kabwe

  1. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Naomba qualification/CV zao. Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO. Sifa zingine: Baba LEVO ni CHAWA ZITTO ni mnafiki na opportunist.
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZItto Kabwe ameanza mbwembwe ACT mnajulikana!!

    Akiwa Zanzibar' kumtambulisha Mgombea Urais wa Chama chake Luhaga Mpina, Kiongozi wa zamani.wa ACT wazalendo ZItto Kabwe amejiapiza kwamba kama Luhaga Mpina atashinda kwenye Uchaguzi huo, kama atatangazwa au kama hatatangazwa, atakuwa Rais. Amesema vivyo hivyo kwa wagombea Ubunge na Udiwani...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

    Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam. JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

    Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  6. M

    JamiiForums Tanzania FAM ni Zito Kabwe aliechangamka.

    Salama Wakuu, sasa nimeamini adui namba moja wa demokrasia na siasa za vyama vya upinzania ni Freeman Mbowe. Wanachama wa CDM wameteswa na wengine kuuwawa na kupotezwa kumbe FAM anajua na anaangalia tu na kengeza lake, katili sana mtu huyu. Hana tofauti na Zito ila yeye kachangamka kuliko Zito...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake. Kamanda Silo lazima alipe fadhili.

    Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe. Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema. Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Zito Zuberi Kabwe kwa ukandamizaji wa haki unaoendelea inasikitisha na kufikirisha

    Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania. Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Gwajima yamuibua Zitto Kabwe akichukizwa na mauaji ya watoto na raia wasio na hatia huko Gaza!

  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Watawala wa awamu ya sita wanamwogopa Habinder Seth wa IPTL

    Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth. Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh kisa sakata la IPTL

    Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mfanyabiashara huyo na kumvunjia heshima mbele ya jamii Akizungumza na wanahabari leo Zitto Kabwe amesema kuwa kesi hiyo imetokana na yeye kuzungumzia...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe anataka watu wapoteze muda kujadili viporo vya IPTL/ESCROW wakati huu?

    Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana hakuna pesa zilizokwapuliwa zinazoweza kurujeshwa tena au mtu yeyote aliyekwapua atakayewajibishwa...
  13. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe: Yeyote atakayemsaidia Seth katika sakata la IPTL ataanguka naye

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo na mtaalamu wa uchumi, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa watu wote- ndani na nje ya Serikali wanaojihusisha au kupanga kumsaidia mfanyabiashara Harbinder Seth katika madai yanayohusiana na fedha za umma zilizotokana na sakata la IPTL na Akaunti ya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anatoa tamko, asema Seth amemfungulia kesi, atakiwa kulipa bilioni kadhaa

    https://www.youtube.com/watch?v=lWxel_pUiVk Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mtu huyo na kumvunjia heshima mbele ya jamii. Akizungumza na wanahabari leo Zitto Kabwe amesema kuwa kesi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo ajitosa Ubunge Kigoma, anajiweza kweli kuchuana na Zitto Kabwe?

    Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia! === Msanii na Mtangazaji maarufu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ya Zitto Kabwe kugombea ubunge, je kaambiwa ataachiwa jimbo? Kwanini serikali na polisi wanamuonea Mdude Nyagali? Amekosa nini?

    Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: IPTL ni dude linalofufuliwa kila Awamu

    Soma, Pia: CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127 IPTL dude linalofufuliwa kila Awamu. Mahakama ilishamaliza suala hili tena mahakama ya rufaa. Kampuni haipaswi hata kuwepo kwenye rejesta ya BRELA. Yeyote anayethubutu kurudisha mzimu...
  18. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

    Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa. Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
  19. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimeijua CHADEMA kupitia Zitto Kabwe, Halima Mdee na Tundu Lissu

    Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA. So CHADEMA imejengwa na watu wengi maana hata hao wote juu walionifanya nikaijua CHADEMA lissu pekee ndio kabaki...
Back
Top Bottom