jpm

  1. Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

    From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu? Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine...
  2. 2022 imeanza, tunamshukuru Mungu kutulinda, wembe ni uleule, hayati JPM alitufumbua macho hili taifa lina mali nyingi

    Madini yalikuwa yanatoroshwa hovyo, nchi ya Kenya ndio ilikuwa kitovu cha uuzwaji wa dhahabu na madini mengi toka Tanzania. Pesa za umma zilikuwa zinaliwa hovyo na kuingia kwenye mifuko ya mafisadi, hayati JPM akasema kila pesa ya umma iingie mfuko wa hazina. Kwa hakika ni mengi alitufumbua na...
  3. B

    Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

    Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani. Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani. Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
  4. Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

    "...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao." "...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
  5. CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  6. Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  7. Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

    Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake. Kama alifanya mema basi atahukumiwa na Mungu na wananchi wanayo nafasi ya kujua mabaya na mazuri...
  8. CHADEMA ilimalizwa na Magufuli, sasa tujielekeze kuidhoofisha ACT Wazalendo

    CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo CDM watagombea nchini ubelgiji; ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama...
  9. Mch. Peter Msigwa: Hayati Magufuli ametufundisha tujue tabia za watu wengi

    Muda ni Mwalimu mzuri sana ! Wanafiki wote wamejidhihirisha. Tabia za ki TIKITI MAJI nje wa kijani na ndani mwekundu, ziko wazi . Jambo moja la kumshukuru JPM ni la kutufanya tujue tabia za watu wengi. #MboweIsNotATerrorist https://t.co/Y6l1tcnXnd
  10. U

    Leteni ushahidi wa namna Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilivyoharibu mahusiano ya kimataifa

    Enyi walimwengu Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana. Angalizo kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
  11. Kifo cha Hayati Dkt. Magufuli kimeipasua CCM. Je, huu ndio wakati wa wapinzani kutusua kisiasa?

    Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia. Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi. Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao. Ccm ya sasa imepasuka maana kuna...
  12. Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

    HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO Nanukuu Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu...
  13. M

    CHADEMA wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana

    Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa sauti ya chini afadhali ya JPM alikuwa vizuri. Ukiendelea kumsikiliza unaweza ukachanganyikiwa. Mi...
  14. Kujivunia maendeleo makubwa ya sekta ya barabara ndani ya miaka 60 ya Uhuru bila kumtaja Hayati Magufuli ni makosa makubwa ya kihistoria

    Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea. Hayati Magufuli katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini. Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni...
  15. Koh Koh Koh.. Mbona Rais Samia Kama Kayaona ya Magufuli?

    Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. Sasa...
  16. Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

    Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo . Rejea jinsi dharura iliyotumika kupitisha miswaada...
  17. Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
  18. Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

    Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
  19. Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

    Unaambiwa vyombo vya dola vilishaenda kumchukua kumpeleka kolokoloni kwa ajili ya kujibu tuhuma za kulisababishia Taifa hasara kupitia baadhi ya mikataba ya madini aliyoingia wakati akiwa Waziri akiiwakilisha Serikali. Inasemwa mzee Mwinyi aliombwa na mmoja wa Viongozi mkuu mstaafu aende...
  20. Ni dhahiri Hayati Magufuli alichukiwa na wanaCCM wenzake alioziba mianya yao ya ufisadi

    Alidhibiti kwa kila namna wanaCcm wenzake walioliibia taifa la Tanzania kupitia sekta ya umeme. Hawa ni wale ambao kila mwaka walipiga dili kujifanya wanasaidia taifa kudhibiti upungufu wa umeme nchini ila kumbe walijinufaisha kwa asilimia kubwa. Aliwadhibiti wanasiasa wenzake wa Ccm ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…