joyce ndalichako

Joyce Ndalichako is Tanzania's current Minister of Education, Science, Technology and Vocational Training.

View More On Wikipedia.org
  1. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

    Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo. Kwaniaba ya...
  2. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kulipa ada ya kidato cha tano na sita Wanafunzi wa Kike

    Mbunge wa Kasulu Mjini Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kulipa ada ya kidato cha tano na sita wanafunzi wote wa kike waliosoma katika shule za serikali na kupata Daraja la kwanza katika jimbo lake kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka huu 2021. Mbunge wa Kasulu Mjini na Waziri wa...
  3. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Kwa Jenister Mhagama na Prof. Joyce Ndalichako

    Wasalaam waheshimiwa mawaziri, waziri wa kazi,ajira, vijana na walemavu mh. Jenister Mhagama na waziri wa elimu sayansi na teknolojia mh. Prof. Joyce Ndalichako. Awali ya yote ninayo furaha kutoa pongezi zangu kwenu kwa uteuzi mlioupata, ni kwamba mpaka sasa taifa lina matumaini na mategemeo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi, musabe schools au wizara ya elimu?

    Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

    Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini? Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya...
  6. The only

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina. KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA ‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the...
Back
Top Bottom