kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkristo anayejitambua anajua yeye ni Mwanadiplomasia wa Serikali ya Mungu. Haripoti chochote kwa mtu kabla ya kuongea na Serikali yake.

    Niwatakie jumapili (siku ya kwanza ya juma) njema. " Uraia wetu uko mbinguni" Wafilipi 3:20 Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  2. JamiiForums Tanzania Kama Bado Unakisia Tarehe ya Chanjo, Unahatarisha Kuku Wako! Fuga App Hukumbusha kwa SMS Kabla Ya Siku Kufika!

    Kitu kimoja kidogo cha kuondoa kwenye kichwa chako. Kama umewahi kufuga kuku unajua jinsi ilivyo rahisi kusahau chanjo inayofuata ni lini… na chanjo gani hasa. Maisha yamekuwa ya haraka sana, na wafugaji wana mambo mengi ya kushughulikia kila siku. Kusahau chanjo ni jambo la kawaida lakini lina...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

    Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga. Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa. Kuhusu usaidizi...
  4. JamiiForums Tanzania 📘Somo la 7: Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza

    🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? 💭💰 Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna mambo maswali muhimu inabidi ujiulize. ❓Je...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi TFF, usichukue fomu ya kugombea kabla ya kuwa na waungaji mkono, rushwa.

    Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja. Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika. Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata...
  6. JamiiForums Tanzania Iran kabla ya mapinduzi ya Ayatollah mwaka 1979

  7. JamiiForums Tanzania Yatakayotokea Tanzania kabla na baada ya Uchaguzi

    Awali ya yote niwapongeze watanzania kwa busara na uvumilivu wa hali ya juu tulio nao...juzi nilikutana na wazee fulani huko porini wazee hao miongoni mwao waliwahi KUFA kabla mission zao hazijatimia na wengine walitimiza huku wengine wakiwa wametimiza nusu ya mission iliyo waleta duniani...
  8. JamiiForums Tanzania Wajibu wa Mihimili ni Katiba: Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana!. Je Bunge Lifanye Minimum Reforms Kabla Kuvunjwa Au ?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikijkita kwenye kumpongeza Spika wa Bunge, Dr Tulia Akson kwa kukumbushia majukumu na wajibu wa mihimili ni kwa Katiba ya JMT : Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana na sio kwa mihimili kujinyenyekeza kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Gari jipya la umeme litakalotengenezwa Tanzania bei yake itaanzia usd 800 bei ya kiwandani kabla ya kodi

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa mchakato mkubwa wa kuzalisha gari la umeme Tanzania Features za magari ya umeme yatakayozalishiwa Tanzania yatakayozalishiwa Tanzania life expectancy ya bodi ya gari miaka 40 life expectancy ya battery miaka 15 Life expectancy ya motor miaka 20 Battery...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yajibu hoja ya Mbunge "Kuondoa sharti la kulipa kodi kabla ya kuanza biashara"

    Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa. Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
  12. JamiiForums Tanzania Trump: Iran, Israel zinahitaji 'kupigana' kabla ya kupatana

    Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana" kwanza kabla ya kuafikiana.Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo...
  13. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  14. JamiiForums Tanzania Ufaransa yashauri Iran irudi haraka kwenye mazungumzo ya nyuklia kabla haijasambaratishwa zaidi

    By AFPToday, 8:39 pm French President Emmanuel Macron (L) meets with Iran's President Masoud Pezeshkian (R) on the sidelines of the 79th Session of the United Nations General Assembly at the UN headquarters in New York City on September 24, 2024. (Ludovic Marin/AFP) Share PARIS, France —...
  15. JamiiForums Tanzania Heshimuni Haki ya kusikilizwa kabla ya kuadhibu Art. 13(6)(a) Katiba

    Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa lazima wazingatie haki ya kusikilizwa ambayo ipo kwenye Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba ya nchi yetu. Ibara...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyau aliagiza Iran itandikwe kuanzia November 2024 agizo litekekezwe kabla ya April 2025

    Wadau hamjamboni nyote. Advertisement Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana. "Agizo hilo lilitolewa muda...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano yafanyika Nairobi huku kizazi cha Gen Z kikijaribu kumzuia Waziri Mbadi kuwasilisha bajeti ya mwaka 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Wn-0pGD3hwg Mamia ya waandamanaji wamekusanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi na miji mingine nchini Kenya wakipinga mipango ya serikali kuhusu bajeti mpya inayotarajiwa kuwasilishwa rasmi bungeni siku ya Alhamisi na Waziri wa Fedha John Mbadi...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!

    TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza kesi au onyo, Lissu kafungwa kama hata kesi yake haijasikilizwa, mshahidi mpaka leo wa siri na hakuna...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki

    Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…