Leo ni siku ya mwisho kwa serikali ya Tanzania kutekeleza pendekezo la Jumuiya ya Madola linaloitaka kutafuta njia ya kisiasa na kisheria ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Msijekusema hatukuwakumbusha.
Pia soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua...
Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
Ni ukweli usiopingika kwamba kwasasa Riadha imekua. Ukuaji huu kwa umetokana na mazingira rafiki yaliowekwa na serikali hususani kupitia taasisi mbalimbali zikiwemo majeshi kwa kuajiri wana riadha ambao hawana kazi ingine yoyote zaiid ya kukimbia, na uboreshaji wa miundombinu mbalimbali na...
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea tamko kutoka kwa Jumuiya ya Madola linaloitaka kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ndani ya siku 30. Akijibu swali la mwandishi wa habari, Msemaji wa Serikali alieleza kuwa serikali imeliona tamko hilo...
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru linalojiendesha kwa mujibu wa sheria na halitakubali kuamrishwa au kuingiliwa mhimili wake wa mahakama na taasisi...
Ndugu Zangu.
Ninaumia sana kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hususani suala la Jumiya ya Madola.
Binafsi mimi sikubaliani na Mengi kuhusu serikali yetu. yaani ukiweka kwenye mizania ninayoyakataa kuhusu serikali ni mengi kuliko yale ninayo yakubali.
Yapo mazuri yanayofanywa na yapo mambo...
Julai 10 Kikundi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Ministerial Action Group - CMAG) kilitoa mrejesho wa ziara ya mwakilishi wake, Dk Lazarus Chakwera aliyekuja nchini Machi 2026 kuchunguza vurugu zilizotokea katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2026.
Katika taarifa yake, CMAG imetoa muda...
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.
Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.
Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama...
Katika hali ya kipekee October 29 ni kama jana, hii siku haijafutika katika vichwa vya Watanzania wote na ukisoma Barua ya Common wealth, kuanzia siku 30, 60, 90 yote yanatoa nguvu Kwa maandamano ya 8/8 hadi October 29 kuwa na sura ya shinikizo la kimataifa na kuungwa kwake.
Hizi siku 30...
Wakuu,
Nimeona niwaletee mrejesho na uchambuzi wa waraka muhimu sana ambao umetoka leo tarehe 10 Julai 2026 kutoka kwa Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola linaloshughulikia Demokrasia na Haki za Binadamu (CMAG - Commonwealth Ministerial Action Group). Kikao chao cha 73 kimefanyika leo kwa...
Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, akiwa kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola.
Chakwera aliteuliwa mnamo Novemba 2025 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na...
Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia Alhamisi Aprili 9, 2026, ikiwa ni takriban miezi sita imepita tangu ilipotangazwa angewasili kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola.
Novemba mwaka 2025, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba J. Kabudi, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 26 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola (CFAMM) uliofanyika Machi 8, 2026 jijini London, Uingereza akimwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Jumuiya ya Madola imeipokea na kukubali dhamira ya Serikali ya Tanzania juu ya kupokea na kuwezesha ziara pamoja na kazi za Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Dkt. Lazarus Chakwera ambaye pamoja na msafara wake utachunguza uminywaji wa kidemokrasia na kutofuatwa kwa utawala wa kisheria...
Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola.
Sababu kuu zilizotolewa ni;
1...
Maamuzi hayo yamefikiwa na Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola.
Kikao hicho kimeeleza kushtushwa kwake na taarifa za ukiukwaji wa haki na uvunjifu wa amani za matukio ya Oct 29 na baadae.
Kikao kimetoa uamuzi wa kuiweka Tanzania katika uangalizi maalum / probation kati ya...
The Commonwealth Ministerial Action Group met to review critical developments in Tanzania.
Read the statement 🔗 bit.ly/CMAG-71
Ministers expressed concern over reports of breaches of core Commonwealth values, including human rights, freedom of expression, democracy, the rule of law, and good...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.