jumla

  1. VN Warehouse Limited

    Unatafuta Vifaa vya Ujenzi? Karibu VN Warehouse Limited – Tunauza Jumla na Rejareja

    Unatafuta vifaa bora vya ujenzi kwa bei nzuri? Karibu VN Warehouse Limited, kampuni iliyosajiliwa kisheria inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa jumla na rejareja. Tunatoa bidhaa zenye ubora wa uhakika kwa mafundi, wakandarasi, na wateja wa kawaida wanaojenga au kufanya...
  2. Armani William

    Mafuta safi ya alizeti jumla jumla

    Habari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida. Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS Package: 20Ltrs & 5Ltrs Bei: Tsh 6,000 per Ltr Napatikana: Dar Es Salaam MOQ: DUMU 50 (20LTRS) Mawasiliano: 0652070444 Karibu Sana
  3. Kitambi chakufutia tachi

    Msaada wapi naweza kupata mikeka ya jumla?

    Salaam wakuu. Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa. Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara. Natanguliza shukran.
  4. FORBIDDEN HISTORY

    Ushauri kuanzisha biashara ya gum boots (rain boots) jumla na reja reja

    Eneo ni mkoani, mara Changamoto, wosia, ushauri, mazuri, mabaya, maeneo ya kuchukulia jumla dar n. K Karibuni ndugu zangu
  5. K

    Nataka kufungua biashara ya khanga na vitenge naweza wapi kupata kwa Bei ya jumla?

    Habari zenu wadau wa jukwa la biashara. Nakua hapa sintakosasaada wa ombi langu. Ombi langu kwenu ni kutaka kufahamishwa ni sehemu Gani kwa Dar es salaam ambapo naweza kupata khanga na vitenge kwa Bei ya jumla,NAMI kwenda kuuza kwa Bei ya lejaleja. Naomba msaada wenu tafadhari Natanguliza...
  6. The Eric

    Nauza Spare za Bajaji na Pikipiki Jumla kwa bei ya Jumla, natoa ushauri pia

    Hello Jf Spare zote za Bajaji na pikipiki kama ↔️ tyre Rim Bush Bearings Plugs Engine mount Block Piston and Rings Valve Cylinder head Brake shoe Master brake Rubber Brake Shock ups cable gear clutch plates na center yake Maker etc Pia tunauza lubricants na oil za jumla.
  7. Busu la Kenge

    Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla watu wanakushangaa

    Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita? Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana na hasa sasa hivi tunapoelekea 9D watu watanunua na kuhifadhi vyakula kwa wingi na jumla hasa Unga...
  8. thriftwaika

    Nguo za Mtumba kwa jumla na Rejareja

    Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za...
  9. R

    Wakili Katuga tangu alivyodanganya mahakama eti video ilichezwa Kisutu akapotea jumla

    Tusiwe wepesi wa kusahau, maana yale yalikuwa ni mauaji makubwa
  10. Greg50

    Pata mayai jumla - Arusha

    Nauza mayai organic Arusha. Bei jumla 8,500-11,000/= kwa tray. Ukihitaji piga simu 0763784190
  11. Damaso

    Wembe 200 Kinyozi 300 Jumla 500

    Ukimaliza kunyoa uosha kichwa na maji yenye chumvi
  12. ADESIGN

    TUNAUZA NYANYA JUMLA KINYEREZI/SEGEREA/TABATA

    TUNAUZA NYANYA FRESH KWA JUMLA NA REJA REJA! SHAMBA LIPO KINYEREZI, NA TUNAPATIKANA HAPA HAPA KINYEREZI! NYANYA MBEGU YA KENYA! IMARA SANA NA HAZIHARIBIKI KWA HARAKA, NIPIGIE 0684101707, NYANYA KWENYE MBOGA TAMU SANA! TUNETUMIA MBOLEA ASILIA, KARIBU SANA!
  13. A

    Natafuta Wafugaji/Mashamba ya Kuku wa Nyama kwa Ajili ya Kununua kwa Bei ya Jumla (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, Natafuta wafugaji au mashamba ya kuku wa nyama wanaouza kwa bei ya jumla. Mpango wangu ni kuanza kununua kuku takribani 150 kwa wiki hii ya kwanza, na kuendelea kuongeza kiwango hadi 200 au zaidi kwa kila wiki, kulingana na uhitaji wa soko langu. 📌 Vigezo ninavyohitaji: Kuku wa...
  14. Heritage123

    Siri za Kariakoo: Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya jumla bila kupoteza muda

    Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
  15. Se Busca

    Nunua accessories kwa bei ya jumla na reja reja

    Karibu upate vifaa vya umeme vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya biashara yako! Tunauza jumla na reja reja flash, cover, chaji na USB kwa bei nafuu kabisa, zenye kuhakikisha unanufaika kwa faida kubwa. Tunajua wateja wako wanapenda bidhaa zinazodumu, zenye ubora na...
  16. N

    Fredrick Sumaye mbona yeye haonekani na hasikiki au kapigwa ban ya Jumla?

    Fredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa. Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu? Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili...
  17. N

    Pharmacy inayouza Medical Dietary Supplements kwa bei ya Jumla.

    Habari, Nijulishe jina, contacts na location ya Pharmacy inayouza dietary supplements. Note: Nahitaji Medical dietary supplements sio gym supplements. Hizi hapa, 1. Vitamin D 200 IU 2. Calcium biophosphate/Human milk fortifier 3. Premature formula Pamoja, Noke
  18. baunsamuoga

    Uwakala wa uuzaji wa jumla na rejareja wa Saruji

    Wanabodi? Habari ya majukumu? Wakuu, wakongwe, vingunge na wasaka tonge wote! Ninaomba nipate elimu tosha kuhusiana na biashara ya uuzaji wa saruji, kuanzia taratibu Zote kwa hatua ya mfanya biashara wa kawaida mpaka kuwa wakala, faida, changamoto zake zipoje, taratibu za upatikanaji wa bidhaa...
  19. S

    Kama unahitaji vipodozi jumla (mafuta,pafyumu,losheni, n.k)

    Kama unahitaji vipodozi vya jumla (mafuta,pafyumu,losheni, n.k) nicheki 0756704145, napatikana Mkoa wa Dar es salaam, eneo la kazi kariakoo
  20. P

    NANENANE: Jumla ya Trekta 500, Power Tiller 800, Magari 44, pikipiki 6,444, Vishikwambi 5,426 na vipima udongo 143 vimenunuliwa ndani ya miaka 4

    ||| Rais Samia amenunua vitendea kazi kwa ajili ya sekta ya kilimo magari 44, pikipiki 6,444, vishikwambi 5,426, na vipima afya ya udongo 143, Trekta 500, Power Tiller 800 ndani ya miaka minne. Tumenunua na kusambaza vitendea kazi kwa ajili ya kuboresha huduma za ugani na kuimarisha uzalishaji...
Back
Top Bottom