kabwe

  1. Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

    Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
  2. Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

    Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE. SWALI MUHIMU: msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi? CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
  3. Zitto Kabwe alikuwa na nguvu gani isiyo ya kawaida?

    Leo nimelikumbuka bunge la spika Sitta la mwaka 2005-2010. Lilikuwa ni bunge la aina yake. Matukio mengi sana yalitokea katika bunge lile mpaka likagharimu nafasi ya hayati Sita kama Spika wa Bunge. Ila leo, nimekumbuka zaidi matukio ya Zitto Kabwe. Tukio la kwanza ni kuhusu ajali ya hayati...
  4. Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

    Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha. Hii maana yake JPM angetawala miaka 10 basi robo tatu ya watanzania...
  5. Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri. “Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
  6. Kama Zitto Kabwe unaweza kununuliwa ukipewa nchi si utatupiga mnada?

    Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo. Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati Dr. Magufuli ingawa ukweli unaonekana wazi kuwa Maiti ya shujaa wetu ina nguvu kuliko watu hao walio...
  7. Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
  8. Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

    Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito. . Namchukia sana kutoka rohoni mwangu. . Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM. . Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
  9. K

    Je Zitto Kabwe ana Legacy Gani Hapa Tanzania?

    Ndugu wanabodi habari zenu!! Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana ushahidi wowote.Lakini serikali ya mama Samia imekaa kimya tu...
  10. Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

    Siku moja baada ya mwanasiasa Willbrod Peter Slaa kukosoa mchakato wa jamii kuichambua ripoti ya CAG kwa madai kuwa sheria hairuhusu kufanya hivyo mpaka Kamati ya Bunge iipitie, ameomba radhi kwa kueleza kuwa alikuwa anasimamia sheria ambayo haikufanyiwa kazi. Dkt. Slaa alinukuliwa akisema...
  11. Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

    Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini? Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua...
  12. SURA MBILI ZA ZITTO KABWE, Je wewe unamwongelea katika upande gani?

  13. Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

    Leo bungeni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amemvaa vikali kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe kwa kumsema Hayati Magufuli. Kibajaji amemuita Zitto muoga kupitiliza kwani wakati Magufuli yupo hai hakusema mpaka ameondoka. Pia Kibajaji amesema wote wanaomsema Magufuli ni wanafki na hata Samia...
  14. Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

    Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM. Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu...
  15. Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

    Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU I repeat a call...
  16. C

    Mambo yanayoashiria kuhusika kwa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo na ufisadi wa NSSF

    1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki. 2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja...
  17. Serikali inafanya makosa kutomfunga jela Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi anayofanya. Afungwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho

    Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo. Anatamka hadharani kuwa mkuu wa nchi aliyefariki alituma watu wachome nyumba yake.Na...
  18. J

    Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

    ..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi. ..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani. ..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
  19. Zitto Kabwe: Watu wapo huru kwa sasa, hawaogopi kuzungumza

    Kiongozi wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe alikuwa kwenye kipindi cha Tv ndani ya Clouds TV asubuhi ya leo Aprili 11, 2022 amezungumza mambo mengi ya kisiasa, haya ni baadhi ya yale aliyozungumza kwenye interview yake hiyo: Amesema mazingira ya kisiasa Nchini Tanzania yamebadilika na kuna uhuru...
  20. Zitto Kabwe ampongeza Nape kwa kuthamini haki na kuihubiri

    Mwanasiasa Zitto Kabwe amempongeza kauli ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kuhusu umuhimu wa haki. Zitto ameandika: “Asante sana Nape Nnauye kwa msisitizo huu wa HAKI. Haki za Watu ni jambo la Msingi kwa jamii yeyote kuweza kupiga hatua. Nimefarijika sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…