jpm

  1. Serikali awamu ya sita inalipa mishahara mapema kabisa tarehe 22, imevunja rekodi ya Hayati Magufuli wa akilipa tarehe 25 mpaka 27. Hongera Rais Samia

    Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto. Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru. Hakika anajali...
  2. Angekuwepo Hayati Magufuli Ruby ya bilioni 240+ isingetoroshwa. Taifa litaibiwa sana rasilimali zake

    Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana. Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi. Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania...
  3. K

    Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

    Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea , yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe...
  4. D

    Tukubabali au tusikubali, Hayati Magufuli alikuwa mkombozi wetu

    Ndugu zanguni, hapo nyuma kidogo na sasa kwa uchache baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kauli za kubeza kazi nzuri zilizofanywa na JPM kwa kejeli na dhihaka. Nadhani lengo lao kubwa ni kutaka kufuta Legacy yake. Ukweli ni kwamba, hakuna mtu awaye yote anayeweza kufuta Legacy ya JPM. Mbaya zaidi...
  5. Kwa mujibu wa Samia, Rais huwa hakosei na hivyo hakuna pahali Hayati Magufuli alikosea kama Rais

    Kwa mujibu wa Samia ni kosa la jinai kutamka kwa namna yeyote eti Rais alikosea na hii ni kwa SABABU RAIS HUWA HAKOSEI. Muktadha wangu ni upi hapa; Kwanza ni wakosefu wa adabu wale wote wanao jaribu kumhusianisha na makosa yeyote Hayati Magufuli kwa sababu Samia alishasema Rais huwa hakosei...
  6. Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

    Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
  7. WanaCHADEMA mmesahau usaliti na uroho wa pesa aliotufanyia Zitto miaka ile kisa tu anamchafua hayati JPM?

    Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola? Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na watu wa CcM na kuharibu chama chetu mpaka tukamtimua? Huyu ni mtu anayejali pesa na matumbo yake. Kwa...
  8. N

    Hayati Magufuli kwanini ana pande zote za uongozi? Yaani ana upande mzuri sana na mbaya sana kuliko wenzake waliotangulia

    Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote...
  9. Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

    Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo. ==== ➡️"TANROAD...
  10. Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  11. M

    Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

  12. Luhaga Mpina apinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji

    Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji kama ilivyoamuliwa na mahakama. Mpina amesema inashangaza na kusikitisha kuona kuwa, Mahakama ilishamuru wafugaji warudishiwe mifugo yao...
  13. Mwaka mmoja bila Magufuli na legacy yake

    Kesho ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka 1 toka Raisi wa 5 wa Tanzania John Pombe Magufuli alipo fariki dunia, Magufuli alikuwa ni M-Socialist wa mlengo mkali wa Shoto na mwanamagauzi mkubwa wa uchumi. Ni yeye Magufuli ambaye ameacha legacy kubwa sana Tanzania ya vitu ambavyo ni alama ya uongozi...
  14. Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

    Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani. Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma...
  15. Augustine Mrema ni shujaa wa taifa asiyependa ufisadi kama ilivyokuwa kwa rafiki yake hayati Magufuli

    Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee. Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
  16. Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

    Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli. Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
  17. Hayati Magufuli alituhubiria kwamba Tanzania ni ya masikini na wanyonge,lakini alishuhudia Makonda, Sabaya wakipata ubilionea kupitia Utumishi wa umma

    Wanasiasa usiwaamini Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na...
  18. Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
  19. Mambo 10 kuelekea mwaka 1 wa kumkumbuka ya Hayati Magufuli

    Mambo 10 kuelekea mwaka mmoja bila jpm/ bulldozer. JASIRI Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri wake ndio ulisaidia kutekeleza miradi Mingi na mikubwa ambayo haikuwahi kufikiriwa kuwa ingetekelezwa...
  20. Rais Samia, imulike Bandari ya Dar nchi inahujumiwa, kaweke Kambi pale Bandarini

    Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa. Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo ukifika hapo Bandarini unachukua siku 20-28 zingine kupakuliwa. Gharama za Usafiri imebidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…