john mnyika

  1. figganigga

    Picha: John Mnyika, Rugemeleza Nshala Wakiwa Umoja wa Mataifa na Onanga-Anyanga Mwakilishi Maalum

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika pamoja na Mwanasheria Mkuu wa chama, Rugemeleza Nshala wakiwa kwenye picha pamoja na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa United Nations, Parfait Onanga-Anyanga, baada ya kufanya mazungumzo katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo Dar es Salaam tarehe 10 Machi...
  2. Waufukweni

    John Mnyika: Jamii ya Kimataifa isisikilize upotoshaji wa Rais Samia, hali ya kisiasa nchini bado si shwari

    "Jana Samia Suluhu Hassan wakati anazungumza na Rais wa Ghana amesema hali ya kisiasa Tanzania ni shwari, anaiambia dunia hali ya kisiasa Tanzania ni shwari. Nataka kusema kwamba jamii ya kimataifa isisikilize upotoshaji huo, hali ya kisiasa Tanzania haiwezi kuwa shwari wakati kiongozi Mkuu wa...
  3. upupu255

    SI KWELI Mnyika ameamua kuwa mwanachama wa kawaida ndani ya CHADEMA

  4. Dalton elijah

    SI KWELI John Mnyika amesema 'tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi'

    kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likimunukuu John mnyika kutoa kauli inayosema kuwa tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi Baada ya kufanya ufuatiliaji wa kina kwa kutumia njia ya utafutaji wa maneno tumebaini kuwa taarifa hiyo nipotoshi na ina nia ya...
  5. Just Pray

    John Mnyika: Sihusiki na mauaji ya Ali Kibao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali tuhuma zinazomhusisha na mauaji ya aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, Ali Mohamed Kibao, akitaja majaribio hayo kama mkakati wa kisiasa wa "kubambika kesi" na kuhamisha lawama kutoka kwa...
  6. Just Pray

    PostGE2025 John Mnyika: Askari wa Magereza wamenizuia leo kumuona Mwenyekiti Tundu Lissu. Kuna maelekezo asikutane na kiongozi yeyote wa CHADEMA

    Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, amesema Askari wa magereza wamemzuia kuingia Gereza la Ukonga kumuona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. "Askari wa Magereza wamenizuia kuingia gereza la Ukonga leo kumwona...
  7. CHADEMA

    GE2025 Waraka wa Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika juu ya Hotuba ya Rais na Maombolezo ya wafia Demokrasia

    Ujumbe wa Katibu Mkuu Na. 3 wa 2025: Juu ya Hotuba ya Rais Haramu ya 3/11/2025 na maombolezo ya wafia demokrasia, uhuru na haki ya tarehe 5 mpaka 11 Novemba 2025. Makamanda, wapendwa na ndugu nawasalimu kwa salamu zote za Chama na salamu za imani zenu kwa Mungu. Naomba mrejee taarifa kwa umma...
  8. Msolo

    GE2025 John Mnyika: Hotuba ya kwanza ya Rais Haramu haijaonesha matumaini kwa watanzania, yeye na Serikali yake dhalimu wafanye toba

    Kutoka account ya X ya CHADEMA WARAKA NAMBA 03 WA 2025 Ujumbe wa Katibu Mkuu Na. 3 wa 2025: Juu ya Hotuba ya Rais Haramu ya 3/11/2025 na maombolezo ya wafia demokrasia, uhuru na haki ya tarehe 5 mpaka 11 Novemba 2025. Makamanda, wapendwa na ndugu nawasalimu kwa salamu zote za Chama na salamu...
  9. PAYE

    GE2025 John Mnyika: Kuna njama ya kutukamata viongozi wa CHADEMA kabla ya Oktoba 29, 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akizungumzia tukio la kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti, Bara wa chama hicho, John Heche, leo Asubuhi Mahakamani alipofika kwa ajili ha kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Tundu Lissu. "Kama kukamatwa kwake John Heche...
  10. Mafyangula

    GE2025 Heche, Mnyika, Rupia, Mwaipaya, Hilda na Wanachama wengine wa CHADEMA waitwa Mahakamani Oktoba 15, 2025

    Bado hali si rafiki kwa CHADEMA kila siku wao na mahakama, kesi zimezidi kulindima kila kukicha kwao> Au tuseme serikali ya CCM imeendelea kuwazofisha tu, na ukizingatia Kuna mipango ya maandamano ya Oktoba 29 =============== FAHAMU kwamba shauri lililotajwa hapo juu limepangwa kuitwa kwa ajili...
  11. mwanamwana

    GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  12. R

    GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  13. PAYE

    GE2025 John Mnyika Mahakamani Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu akiwa na T-shirt yenye ujumbe wa Biblia kuhusu Haki

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo ameonekana katika Ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam akihudhuria Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Kilichovutia macho ya wengi ni mavazi yake, ambapo Mnyika alivaa fulana...
  14. E

    GE2025 John Mnyika: Zuio la Mahakama halijatufanya CHADEMA tusitishe Michango ya Tone Tone

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa makatio ya kujirudia. Mnyika ameyasema hayo leo Agosti 27 alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa...
  15. W

    GE2025 John Mnyika: Zuio la kufanya siasa linawahusu bodi ya wadhamini na Katibu mkuu, Wanachadema wengine endeleeni bila kutumia mali za chama

    Akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama Agosti 18, 2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika amewataka Wanachadema wengine kuendelea kufanya siasa ilimradi tu wasitumia mali za chama kwani zuio la kutokufanya siasa ni kwa katibu Mkuu na bodi ya wadhamini. === "Kitu kingine ambacho...
  16. BigTall

    John Mnyika aelezea hisia zake baada ya maamuzi ya Mahakama kuhusu mgawanyo wa mali

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho. Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18...
  17. mwanamwana

    GE2025 John Mnyika: Tutamshauri Lissu tukatie rufaa maamuzi ya ''Mashahidi wa Siri''

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu. Kuhusu maamuzi, soma Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu Amesema...
  18. DuaZaMama

    PreGE2025 John Mnyika aligombea ubunge 2010 kwa mara ya kwanza

    Wakuu, Ni kweli Mnyika alifanya hivyo mwaka 2010? nataka kujua ukweli wa hii taarifa?
  19. JanguKamaJangu

    John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  20. Mitch McDeere

    Who is John Mnyika?

    John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and his party Secretary General. Early Life and Education Mnyika earned his degree from the University of Dar es Salaam. His early career focused on political activism and development work. He was focused on democratic reforms and governance...
Back
Top Bottom