jitafakari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

    Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
  3. Mindi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe Jitafakari

    Nilimsikiliza Zitto Kabwe, mmoja wa vigogo katika viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa Tanzania, akitoa hotuba yake katika mkutano wa Baraza la Vyama vya siasa. Nilimsikia akimuomba Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa, "asaidie" ili Mbowe awe huru. Nilisikiliza pia majibu ya rais...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla Jitafakari na utimize yote unayoanzisha

    Umetoa maagizo juu ya machinga halafu huyafuatilii. Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena! Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena. Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali! Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Neno la leo: Ukiona wanatamani ushuke kimaisha au uanguke jitafakari

    Ukiona mtu au watu wanatamani ushindwe, uanguke, uumie, ufeli au kupoteza uhai kabisa wewe binafsi mkeo au watoto wako usikimbilie kusema binadamu ni wabaya, binadamu wanachuki, binadamu wanakinyongo, binadamu wana wivu n.k huo ni muda wako kujitafakari. Kila binadamu ana wivu, kila binadamu...
Back
Top Bottom