kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kila ikifika Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Lazima kutokee Mikwaruzano Ya Kisiasa CHADEMA Ya FAM Hii ndo SIRI ILIYOJIFICHA

    Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Na sasa ni kweli pia...
  2. JamiiForums Tanzania Beginners: Tujifunze kufanya Diagnosis ya Magari wenyewe kabla hatujaenda Gereji!

    Habari wakuu. Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance). Nadhani wengi tumewahi kusikia hii term OBD ambayo ni kirefu cha on-board diagnosis. Sasa tukienda gereji...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini

    Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali watakiwa kuwasilisha taarifa za Mali na Madeni kabla ya Desemba 31, 2024

    Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024. Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Raia aliyeanza kuomba kabla ya uhuru

    Unaweza kumwita kwa majina utakayo: rais wa ombaomba, nguli wa kuomba, mtoto wa mjini na mengineye. Hata hivyo, unaweza kumwita mwamba aliyefikia hatua yakutunishiana misuli na mamlaka unamkumbuka ombaomba huyu maarufu nchini? Alijulikana kwa jina moja la Matonya. Jina lake likawa kiwakilishi...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

    Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
  7. JamiiForums Tanzania Kabla ya Mwaka Kuisha - Fahamu Makadirio ya Gharama Ujenzi wa ile Nyumba Yako!

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa Vuka Kabla ya Kuvuka

    SALAAM Mada yahusika hapo juu. Jana kulikuwepo mkesha ulioandaliwa na huduma ya Arise and Shine chini ya Mtumishi Mwamposa. Nilikuwa nikufuatilia matukio nikiwa nyumbani kupitia TV. Kilichonichosha na kunitoa kwenye reli kabisa ni pale mkuu wa mkoa alipopewa nafasi ya kusalimia waaumini...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama havai shanga siwezi kuwa na mahusiano nae, kabla ya yote nauliza kuhusu Shanga kama anazo

    Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga. Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote Pang Fung Mi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakupaswa kusubiri watu watangaze kugombea uenyekiti bali alitakiwa awe ametang'atabgaza kung'atuka kabla

    Mbowe amekaa kwenye hiyo nafasi kwa muda mrefu na amefanya mengi mazuri na bila shaka kuna mambo hakuyafanya vizuri kama binadamu. Hata hivyo; ni hulka ya wanadamu kutaka mabadiliko hata kama utakuwa kiongozi mzuri kiasi gani. Kuna wakati utafika watu watatakka ukae pembeni upishe wengine. Sio...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kabla hujamtongoza anakuwa amesha tambua lengo lako kupitia lugha ya macho

    ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni. Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
  12. JamiiForums Tanzania NAMNA YA KUJIANDAA KIUCHUMI KABLA YA KUANZA UJENZI🦺

    Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

    Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:- 1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani? 2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo...
  14. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally atupa dongo kwa Yanga, awaita Simba B baada ya Mwenda kutua kikosini na kuwa mchezaji wa 4 aliyecheza Simba kabla ya Yanga

    Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
  15. JamiiForums Tanzania Ndama wa namna hii akizaliwa zizini kwako, je utamwacha aishi au utamuuwa haraka kabla majirani hawajamuona? Je nini husababisha hali hii?

    Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani. Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini. Je akizaliwa kwako utamtunza? Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo? Je hali hii husababishwa Na nini?
  16. JamiiForums Tanzania Yanga msitafute wachawi wachawi wenyewe..wale wachezaji wanarekodiwa wako bar Masaki siku 3 kabla ya mechi mkaona starehee nabado

    Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao. Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

    Nyieee Wanaume viumbe rahisi sana Alafu wanaume wanatoa sana hela Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana Ushauri: Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa Jamani 1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine 2. Usitoe mzigo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  19. JamiiForums Tanzania Mzozo mkali wazuka Willy Paul akizuiwa kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City

    Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City Inaelezwa pia Diamond Platnumz hakupiga show Soma, Pia: + Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya + Hii...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama

    Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika. Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo. 😩😩😩
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…