peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,810
- 21,411
Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline kama TCU walivyotangaza ni tar 15.10.2021 tayari zimeshakaribia.
Hivi hakuna mfumo wa kupima utendaji kazi kwenye taasisi za serikali?
Kweli kabisa.huduma za serkali zinazid kua mbovu kisa watendaji wake.Ungekuepo yote haya yasingekuepo
Kulitakiwa kuwe na mfumo ulio wazi kwa mtoa huduma na mteja wake katika kumanage turnaround time kwa kila tasks, idadi ya clients na maoni/mlishonyuma yao ili watendaji waache kuwaongopea wakubwa zao na kuiibia serikali na wananchi au wateja muda na pesa
Kwenye hii case,vyuo havipeleki matokeo ya wanafunzi kwa wakati ili yawe verified na ku process AVN.Kama hujapata AVN mpaka muda huu basi wasiliana na chuo moja kwa moja na wakupe uhakika kama matokeo yote yamepelekwa NACTE.Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline kama TCU walivyotangaza ni tar 15.10.2021 tayari zimeshakaribia.
Duh! Mimi pia nasubiri hzo AVN kutoka NACTE ili nifanye application za vyuo vikuu. Na deadline ndo hiyo inafika, zimebaki siku mbili tu jamani!Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline kama TCU walivyotangaza ni tar 15.10.2021 tayari zimeshakaribia.
NACTE wawaambie wanafunzi ukweli na waingieJf wajibu hoja za watanzania. Chuo cha serikali hombolo wanafunzi wanalalamika, sasa NACTE wajibu tatixo liko wapi? Ni wao au ni chuoHabari, jaribu kuwasiliana na chuo chako kama washapeleka matokeo kwa mfumo wa soft copy pamoja na hardcopy, kisha angalia kwenye ukurasa wa nacte kwenye student information verification ili kuhakiki taarifa zako ukishakamilisha hayo waweza sasa kuomba avn number, au fika ofisini kwao mikocheni kwa msaada zaidi.