Nipo pembeni mwabkitanda changu nimekaa na kikombe cha kahawa,isiyokuwa na maziwa au sukari.Pembeni kuna redio ndogo nasikiliza mambo mbalimbali kwa sauti ya chini sana.Kitandani kalala mke wangu yupo fo fo fo kabisa.
Kalala kwa amani kabisa akijua yupo mlinzi wake.Nyumba nzima ni...