john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Sisi hatutaki kushinda uchaguzi kwa sababu CCM wamegombana

    “Kuna watu wengi jana na leo wamenipigia kuhusu yanayoendelea kwenye teuzi za CCM na wengi wanasema kutokana na vurugu, kuumizana, migogoro na chuki ambazo ziko ndani ya CCM kwamba hii ni fursa kwetu kupata wabunge wengi kama CHADEMA,” amesema John Heche Makamu mwenyekiti Chadema. Hata hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Dotto Magari amzidi wafuasi John Heche mara mbili, Dotto ana wafuasi 1.2 instagram, Heche laki tano tu, je wanachama 13 milioni wa chadema wako wapi?

    Sensa fupi ya mtandao wa Heche inaonyesha hali hii. Heche angegombea leo angeishia kura laki tank, bora amekimbia
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kuna vyama vimeingia kwenye Uchaguzi havina wagombea. Wanapigia watu walioko CHADEMA wakagombee kwenye vyama vyao

    Wakuu, Leo John Heche kaamua kutoboa siri. Anasema kuna vyama vimeingia kwenye Uchaguzi lakini kumbe havina wagombea. Wanachofanya wanapiga simu kwa baadhi ya wanaCHADEMA wanaahidi mahela ili waondoke CHADEMA wajiunge na vyama vyao ili wakagombee. Hayo ameyasema akiwa kwenye kipindi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mahojiano haya ya Heche yalikuwa Classic. Asema CHADEMA itamshtaki OCD wa Nkasi Ingawa Inajua Mahakama Haiwezi Kutenda Haki

    Mahojiano yaliyofanywa na Jambo TV na Heche, kwa kweli majibu aliyoyatoa Heche kwa kila swali yalikuwa ya kiwango cha juu hasa. Huko CCM huwezi kumpata kiongozi wa namna hiyo. Heche anasema udikteta wa Samia ni wa kiwango ambacho hakijaaahi kushuhudiwa, japo hapo mwanzo aliwadanganya. Heche...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi foleni inasogea au bado msululu ni mrefu?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche na wanachama wa chama hicho, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kesi inayomkabili Tundu Lissu kuahirishwa.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Rais Samia, anamuogopa Lissu, akosoa hatua ya kuzuia kesi kurushwa Live

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika

    Hakuna reforms, hakuna uchaguzi utakaofanyika; mageuzi hayaletwi na malaika, mageuzi yataletwa na sisi. — John Heche
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Lembrus Mchome: Nimemshauri sana Heche lakini hashauriki. Viongozi wengi wamejaa ghilba , viburi na jeuri

    Wakuu Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Ni tatizo kuiruhusu CCM iendelee kuiongoza nchi hii, ni kuua nchi hii

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu, wanalalamikia mwenendo wa Chama na kuonesha matumaini kwa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA. Akizungumza nje ya Mahakama...
  11. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu. Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ushauri: Heche afanye kama Mbowe, aikopeshe Chadema milioni 300 ili ilipe mishahara ya miezi mitano iliyopita

    Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho. Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama. Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
  15. JamiiForums Tanzania John Heche usijichoshe na Mahakama ambazo, Waziri Bashungwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali walishazipa Maelekezo !

    Wanazi hawana mpango wa kutoa haki kupitia Mahakama , ingekua hivo Kesi ya LISSU ingekua tayari Mahakama Kuu . Ingekua hivo ,huyo Muhuni angekua keshajutoa kwenye Kesi. HECHE HECHE HECHE, nmekuita mara tatu, Hamna Chama Cha Siasa Cha Upinzani Barani Afrika ambacho Uhai wa MAISHA YAKE...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Nikiwa Mbunge kwa mwezi tulilipwa Sh 12.7m, sasa nadhani wanalipwa Sh 18m

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
  18. JamiiForums Tanzania John Heche: Wabunge wanafanya Siri mishahara yao ili Serikali iendelee kuwaibia Wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wakati alipokuwa Bungeni mishahara ya Wabunge ilikuwa Tsh. Milioni 4 (take home) na nyongeza ya Posho ya Jimbo Tsh. Milioni 8 kwa mwezi lakini kwasasa jumla Mbunge analipwa zaidi ya Tsh. Milioni 18 kila mwezi na ndio maana hawataki kuweka wazi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatukubaliani Kesi ya Lissu inavyoendeshwa kwa kupoteza muda

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche ametoa wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kuungana pamoja katika kuhakikisha wanapigania haki zitakazopelekea kutatua matatizo aliyodai kuwa yanaipeleka nchi pabaya endapo hatua...
  20. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Mabadiliko yakipatikana tutampelekea fomu Lissu gerezani na atatoka akiwa rais (video)

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande, watampelekea fomu ya kugombea uraia na atashinda akiwa gerezani. Ameyasema hayo Julai 11, alipokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…