kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania John Mnyika; upo umuhimu waliombwa wimbo wa BERNAD MUKASA unaoitwa NGUVU YA MAZUNGUMZO kabla ya kupigwa kura mkutano mkuu

    Natambua kwamba wapo wagombea wasiotaka kushindwa ndani ya chadema. Wanaweza wakawa upande wa Mbowe na wengine upande wa Kisu. Ili kuwatakia safari njema nje ya CHADEMA na kuwafanya watafakari vyema kabla yakuanza safari nyingine nje ya CHADEMA nakushauri uitekeleze wajibu wako kwa kumwelekeza...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi kabla ya kwenda usaili wa WALIMU sekretarate ya Ajira mwaka 2025

    Mkuu Twende Wote Hapa😁 If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced educator, there are key elements that you need to understand. In this guide, we’ll walk you through...
  3. JamiiForums Tanzania WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

    Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti, Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
  4. JamiiForums Tanzania Kabla hujanunua hati fungani za serikali, zingatia haya

  5. JamiiForums Tanzania Sipendezwi na wanachama wa Simba wanaotoa taarifa za klabu kabla ya klabu yenyewe

    Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike. Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo wa kujitokeza na kutoa taarifa za klabu ya Simba kabla ya taarifa rasmi kutolewa na klabu yenyewe...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni kama sielewi naombeni ufafanuzi, Kumewahi kuwa nchi au falme inayoitwa Palestina kabla ya 1948 inayoongozwa na waarabu kabla ya 1948 ?

    Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
  7. JamiiForums Tanzania Trump alisema asikute huo uchafu hapo, hao mateka waachiwe kabla hajafika ofisini, na tayari HAMAS wamekubali

    Trump alipiga mkwara kwamba akiingia akute mateka wameachiwa la sivyo kutakua jehanamu, naona HAMAS, magaidi wenye mlengo wa kiislamu wamekubali amri, yule jamaa ni chizi, patanyooka sana hapo ukanda huo...... Hamas has accepted draft agreement for Gaza ceasefire and hostage release, officials...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine. Kwa hotuba hii ya John Pambalu: Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa: "Pesa kitu gani?" Kwamba, pesa makaratasi! Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
  9. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani, sasa unaliamini tofauti kabisa na vile ulivyokuwa ukiliamini kabla hujawa mtu mzima?

    Wakuu natumaini mu wazima wa afya,.... Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale inapobidi,... Kwangu mimi , nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikiwaona WATU WAZIMA wakiongea PEKE YAO njiani, basi...
  10. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa 1 USD kufika 2600+ Tanzania Shilling kabla ya mwisho wa mwezi, Technical analysis.

    Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo Ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ujenzi

    Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UJENZI NOTE: Kufuata taratibu za kitaalamu katika UJENZI kunaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi mpaka 15% pamoja na kukuepushia hasara inayoweza kutokea mbeleni, sambamba na kukupatia kitu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

    Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi. Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli bali ni mropokaji. Lissu anaropoka jambo lolote ambalo anahisi wafuasi wake watapenda kulisikia na...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Neno "tafuta hela" limeua dhana nzima ya neno" mahusiano" na" upendo"

    Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu...
  15. JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Kabendera kinajadiliwa kabla hakijasomwa

    Watu wamesikia tu Kabendera kaandika kitabu wanaanza kukijadili. Nadhani ingekuwa bora kusubiri wakisome kwanza hicho kitabu. Sasa hivi Serikali itakuwa inafikiria ichukue hatua gani kuhusu hicho kitabu. Mpaka hapo,watu wawe na subira. Vinginevyo katika kuzungumza maneno mengi bila kuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Satr Anise zipi ni salama? nimesoma mahali kuna zenye sumu. Noamba ushauri kabla sijazitumia

    Wakuu wangu habari za wakati huu.. Naombeni msaada wa haya madude. Hapa chini Nataka niwe na kunywa chai ya star anise na nimeenda sokoni kununua star anise. Cha kushangaza wakati na peruzi peruzi kabla sijanywa nikakutana na hili tishio huku lisemalo star anise za kichina ndiyo salama...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania hatujawahi kuwa na Marais au Mawaziri ambao kabla ya madaraka waliwahi kuendesha mradi wowote na wakafanikiwa

    Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa. Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu. Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote...
  20. M

    JamiiForums Tanzania ARIDHI NI MTAJI HAKIKA.

    kabla sijafikisha miaka 35 nataka nimiliki plot /viwanja/mashamba kwenye kila mkoa Tanzania Bara, Mungu anitangulie kwenye hili jambo, nimebaini utajiri wa kizazi kijacho upo katika aridhi, usipomiliki aridhi baada ya miaka 20 hali itakuwa mbaya sana, Aridhi inaenda kuwa dili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…