, ikichangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa taifa na ustawi wa wakulima wadogo. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, mabadiliko makubwa yameonekana kwenye sekta hii, ambayo yamebadilisha maisha ya wakulima wa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo Nimeweka na kielelezo Dominika njema
  15. JamiiForums Tanzania RC Babu azindua Msimu wa 5 Kahawa Festival na kutoa neno

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Nurdin Babu amezindua msimu wa tano wa Tamasha la Kahawa(Kahawa Festival) na kutoa wito kwa wananchi kujikita kwenye uzalishaji wa zao la Kahawa. Amesema zao la Kahawa lilichangia kwa kiwango kikubwa kufanikisha maendeleo ya mkoa ikiwamo kuwa na shule nyingi za...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kutuma kahawa Marekani

    Habari za mchana jamii, Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi kidogo kama 400g ya kahawa. Hali hii ya urasimu inakera sana na inafanya iwe ngumu kwa sisi Watanzania...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mbolea gani inafaa kwa ajili ya kupandia kahawa/mibuni.

    Nahitaji kupanda miche ya kahawa/buni. Naomba kufahamu mbolea za kiwandani zinayotumika kwa upandaji. Naomba pia kufahamu kipimo kinachofaa kwa kupandia kwa kila mche/shimo moja. Soma Pia: Nimepanda kwa kutumia mbolea isiyofaa, hatua gani nichukue?
  18. JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya kahawa Kagera yafikia Tsh. 4,100, shangwe kila kona ya mkoa

    Na Bwanku M Bwanku Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa. Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa ilikua inagotea kuishia 1,100 kuzunguka hapo lakini leo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan bei ya...
  20. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wakulima wa Kahawa Kagera ni Shangwe Tupu, Bei ya Kahawa Imepanda

    WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA NI SHANGWE TUPU, BEI YA KAHAWA IMEPANDA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kusimamia vyema Maono ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwainua Wakulima wa Kahawa na kuwezesha bei ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…