john

  1. PostGE2025 Appreciation post kwako CDF Jacob John Mkunda

    Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022. Early life Mkunda attended the Ruvu Secondary School, where he played on the football team and was involved in student government.[1] Career In February...
  2. R

    PostGE2025 Anaandika John Pambalu: Mkiijua political game plan, hamtamshambulia Chalamila kwa matamshi yake dhidi ya Padri Kitima au masheikh dhidi ya Nchimbi

    MKIIJUIA POLITICAL GAME PLAN, HAMTAMSHAMBULIA CHALAMILA KWA MATAMSHI YAKE DHIDI YA PADRI KITIMA AU MASHEIKH DHIDI YA EMMANUEL NCHIMBI. Na Mwl John Pambalu. Hivi ukienda porini kuwinda swala, ukawa na mishale michache mfano mitatu. Ukienda ukakutana na ngedere wanaoruka mti huu na ule...
  3. R

    Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

    Simuoni hapa JF Yulo wapi?
  4. PostGE2025 Jenerali Jacob John Mkunda Hafai Hata Kuwa Mkuu wa Sungusungu

    Nadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake. Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na...
  5. SI KWELI Heche amesema yale hayakuwa maandamano bali uharibifu uliojificha kwenye maandamano

    Wakuu naomba kupata ukweli, hii kauli imetolewa na Heche?
  6. PostGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche azidiwa, akimbizwa hosptali ya taifa ya Muhimbili

    MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora. Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche...
  7. Kocha Miguel Gamondi atangaza kikosi cha Stars, amrejesha Kelvin John kikosini

    Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Miguel Gamondi ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Oktoba 10 kwaajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya fifa dhidi ya Kuwait. Mchezo huo kati ya Tanzania na Kuwait utachezwa Oktoba 14 katika mji wa Cairo nchini Misri.
  8. PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

    Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
  9. John Heche kusitisha kula kuanzia leo akiwa mahabusu

    Katibu wa familia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, ametoa taarifa kuhusu hali ya kaka yake, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ambaye kwa siku 13 sasa amekuwa mikononi mwa Jeshi la Polisi, katika mahabusu ya Mtumba, Dodoma. Kupitia taarifa hiyo...
  10. M

    Day 14: John Heche ahamishwa kituo cha Polisi, haijulikani anapelekwa wapi

    Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma. Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud. Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
  11. Je, Jerry John Rawlings Aliimarisha au Kudhoofisha Demokrasia ya Ghana?

    Jerry John Rawlings anabaki kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na wenye utata mkubwa katika historia ya kisasa ya Ghana. Uongozi wake ulidumu kwa zaidi ya miongo miwili — kuanzia utawala wa kijeshi hadi mfumo wa vyama vingi. Swali la kama aliimarisha au alidhoofisha demokrasia ya Ghana linaweza...
  12. Familia John Heche yasema, haiko tayari kuona ndugu yao akipoteza maisha bila sababu ya msingi kwa sababu ndugu yao hana makosa

    Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa. ================== Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
  13. Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  14. Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  15. Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  16. Tata John Heche hakikisha unaendelea kuwachanganya wasijue unapolala

    Kama kuna mtu muhimu kwasasa basi ni wewe. Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!
  17. Kapteni John Tesha ni chambo tu ila kumtuma kanali Mlunga akaimu nafasi ya msemaji wa JWTZ badala ya luteni kanali Ilunda yafikirisha

    Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema. Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole. Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli...
  18. R

    GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  19. Wananchi mnachukuliaje kocha kuwaamnini Andambwile na Edmund John

    Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani. Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa. Edmund John Aziz Andambwile Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha. Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
  20. R

    Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…