Joseph Mbilinyi (born 1 May 1972), known for his stage names Mr. II, Sugu and 2-proud, is a Tanzanian politician, human rights activist and rapper. He was also elected to the Tanzanian Parliament in 2010 and then 2015 to 2020.Mr. II was stems from Songea in Southern Tanzania, started to rap in 1990, in his youth when he was still in school. His inspirations were Ice Cube, Niggaz With Attitude and above all Tupak Shakur. Mr. II was the first Tanzanian rap artist to have major success with his music. Through his music and language he express and addresses politics, social inequalities and other problems that affected Tanzanians. Most would consider his music as a voice for the voiceless, his brand of rap is soulful, lyrical, rhythmical and from the heart. This is because Mr. II is not afraid to tell it like it is, undertaking sensitive issues of concern to many Tanzanians such as democracy, child prostitution, police brutality and corruption.He became so popular that his music reached audiences even in rural areas where rap had not been heard before. Due to the quality of his music and the message in his music, older people were more acceptance to his music and contributed to making him the first Tanzanian rapper to have a mainstream hit. Also making Mr II the M-Net Best Male Artist Grammy Award Winner for Tanzania in 2001. Mr. II is the African Great Lakes region's most popular Bongo Flava icon, and through this genre he was able to make a difference and create opportunities for the youth.
Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa kwenye mahojianao na Mwananchi Digital, amesema "CHADEMA siyo chama kikuu cha upinzani, CHADEMA chama kikuu cha Siasa Tanzania kwasababu kingekuwa chama cha upinzani kama kungekuwa na chama tawala lakini CCM sasa hivi hawatawali nchi inatawaliwa na Dola"
Ameongeza...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amesema kwamba ingawa katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho alimuunga mkono Freeman Mbowe, katika maisha yake binafsi alikuwa rafiki zaidi wa Tundu Lissu tangu walipokuwa pamoja bungeni...
Niaje waungwana
Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya.
Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel
Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, alipokuwa akizungumzia sakata la kutekwa kwa Dk. Olimboka, alisema kuwa tukio hilo ni mwendelezo wa kile alichokitaja kuwa ni utamaduni wa CCM na serikali wa kuwateka watu, kuwashambulia kwa mapanga, na kuwany’oa kucha kwa koleo...
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa.
Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa...
LEMA, SUGU WAMPONGEZA DKT. SAMIA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA UVUNJIFU WA AMANI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamempongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio...
Clip ya video inayosambaa mtandaoni kwa sasa ikimuonyesha Sugu amesimamishwa na watu wasiojulikana DSM katikati ya mji, na kubishana nao mpk sasa haijajuliakana.
Mmoja alishika bunduki.
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Novemba 12, 2025 akiteta jambo na John Heche, Said Kubenea (aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mbunge Mstaafu wa Ubungo kupitia chama hicho). sauti ya Lissu imesikika ikisema...
Haya sasa urudishe familia yako toka Canada, maana sasa huna tishio la Kisiasa tena na sio Mkimbizi.
Na yule kaka yako (RIP) ambaye ulisema aliuwawa na CCM kwenye uchafuzi wa 2020 uwaombe sasa WAMFUFUE pia…
NB: Matako yako Wenje.
Akizungumza leo Agosti 20, 2025 kwa njia ya Mtandao, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema Taifa halitakiwi kuishi kwenye makovu, bali Wadau wanatakiwa kuzungumza kuokoa Taifa kuingia kwenye machafuko.
Wakuu tusubiri madini kutokea Kanda ya Nyasa hapo saa 7
https://www.youtube.com/watch?v=uKYw8JinUVc
===
Sugu anabainisha kuwa hadi hakuna hatua zozote zilizochukuliwa licha ya watu kupotea akiwemo Deus Soka na wenzake. Aidha ameeleza kuwa dola imeendelea kuonesha ubabe kwa kufanya mambo...
kumekuwa na chapisho linalo sambaa kwenye mitandao ya kijamii likionesha ukurasa wa joseph mbilinyi umeweka chapisho la kutokuwa na imani dhidi ya uongozi uliopo madarakani "Nukuu ya chapisho hil o inadai kuwa nimekuwa nikihisi haklli ya kutengwa mara baada ya kuhusishwa kujiunga na chama cha CHAUMA
Baada ya Taarifa za Kada wa CHADEMA kuhusishwa na kuhamia CHAUMMA kwasabu ya kuwa mfuasi wa Mbowe, mwenye afunguka.
"Sio kweli kwasababu unaniona hapa, sio kweli aliyehama ni mtu wa Mbowe. Mimi naamini mambo hayo yalishakwisha, Uchaguzi ulishakwisha, sasa hivi hakuna mtu wa Mbowe wala hakuna...
Ni Wazi kabisa kwamba siasa za kisasa zinahitaji watu wa kisasa, namaanisha wale waliotoa tongotongo machoni mwao, kwa maana ya watu waliotembea na kuona mambo kwenye mataifa mengine kwa kiwango cha Uongozi.
Huyu Sugu kabla ya kuongoza kampeni Tukufu ya No Reform No Election, alikuwa ziarani...
Wakuu
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mhe Joseph Mbilinyi (Sugu) akizungumza na wananchi amefunguka baadhi ya sababu za CHADEMA kuanzisha kampeni ya "No reforms no Election" akumbushia hali ilivyokuwa mwaka
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea.
Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya...
Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani.
CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.