john

  1. Msikilize John Heche anazungumza na wakazi wa Ifakara

    https://www.youtube.com/watch?v=Gk-1nyMsDF0
  2. PreGE2025 John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025. Habari kamili hii hapa.
  3. Edo Kumwembe aliwahi kugusia tatizo la nidhanmu ya Kelvin John huko Ulaya, sijashngaa kocha wa Taifa kumlalamikia, Kelvin abadilike lasivyo atapotea

    Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akimuasa Kelvib John abadilike kinidhamu, hatuwezi kujua aba utovu upi lakuni...
  4. Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni...
  5. R

    John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

    Katika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki. Lakini kati ya story zote zilizojitokeza unamwona Mnyika akichambua na kujibu maswali na hoja zote kiuhalisia bila...
  6. W

    John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

    Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche. Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho, Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi...
  7. D

    Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

    Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre. Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
  8. Washington: John Mnyika aanza ziara kwa kishindo, atembelea VOICE OF WASHINGTON DC. Ailipua sheria ya Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , aliye kwenye ziara ya kikazi Nchini Marekani, ameanza kutembelea vyombo vya habari vya Nchi hiyo na kuanika uozo unaoendelea nchini Tanzania. Akihojiwa na Kituo cha TV cha Washington DC, amefichua kwamba Mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  9. John Bolton, mgomvi wa Trump na mshauri wa masuala ya ulinzi asema Israel imeshindwa vita

    Mmoja ya wanasiasa machachari wa Marekani na aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi wa raisi Donald Trump, John Bolton amesema katika vita vinavyoendelea Israel imeshindwa na Hamas. Katika makala yake iliyochapishwa juzi kwenye gazeti la Telegraph, Bolton amesema usitishwaji wa vita wa siku nne...
  10. S

    Siyo mara ya kwanza kwa CCM kumtumia mtu na kumtupa. John W. Malecela alitumika mpaka akajiita "Tingatinga"

    CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa. Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mzee Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere la kurithi kiti cha urais baada ya yeye kung'atuka. Lkn ni...
  11. Je, Kanda ya Ziwa kutumika kama daraja la kuwavusha wanasiasa 2025 waliodiriki kumkejeli Hayati Magufuli?

    JE, KANDA YA ZIWA KUTUMIKA KAMA DARAJA LA KUWAVUSHA WANASIASA 2025 WALIODIRIKI KUMKEJELI DR JOHN POMBE MAGUFULI? Baada ya kifo cha marehemu Dr John Pombe Magufuli tuliona wanasiasa waliokuwa karibu yake na wengine ambao Leo hii wapo madarakani Kwa sababu yake walianza kumnanga na kumkejeli...
  12. John Bocco ndiye anayeweza kuwabeba Simba kipindi hiki kigumu

    Mchezaji mwenye magoli mengi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania, mchezaji mwenye hamasa na utulivu, mchezaji mwenye kipaji cha uongozi Papa's John Bocco ndiye anayeweza kuwatoa Simba kwa wakati huu Mgumu wanaopitia wamuamini kila mchezo mpaka hapo Mambo yatakapokaa sawa.
  13. M

    John Boko anaenda Kuandika Historia Mpya Leo!

    Salamu, Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka! Tukutane saa moja jioni! Nakala: Gentamycin...Aione kwenye Faili.
  14. How President Magufuli Transformed Tanzania's Roads into the Best in East Africa - The Architect of Tanzania Highways

    John Magufuli, the late president of Tanzania, played a key role in making sure that Tanzania has the best roads in East Africa. He made road construction and maintenance a top priority of his government, and he also implemented a number of policies that helped to improve the country's road...
  15. Makonda (CCM), John Mrema (CHADEMA), na Shaibu (ACT) - wanalingana uwezo?

    Nafuatilia hawa wasemaji wa vyama kila mmoja ktk chama chake. # Paul Makonda (CCM); # John Mrema (CHADEMA); na # Salim Bimani wa ACT Wazalendo. Hivi kweli vingunge hawa hata mtoto asiyejua au kufuatilia mambo ya siasa unaona wanalingana uwezo? Binafsi namwona Paul Makonda akiwaacha mbali sana...
  16. Projects Initiated by President John P Magufuli in Tanzania

    President John Magufuli of Tanzania initiated a number of large-scale infrastructure projects during his tenure, including: Tanzania Standard Gauge Railway (SGR): A 2,561-kilometer railway line that will eventually connect the Indian Ocean port of Dar es Salaam with Mwanza on Lake Victoria and...
  17. Happy heavenly birthday Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Siku kama ya leo miaka 64 iliyopita alizaliwa mtoto aliyekuja kufufua matumaini ya Watanzania,shida za Watanzania zikapata ufumbuzi,matatizo ya Watanzania akayanunua na kuwa matatizo yake,ikawa kila mwenye tatizo alikwenda kwake na kutatuliwa tatizo lake,alikuwa mwenye kipaji cha Uongozi toka...
  18. M

    Nani Kasema John Boko ameisha!

    Kapten Fantastic John Raphael Boko! Leo amezidi kuwa prove wrong haters wake. Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League. Hakana Kocha mwenye akili Timamu anayeweza kumpuuza Boko. Haters toeni povu ..Boko katuvusha!
  19. NADHARIA Kapteni Edward John Smith alisema 'Hata Mungu asingeweza kuzamisha hii Meli' (Titanic)

    Nadhani wengi tumetizama movie ya Titanic, ikielezea penzi la vijana wawili na pia kuzama kwa meli hiyo. Inasemekana ina uhalisia kiasi fulani na tukio la kweli la kuzama kwa meli hiyo mwaka 1912. Jambo la kutafakarisha, imekuwa ikidaiwa kuwa aliyekuwa kapteni mkuu wa Meli hiyo Edward John...
  20. Kisa cha Al Habib Umar bin Sumeyt na ''Field Marshal John Okello''

    Siku chache zilizopita niliandika hapa kuhusu John Okello na pia nikaweka na video inayoeleza safari ya Okello Pemba mwezi Machi 1964 baada ya mapinduzi. Sharif Mohamed Yahya kutoka Tanga kaniandikia hayo maneno hapo chini na kaandika kwa herufi kubwa tupu. Nami nabakisha hivyo hivyo herufi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…