juni

"Juni, juli, augusti" is a single by Swedish pop group Gyllene Tider, released on September 16, 1996. The single peaked at number 37 on the Swedish Singles Chart. On November 9, 1996, an attempt was made to take the song to the Svensktoppen chart, but failed. However, the song did reach the Swedish Tracks list.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Tanzania na Uganda zakubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara ifikapo Juni

    Tanzania na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara kati ya nchi hizo mbili ifikapo mwezi Juni mwaka huu, katika hatua inayolenga kuimarisha biashara ya pande mbili na kuongeza ushirikiano wa kiuchumi. Ahadi hiyo ilitangazwa wakati wa chakula cha jioni cha rasmi kilichoandaliwa...
  2. Ojuolegbha

    Jarida la ikulu mawasiliano toleo la juni, 2025

    JARIDA LA IKULU MAWASILIANO TOLEO LA JUNI, 2025 DIBAJI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama mnavyofahamu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuhakikisha kuwa kazi inaendelea kwa kudumisha tunu za Taifa letu, kukuza uchumi wa nchi, na kuimarisha...
  3. K

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025 idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50 mwezi MACHI 2025 hadi kufikia bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 6...
  4. JanguKamaJangu

    GE2025 Mbunge wa CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza akiwa amevalia nguo za CCM, Juni 30, 2025

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza pamoja na baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Kata ya Itete, Busokelo Mkoani Mbeya huku akiwa amevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Juni, 2025 wakiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni...
  5. incognitoTz

    Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  6. Dogoli kinyamkela

    NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 29/2025:

    NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 29/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) jumapili hii unatakiwa uwe...
  7. Dogoli kinyamkela

    Nyota yako leo Juni 27/2025

    NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 27/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) Ili kukamilisha mipango yako ni...
  8. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 54 Juni 26, 2025

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa leo, Juni 26, 2025, kuwasilisha hoja ya kufunga shughuli za Bunge ikiwa ni hitimisho la Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mkutano huo umejadili mambo mbalimbali ikiwemo Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa...
  9. Dogoli kinyamkela

    Nyota yako leo alhamis juni 26/2025

    NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JUNI 26/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) Nyumbani kimeingia tafrani hali si...
  10. Dogoli kinyamkela

    Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025

    Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025 Matokeo ya Mechi (Full Time Result / 1X2) Pendekezo bora: X (Draw) au X1 (Yanga au sare) Sababu: Yanga wanahitaji sare tu kuwa mabingwa, watajilinda sana. Simba wanahitaji ushindi, lakini Yanga wana rekodi nzuri dhidi yao. Double...
  11. Dogoli kinyamkela

    Nyota yako leo Jumatano Juni 25/2025

    NYOTA YAKO LEO JUMATANO JUNI 25/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) Tulia nyumbani na marafiki...
  12. Roving Journalist

    Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa, Kikao Cha 53, 25 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=g6ObfpEE4Ck&pp=0gcJCdAJAYcqIYzv
  13. Dogoli kinyamkela

    NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025:

    NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) Usijishughulishe na mambo ambayo...
  14. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 51, 23 Juni 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 23, 2025 pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atawasilisha taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya ya Mwaka 2024. Wabunge, wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa...
  15. Dogoli kinyamkela

    Nyota yako leo Jumapili juni 22/2025

    NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 22/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20) Utafutaji wako wa pesa ambao...
  16. Roving Journalist

    Zungu: Wanaotukana waache watukane, tuna Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma (Bungeni leo Juni 20, 2025)

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026. Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024...
  17. Dogoli kinyamkela

    Nyota yako leo Ijumaa Juni 20/2025

    NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 20/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20) Leo jitahidi kutekeleza ahadi...
  18. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia akiwahutubia Wananchi wa Busega, Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015 https://www.youtube.com/watch?v=j2aFvrKFZxM Rais Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega...
  19. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa Kumi na Tisa, Kikao cha 49, Juni 19, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, leo Juni 19, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Wakati huo huo...
  20. U

    Trump ameidhinisha mpango ya kuishambulia Iran

    Breaking News Trump ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, - 19 Juni 2025, 12:30 asubuhi 2 Juni 18, 2025. (Brendan Smialowskyi/AFP) Rais wa Marekani Donald Trump aliwaambia wafanyakazi kwamba ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, lakini...
Back
Top Bottom