jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Habari JWTZ Na majeshi ya ulinzi na usalama nchini!?

    Habari kwenu majeshi ya ulinzi na usalama nchini (Tanzania)? Tangu uchaguzi upite Leo ni siku ya 9! Lakini cha ajabu hatuoni tena mkifanya mazoezi ya utayari kwa umoja wenu mtaani. Tulipowaambia mnatumika kisiasa kutisha raia mlitoka hadharani na kusema mnafanya mazoezi ya utayari huo utayari...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 JWTZ imeonyesha udhaifu mkubwa! Ilikuwaje mkaruhusu vifo vya Wananchi mnaotakiwa kuwalinda (kama Jeshi la Wananchi)?

    Kwa jeshi hili siku tukijichanganya kwa Burundi tutachapika vibaya mno, ndani ya masaa 8 nchi yote itakua mikononi mwa Burundi. Wanajeshi wetu mnachoweza nikukamata vijana waliovaa sare zenu basi Msije kujichanganya kwa Burundi au Rwanda. Nimemaliza.
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 JWTZ ni "Jeshi la Wananchi" au "Jeshi la Wanasiasa"?

    JWTZ Haina Sifa ya Kuwa Jeshi la Wananchi Katika muktadha wa mageuzi ya kijeshi na kisiasa duniani kote, tunapaswa kujiuliza: je, Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lina sifa ya kuitwa "Jeshi la Wananchi"? Au ni jeshi la watawala na wateule wachache? Ingawa JWTZ inajivunia historia ndefu ya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa tuliyoyaona na Hatua zilizochukuliwa na Vyombo vyetu vya Usalama; Tunahitaji Silaha Kujilinda

    Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA? Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu: 1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
  5. JamiiForums Tanzania APPRECIATION: Asanteni sana JWTZ walau kwa hicho kidogo mlichofanya

    Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza. Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji. Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi...
  6. JamiiForums Tanzania Askari waliovalia kombati za JWTZ waonekana airport Entebbe

    Page ya Instagram ya wananchiforum imeripoti kuonekana kwa Askari jeshi , waliovalia kombati za JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe , Uganda.
  7. JamiiForums Tanzania Niliwaambia kuhusu JWTZ na huyo mkuu wao….

    Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi. Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni. Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia. Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

    Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki! Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions Na walio...
  9. JamiiForums Tanzania JWTZ tangazeni usiku huu kuchukua nchi. Enough is enough.

    Samia kakimbia nchi. Yupo mpakani mwa Tanzania na Uganda. Anang'ang'ania arudi ili aapishwe na kuendelea kuwa Rais. Anaua Watanzania kwa mercenaries wake aliowatoa Uganda kwa Mtoto wa Museveni. Mumeona namna hao wanajeshi wa Uganda walivyoua na wanavyoua Watanzania. Samia sio tu hafai kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Watakaochukua nchi, kwenye baraza lenu la mpito watumieni Jaji Warioba, Jaji Makaramba, Jaji Amir Manento na Prof. Assad

    Kwa tulipofika suala la Jeshi la Wananchi kama Taasisi pekee inayoungwa mkono na Wananchi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito haliepukiki. Ili kusiwe na mkwamo wa kisheria na masuala ya kiserikali yaendelee kama kawaida huku huduma za Wananchi zikiendelea napendekeza kwenye Baraza la Kijeshi...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 CDF Mkunda ameamua kusimama dhidi ya wananchi. JWTZ mnajua cha kufanya. Madagascar ni case study nzuri

    Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba. Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi. Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi. Dunia inajua...
  12. JamiiForums Tanzania JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  13. JamiiForums Tanzania JWTZ mnavyozidi kuchelewa mtakuja jutia. Tangazeni sasa Mmechukua nchi na fungeni mipaka yote.

    Watanzania wanasubiri tamko moja tu kutoka kwenu nalo ni Mmeichukua nchi na mnaiendesha. Hicho kigugumizi chenu mnachokiendekeza hadi muda huu nchi inaendelea kuwa hivi nawaambia mtakuja kupigwa suprise hamta amini. Fanyeni maamuzi haraka leo hii la sivyo mtakuja jutia. Samia yuko radhi...
  14. JamiiForums Tanzania JWTZ, Msiache kuitazama Wizara ya Fedha na Benki Kuu. Watakuwa wanachota hela in a panic Mode

    Kati ya Maeneo ya kutizama sasa ni Benki Kuu, Benki za Biashara na Wizara ya Fedha. Naomba Jeshi letu mzuie utoroshwaji na uchotwaji wa fedha zozote zile kwenye hizo Taasisi Msisahau kuwakamata na kuwaweka kizuizini Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Mkurugenzi wake na Makamishna wote.
  15. JamiiForums Tanzania JWTZ, Wakamateni Mwenyekiti na Mkurugenzi na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. Msiwasahau Mafwele, Murilo na Ma RPC wote

    Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu. Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
  16. JamiiForums Tanzania Leo JWTZ limelinda heshima yake na kuthibitisha uimara wake

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni chombo cha wananchi. Leo, limethibitisha kuwa ni jeshi la wananchi na si la watawala. Bila aibu, woga wala ukatili, kwa amani na furaha, limesimama na wananchi kiasi cha kushangliwa. Sijui, kwa nilichoona, Sami anangoja nini? Kongole jeshi letu. Shilkilia...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ mpelekeni haraka Oman kwa Wajomba zake na Itisheni baraza la Uongozi la Kitaifa

    Wananchi tumeshachukua nchi yetu. Tunawaomba sana makamanda wetu tunaowapenda sana. Taasisi pekee tunayoiamini wananchi. Tuondoleeni huyo mama mpandisheni ndege aende kwa wajomba zake Oman. Itisheni haraka baraza la Uongozi la Kitaifa chini ya Jeshi tuanze kuijenga upya nchi yetu.
  19. JamiiForums Tanzania JWTZ kule hakuna maneno ni muda wa vitendo. Get ready

    Mwenye kusikia na asikie Hapa hamna mboyoyo Tegemea kuona jambo jipya mno, ambalo wote hamkutajia
  20. JamiiForums Tanzania JWTZ kama na ninyi mmeanza kukamatwa{kutekwa}, je sisi mlioapa kutulinda tutalindwa na nani dhidi ya watekaji?

    Nimetumia neno utekaji ikiwa na maana jeshi la police halikutoa taarifa yoyote ile kama kuna wanajeshi wamekamatwa na kufikishwa mahali sahihi bali hadi pale wenzao walipovujisha audio ile. KWENU JWTZ Kimbilio letu pekee lilikuwa limebaki kwenu ghafla pasipo kutegemea vihepele wa police...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…