kagame

Paul Kagame (; born 23 October 1957) is a Rwandan politician and former military leader. He is the 4th and current President of Rwanda, having taken office in 2000 when his predecessor, Pasteur Bizimungu, resigned. Kagame previously commanded the rebel force that ended the 1994 Rwandan genocide. He was considered Rwanda's de facto leader when he served as Vice President and Minister of Defence from 1994 to 2000. He was re-elected in August 2017 with an official result of nearly 99% in an election criticized for numerous irregularities. He has been described as the "most impressive" and "among the most repressive" African leaders.Kagame was born to a Tutsi family in southern Rwanda. When he was two years old, the Rwandan Revolution ended centuries of Tutsi political dominance; his family fled to Uganda, where he spent the rest of his childhood. In the 1980s, Kagame fought in Yoweri Museveni's rebel army, becoming a senior Ugandan army officer after Museveni's military victories carried him to the Ugandan presidency. Kagame joined the Rwandan Patriotic Front (RPF), which invaded Rwanda in 1990. RPF leader Fred Rwigyema died early in the war and Kagame took control. By 1993, the RPF controlled significant territory in Rwanda and a ceasefire was negotiated. The assassination of Rwandan President Juvénal Habyarimana set off the genocide, in which Hutu extremists killed an estimated 800,000 to 1,000,000 Tutsi and moderate Hutu. Kagame resumed the civil war, and ended the genocide with a military victory.
During his vice presidency, Kagame controlled the national army and maintained law and order, while other officials began rebuilding the country. Many RPF soldiers carried out retribution killings. Kagame said he did not support these killings but failed to stop them. A small number of these soldiers were later put on trial. Hutu refugee camps formed in Zaire and other countries. These camps were given food and medical aid by several western governments and aid agencies. The RPF attacked the camps in 1996, forcing many refugees to return home, but insurgents continued to attack Rwanda. The attack on the refugee camps killed an estimated 200,000 people. As part of the invasion, Kagame sponsored two controversial rebel wars in Zaire. The Rwandan- and Ugandan-backed rebels won the first war (1996–97), installing Laurent-Désiré Kabila as president in place of dictator Mobutu and renaming the country as the Democratic Republic of the Congo (DRC). The second war was launched in 1998 against Kabila, and later his son Joseph, following the DRC government's expulsion of Rwandan and Ugandan military forces from the country. The war escalated into a conflict that lasted until a 2003 peace deal and ceasefire.
As president, Kagame has prioritized national development, launching a programme to develop Rwanda as a middle-income country by 2020 (Vision 2020). As of 2013, the country is developing strongly on key indicators, including health care and education; annual growth between 2004 and 2010 averaged 8% per year. Kagame has had mostly good relations with the East African Community and the United States; his relations with France were poor until 2009. Relations with the DRC remain tense despite the 2003 ceasefire; human rights groups and a leaked United Nations report allege Rwandan support for two insurgencies in the country, a charge Kagame denies. Several countries suspended aid payments in 2012 following these allegations. Kagame is popular in Rwanda and with some foreign observers; human rights groups accuse him of political repression. He won an election in 2003, under a new constitution adopted that year, and was elected for a second term in 2010. Kagame was elected again in 2017, and due to yet another change in the constitution, he could potentially be President until 2034. His role in the assassination of exiled political opponents has been controversial.

View More On Wikipedia.org
  1. Pakome

    Kupitia shutuma za Marekani kwa Rwanda, Rais Kagame anatakiwa aachane na tabia ya kukiuka Mikataba kana kwamba hajasoma

    Tabia mbaya kama hii ya raisi Kagame kugeuka makubaliano sana sana inafanywa na watu wasiokuwa na elimu lakini kwa msomi kama Kagame pamoja na cheo chake kuwa na tabia kama hii ya kukiuka makubaliano ya Mikataba ni tabia ya hovyo sana na anapaswa kuwa na aibu Ifike mahali angalao basi viongozi...
  2. Bawabu wa pili

    Rwanda: Kagame ayafungia maelfu ya makanisa ya Kiinjili

    Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali. Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa...
  3. pulex

    Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  4. Lord Denning

    Ukimsikiliza Kagame vizuri kuhusu Mapinduzi Afrika, ni kama alikuwa anaongea na JWTZ

    Kila mtu anashangaaa. Wachambuzi wa Afrika wanashangaa. Wachambuzi wa Dunia wanashangaa. Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
  5. Lord Denning

    PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  6. mager6

    D9 ndio Habari Kagame looo

    Habari Kila kona. D9 una division Four points 28 inaturudisha kule kule Mo9. Nii ni mbaya na ngumu kumeza Pamoja na msamaha wa jana naona ni mwendo wa D9. Hapa nahisi Namba moja wa Kule Kwa warembo anatumia mwanya wa hili janga. Ninavyomjua yule mtu mrefu hataacha yapite bila kujichukulia...
  7. Scared

    Nimesoma bandiko la mwandishi wa habari Twitter kwamba kuna watanzania wameanza kupewa silaha na Kagame

    Kuna muandishi wa habari Rwanda ambaye makazi yake ni Marekani kaandika kwenye Twitter yake kwamba kapenyezewa habari na watu wake wa karibu waliopo ndani ya jeshi la Rwanda kwamba Kuna watanzania wameanza kupewa bunduki na wanajeshi wa Kagame hii ishu ni inaweza kuwa serious wakuu sababu huyu...
  8. Chibike

    Ruto, Museveni, Kagame, na wengineo pamoja na mabaya yao, hawajawahi kuweka rekodi ya kuua halaiki ya watu wasio na hatia

    Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
  9. M

    Huku Tanzania kukiwa na ruhusa ya kula kwa urefu wa kamba, Hiki ndicho kinaendelea kwa Kagame, Naiona Rwanda mbali baada ya miaka 20

    Mbali na staili yake ya uongozi wa kimabavu lakini kwenye hili hatuna budi kumpa tiki kubwa sana. Kuna nchi nyingi Afrika zinazoongozwa kimabavu na chache zinazojitahidi demokrasia lakini bado kuna tatizo kubwa sana la ufisadi na rushwa. Rwanda, chini ya uongozi wa Rais Kagame, imeweza kusimama...
  10. M

    Kama hii ndio mbinu aliyotumia Kagame kudhibiti Rushwa na Ufisadi, basi Tanzania na nchi nyingi Afrika tuna safari ndefu, Sio Rahisi hata kidogo

    Katika video hii, Rais wa Rwanda, Paul Kagame aliulizwa kuhusu namna ya kupambana na rushwa akajibu rushwa haiondoki kwa kusali au kuswali bali kuwa na nia hamuitaki. Hili suala la kutotaka rushwa ni kwa kila mtu hadi viongozi. PIa ametaja kuwa uwajibikaji ni muhimu kwa ngazi zote hadi...
  11. A

    BADALA YA KUIPUUZA KAGAME CUP, KWANINI SIMBA, AZAM NA YANGA WASINGEPELEKA JUNIOR SQUADS...HII INGEKUWA PRE-SEASON TOSHA KWAO

    Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo... Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa...
  12. prince alex khalifa

    MUHOOZI: KAGAME NA MUSEVENI NI MATAJIRI KULIKO ELONI MUSK HUYO ELON WENU NI MASIKINI KWA HAWA WAWILI

    Uzi tayari
  13. LopoLopo

    UTAFITI: Rais Samia awapiku Ruto, Kagame na Museveni-Moody's

    TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3...
  14. MALCOM LUMUMBA

    Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao. Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
  15. Lord Denning

    Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

    Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo. Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa. Hakuwaacha hapo tu, kawaambia...
  16. The Zanzibar Echo

    Kagame asema kuna uwezekano wa kufikia makubaliano ya amani DR Cong

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa kuna fursa ya kufikia makubaliano ya amani katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na kuongeza kuwa mzozo katika nchi hiyo unasababishwa na msukumo kutoka nje. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Kagame amesema kuwa hatua zozote za kutatua...
  17. McLaren

    SI KWELI Jeshi la Rwanda lathibitisha Paul Kagame kuwa kwenye hali mbaya ya kiafya

    Wakuu,
  18. GENTAMYCINE

    UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

    Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
  19. stakehigh

    PAUL KAGAME & JAMES KABAREBE: Mastermind & Unspoken hero's of Africa’s Hidden Battles

    Paul Kagame, Rais wa Rwanda, anachukuliwa kuwa mmoja wa ma-genius wa kijeshi barani Afrika. Kuanzia msituni hadi ikulu, Kagame ameshinda vita ngumu na kubadilisha historia ya Afrika ya Kati kwa mbinu za kijeshi za kipekee. 🪖 Vita alivyoshinda: Vita ya Msituni Uganda (1981–1986): Alipigana na...
  20. Fbn

    Tupate kicheko kwa kagame 2025

    Nahisi yale kipindi cha Rwanda na Burundi yana weza kuwa na haya haya japo wengi walichoka huko. Kuna kitabu kinaitwa mshenzi wa kwanza ni serikali hakuna anayeweza kupeleka nchi kama unanguvu kubwa. Hitler ilikuwa funzo kwa dunia. Siku tukijua No reform No election basi Rwanda ni ulaya...
Back
Top Bottom