joyce ndalichako

Joyce Ndalichako is Tanzania's current Minister of Education, Science, Technology and Vocational Training.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Prof. Joyce Ndalichako, mwanamke wa shoka anayefaa kuwa waziri Mkuu

    Natamani sana waziri Mkuu awe mwanamke tena mwanamke chuma kweli ,mwanamke wa shoka mwenye uwezo mkubwa wa kiutendaji na hapa ndio naliona jina la Prof. Joyce Ndalichako anafaa kwenye nafasi hiyo. Mhe. Rais ,tafadhali mteue Prof. Ndalichako kama waziri Mkuu kwenye Serikali yako ili akusaidie...
  2. R

    GE2025 Martha Mturano: Wabunge wa CCM huwa wana roho za kishetani, Ndalichako licha ya kuwa Waziri hakuna alichofanya Kasulu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kasulu Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Martina Mturano, amejinadi mbele ya wananchi wakati wa ziara za kampeni zilizoongozwa na aliyekuwa Kiongozi wa Chama hicho, zilizofanyika katika eneo la Stendi Mpya, Kasulu Mjini mkoani Kigoma, Oktoba 8, 2025 Mturano...
  3. M

    Dkt. Gwajima na Joyce Ndalichako wamchanganya raia. Apewa za uso papo hapo

    Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli. Uzi tayari The Mongolian Savage BICHWA KOMWE - Maghayo Ghayo TheMongo Barbarian litutumbwe Mufti kuku The Infinity
  4. Yoda

    Joyce Ndalichako, Katibu mkuu mtendaji NECTA maarufu zaidi

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) halijawahi kupata tena Katibu mkuu mtendaji maarufu kuliko Prof. Joyce Ndalichako, huyu mama ilikuwa ikifikia wakati wa kutangaza matokeo ya NECTA ya darasa la saba, kidato cha nne au cha sita nchi inasimama.
  5. Kingsmann

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyau teuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo: i) Amemteua Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)...
  6. Sildenafil Citrate

    Prof. Ndalichako aibua ufisadi wa mamilioni ya fedha za mkopo wa Corona

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako, ameibua ubadhirifu wa mamilioni ya shilingi yaliyotolewa kutokana na mkopo wa UVIKO-19 kwa ajili ya ukarabati wa Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu Wenye Ulemavu Sabasaba. Kufuatia...
  7. B

    Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  8. kacnia

    Prof JOYCE NDALICHAKO haya yakufikie hata kama yatakuuma, lakini ndio ukweli wenyewe

    Nakusalimu kwa jina la jamuhuri. Katika hali ambayo ni ya kawaida, umezuka mjadala juu ya uwezo wako wa kujieleza kwa kutumia lugha ambayo kwa asilimia 90 ndio iliyokutunuku kiwango cha elimu ulicho nacho (prof) na watanzania wengi wameenda mbali na kusema kuwa elimu yako ni ya ubabaishaji...
  9. scatter

    Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

    Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu...
  10. beth

    Ndugai: Watanzania wanalalamikia mfumo wa elimu, wanataka majadiliano

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe. Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi...
  11. Travelogue_tz

    NACTE na maamuzi ya utata kuhusu mitihani ya marudio kwa wanafunzi wa vyuo vya kati: Je, Waziri wa elimu anafahamu kilio hiki?

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki nchini. Jukumu mojawapo la Baraza ni kuhakikisha kuwa mafunzo...
  12. peno hasegawa

    NACTE hadi sasa hawajatoa AVN ili wanafunzi waweze ku-apply vyuo vikuu, watumbuliwe tu

    Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline kama TCU walivyotangaza ni tar 15.10.2021 tayari zimeshakaribia.
  13. peno hasegawa

    Prof. Ndalichako, watazame hawa watoto wakiwa wanakwenda shuleni

    Wanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma hawa watoto.
  14. peno hasegawa

    Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

    Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania. Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
  15. emmapetertz

    Ushauri: Serikali iboreshe Elimu iwe na tija kwa mhitimu

    MHESHIMIWA JOYCE NDALICHAKO (WAZIRI WA ELIMU) NAOMBA TUZUNGUMZE KIDOGO) Mhe Waziri, Heshima kwako.................... ….. Nakupa salamu kwa lugha ya kikwetu Usukumani, "Ulimholla mayu ungumbyala" Ni matumaini yangu u mzima wa afya tele, kama nakuona vile unavyozunguka zunguka katika kiti cha...
  16. Ngongo

    Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania pengine ni nchi pekee duniani yenye maajabu yasiyoweza kulinganisha au kufananishwa na nchi nyingine. Ni jambo la ajabu waziri wa elimu msimamizi wa elimu yenu na mustakabali wetu wa siku zijazo.Waziri wetu huyu watoto wake hawasomi katika shule za umma,wapo...
  17. MR TOXIC

    Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako hana kosa lolote anahukumiwa kimakosa

    Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi. Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof...
  18. Mtoto wa Nyerere

    Wadau wa Elimu si Prof. Ndalichako na Wafanyakazi wa Umma

    Tunaenda kujadili elimu na mfumo wa kujiajiri Wadau wa elimu wahusika ambao ni Sector binafsi hawapo Wamejazana wafanyakazi wa serikali walio chini ya waziri ndalichako. Huu ni utoto tulitakiwa kuwaita watu ambao wapo tayari nje ya box kama Mafundi wa magari, vinyozi, Mafundi simu, Wanaofanya...
  19. Kijana ushe2

    TAMISEMI, pesa za fidia ya ada idara ya sekondari hazitoshi; elimu ya bajeti ya mwaka kwa kila shule inahitajika

    Wanajamvi habari za leo, Poleni kwa majukumu na mihangaiko ya kulipambania taifa letu pendwa la Tanzania. Mnaomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuandaa huu uzi kuhusu elimu katika sekondari. Naomba wizara zinazohusika ziweke mikakati imara ili waweze kuzidhibiti shule za serikali: Moja...
  20. Abdul Nondo

    Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

    Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo. Kwaniaba ya...
Back
Top Bottom