jumuiya ya madola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Professor Palamagamba Kabudi aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa 26 wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Madola

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba J. Kabudi, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 26 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola (CFAMM) uliofanyika Machi 8, 2026 jijini London, Uingereza akimwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  2. Waufukweni

    Jumuiya ya madola kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 mwezi huu

    Jumuiya ya Madola imeipokea na kukubali dhamira ya Serikali ya Tanzania juu ya kupokea na kuwezesha ziara pamoja na kazi za Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Dkt. Lazarus Chakwera ambaye pamoja na msafara wake utachunguza uminywaji wa kidemokrasia na kutofuatwa kwa utawala wa kisheria...
  3. Manyanza

    Maombi ya Tanzania na Uganda kuondolewa uanachama Jumuiya ya madola yawasilishwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG)

    Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola. Sababu kuu zilizotolewa ni; 1...
  4. J

    Tanzania imewekwa chini ya Uangalizi maalum/ Probation na Jumuiya ya Madola, kabla ya kuchukuliwa hatua zaidi

    Maamuzi hayo yamefikiwa na Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola. Kikao hicho kimeeleza kushtushwa kwake na taarifa za ukiukwaji wa haki na uvunjifu wa amani za matukio ya Oct 29 na baadae. Kikao kimetoa uamuzi wa kuiweka Tanzania katika uangalizi maalum / probation kati ya...
  5. tamsana

    PostGE2025 Jumuiya ya Madola (Commonwealth) yasikitishwa na yanayoendelea Tanzania

    The Commonwealth Ministerial Action Group met to review critical developments in Tanzania. Read the statement 🔗 bit.ly/CMAG-71 Ministers expressed concern over reports of breaches of core Commonwealth values, including human rights, freedom of expression, democracy, the rule of law, and good...
  6. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais Samia amefanya mazungumzo na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Mhe. Lord Hugo Swire, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025. Rais Dkt. Samia pamoja na Naibu Mwenyekiti wa CWEIC...
  7. Mafyangula

    PostGE2025 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola amemteua Dkt. Lazarus Chakwera kuwa Mjumbe Maalum Tanzania kusuluhisha masuala ya uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Botchwey, amemteua Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera, Rais wa zamani wa Malawi, kuwa Mjumbe Maalum wake katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Chakwera anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku nne kuanzia tarehe 18 hadi 21 Novemba, kwa...
  8. JanguKamaJangu

    Jumuiya ya Madola yaridhia wito wa Rais Samia kuanzisha Commonwealth Julius Nyerere Scholarship

    JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere Scholarship. Mafanikio hayo yanatokana na majadiliano ambayo Rais Dkt.Samia aliyafanya na Katibu...
  9. mwanamwana

    Jumuiya ya Madola yakubali kuanzishwa mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa 'Commonwealth Julius Nyerere Scholarship'

    JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere Scholarship. Mafanikio hayo yanatokana na majadiliano ambayo Mheshimiwa Rais Dkt.Samia aliyafanya...
  10. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Samia

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  11. Ojuolegbha

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wapitisha ajenda Kuu ya Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM)

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wamekutana Oktoba 24, 2024 kujadili na kupitisha ajenda Kuu ya Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) ya Ustahimilivu katika kufikia malengo ya pamoja ya kimaendeleo ‘One Resilient Common Future’ pamoja na agenda...
  12. ChoiceVariable

    Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola Afrika Kujengwa Dodoma

    Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola,Common Wealth Kanda ya Afrika kujeng a Dodoma.👇👇 Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Bi. Salome Makamba, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika, ametangaza kuwa makao makuu ya CPA Kanda...
  13. Richard

    Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  14. JanguKamaJangu

    Gabon yasimamishwa Uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kutokea kwa Mapinduzi

    Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo. Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku wakitoa hoja kuwa Gabon inatakiwa kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo. Jeshi lilimwondoa Bongo...
  15. olimpio

    Rais Mwinyi aongoza kikao cha jumuiya ya madola kinafanyika zanzibar kuhusu mageuzi ya kidigitali

    Kuanzia jana na leo , kuna kikao kikubwa sana kinachofanyikia Zanzibar ,kilichoratibiwa na wizara ya TEHAMA chini ya waziri Nape Nnauye Pamoja na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Jumuia ya madola inafanyia kikao hicho kwa mara ya kwanza nchini Tanzania , haya yakiwa matunda ya jitihada za...
  16. BARD AI

    Ally Mayay ateuliwa kuwa Mwakilishi katika Bodi ya Ushauri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3. Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi...
  17. DENG XIAOPING

    Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

    - Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema. - Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wana jamii wenzangu. 1. Kwanini Taifa la Tanzania lipo Jumuiya ya Madola? 2...
  18. Melubo Letema

    Kutoka Jumuiya ya Madola : Njaa zinabadili Upepo wa Mbio za Uwanjani Hadi Marathon

    Bofya Hapa Kumsikiliza... Njaa zinabadili upepo wa Riadha Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya Uwanjani , Pamoja Serikali kuweka fungu Ili Wanariadha wasihame kwenda kwenye Marathon, ambapo Pesa...
  19. Melubo Letema

    Tanzania tumeambulia Medali 3 Jumuiya ya Madola Uingereza

    Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim...
  20. Roving Journalist

    Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
Back
Top Bottom