jux

Juma Mussa Mkambala (born 1 September 1989), popularly known by his artist name Jux and sometimes referred to as 'African Boy', is a Tanzanian Artist and Songwriter. Born in Dar es Salaam, his interest in music began at a young age, when at the age of 16 he began to rap. However it is his singing that he is best known for to date, and is considered one of Tanzania's highest paid artists. In 2008 when Jux signed to Tanzanian record label A.M records, he began to record R&B songs instead. Since then he has released several hit songs, including 'Sugua' featuring Diamond Platnumz, 'Juu' featuring Vanessa Mdee, and most recently 'Regina' featuring Otile Brown. In 2018 his song 'Uzuri Wako' (translation: Your Goodness) was banned by the Tanzanian Communications Regulatory Authority, along with songs from several other artists, including Diamond Platnumz, for going against Tanzanian morals and values.In 2015, he received an award for 'Best R&B song' at Kili Music Awards, also known as the national Tanzania Music Awards. In 2017 he received an award for the Best East African Music Video at the Zanzibar International Film Festival (2017). And in 2018 and 2019, he was nominated for 'Best Male East Africa' at the AFRIMMA awards. He also appeared performed on Coke Studio Africa in 2019. After numerous single releases, his first album titled 'The Love Album' was released in 2019, featuring tracks from several artists including Nigerian artist Singah and Diamond Platnumz.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Jux: Siyo vizuri Mashabiki kuwa na chuki na sisi wasanii wao

    Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
  2. stakehigh

    Jux anaigiza kwenye tamthilia moja Nigeria

  3. BIG BROTHER ALEX

    Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

    Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo. Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show...
  4. Pakome

    Wananchi wanalaumu kuhusiana na kauli ya dharau iliyotolewa na Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Jux na Marioo na siyo masuala ya kisiasa

    Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi hapangiwi au kulazimishwa kuchagua Chama cha Siasa na wala sio kosa Kisheria au Kikatiba kuchagua chama...
  5. Mwachiluwi

    Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

    Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
  6. ELI COHEN

    Wana Nigeria wana influence kubwa katika Mitandao, wanamtrendisha sana Jux

    Hata ukipress hio trend unaona vyombo vikubwa vya nigeria vikmzunguzia yeye. Tangia mwamba amepata jiko kutoka nigeria, amekuwa talk of town karibia. Africa Magharibi nzima. Sasa aitumie kama fursa, asikae kizembe
  7. jannelle

    Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

    Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼. Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa...
  8. M

    zama za kuoa bila malengo zimeshaisha. Jux aingiza mamilioni kwenye digital platforms za Nigeria kwa kupitia ndoa yake

    nyimbo ya jux aliyeitoa kwa ajili harusi yake yashika namba mbili na wimbo mwingine namba tatu kwenye itunes nigeria,, nigeria ni nchi yenye idadi ya watu milioni 230, kwa nyimbo ya jux kutrend kwenye soko la nigeria tu jux anaingiza mamilioni ya pesa kwenye digital platforms
  9. Donatila

    Jux na Pricy

    Picha inaongea...
  10. Now and then

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  11. mdukuzi

    Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

    Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi kabisa Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu. Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi Sasa mdogo...
  12. and 998 others

    Groomsmen wa Jux mlipaswa kuvaa vazi la Kitanzania sio pink vazi la ki-Nigeria!

    Inasikitisha Groomsmen wa Jux kuvaa Pink tena vazi la Nigeria! Tuwaeleweje? Bora hata mngevaa lubega la kimasai.
  13. Knock life

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na itakuongezea heshima 35 Yrs Jux 23 Yrs Prisca.
  14. and 998 others

    Jux alipaswa kupewa ndege impeleke harusini Nigeria

    Kwa mchango wa Wasanii wetu katika ushindi wa Chama. Jux alistahili Boeing 787 impeleke pamoja na Wasanii wote Lagos achukue jiko na kumrudisha nchini. Pia ubalozi wetu Abuja ilipaswa kushiriki kikamilifu kwenye harusi hii ya kipekee.
  15. Fbn

    Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  16. Mr Why

    Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, pozi na madoido yake akina dada wakasome kwasababu hawamuwezi, Jux kayakanyaga

    Mjomba wa Mke wa Jux ni tafsiri tosha ya kauli ya mjomba ni mama, kijana wetu Jux kayakanyaga Pozi la mjomba pamoja na madoido akina dada wakasome kwasababu hawaingii ndani
  17. Donatila

    JUX na Vee Money mpambano unaendelea

    Habari wakuu, Bwana mi nimewamiss, Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea. JUX kwanini aoe Nigeria? Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga. Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa...
  18. Money Penny

    Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

    Majanga, na wao, wahala! Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria? Kwani wadada wa Tz wana shida gani? Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri Angalia current girl friend jamaan Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu...
  19. and 998 others

    Tetesi: Private jet ya Jux kuwasili Jumanne

    Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.
  20. A

    Vanessa bila kujiondoa kwa Jux angechunda!

    Vanessa alitumia akili ya kuzaliwa kujiondoa kwenye uswahili. Akajiweka sehemu inayoeleweka. Fikiria mpaka leo angekua bado anatembelea IST na kubebeshwa unga ingekuaje?
Back
Top Bottom